yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mjue adui yako wa karibu usiyemdhania

    Salaam, shalom!! UTANGULIZI. Wote tunao maadui, uwe MWEMA au Mwovu, lazima maadui watakuwepo na ni wa karibu nawe. Leo, siwazungumzii hao maadui unaowajua wa kazini kwako, Jirani zako unayoishi nao, au maadui katika biashara, hapana!! MADA: NANI ALIYE ADUI WAKO WA KARIBU USIYEMDHANI? Maadui...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, zuia watumishi chini yako kusumbua raia maskini wasio na Leseni

    Twende haraka kwenye mada, Taarifa zilizotufikia Kutoka vyanzo vya kuaminika zinadai kuwa Hali ni Tete mitaani, Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza ameanzisha operation ya kuwasaka wote wasio na Leseni Hadi nyakati za usiku. Ikumbukwe kuwa ,wapo wafanyabiashara wa kipato Cha chini wasio na uwezo wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa Wizara yako ni ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kwanini unajikita tu na Michezo, ila mengineyo huhangaiki nayo?

    Changamoto nyingi zilizoko katika Sanaa na Utamaduni utaanza kuzikabili lini? Halafu Gerson Msigwa (Mkinga Wewe) kwanini unatumia Nguvu Kubwa sana kutaka Rais Samia aendelee Kukukubali hasa kwa Kujipendekeza na Kujikomba Kwake wakati wenye Akili tunajua kuwa amekuweka hapo Wizarani kama Katibu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tukio gani lilitokea maishani likabadilisha mtazamo na imani yako?

    Nilipokuwa mdogo, miaka kadhaa iliyopita nilipoteza kamera ya rafiki yangu mmoja aliyekuja kututembelea nyumbani kwetu. Nilikuwa bado mwanafunzi nikiishi pamoja na wazazi. Rafiki huyu aliipata kamera hiyo kama zawadi kutoka kwa ndugu yake aliyekuwa akiishi ughaibuni. Tulipiga picha nyingi naye...
  5. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawatunzi siri, hata kama ni mama yako usimwambie siri zako

    Habari za weekend wana Jamiiforums i hope wote wazima kabisa.. Najua watu wengi mpo closed na wazazi wenu ilo ni vizuri sana ni baraka tosha sana kuwa karibu na mzazi unamwambia vitu vyako vingi na ni mshauri kwako hasa hawa wazazi wetu wakina mama. Ila kijana ni marufuku tena ni marufuku...
  6. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Tuambie unaimaliza vipi wikendi yako?

    》》 Baada ya kutoka ibada nimechill home & the Co. 》》 Tutatoka baadaye jioni jioni kwenda viwanja virefu kuimalizia wikend. 》》Maandalizi ya kuianza kesho. Vipi wewe?
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania ushawahi kumbwa na dhoruba ukiwa peke yako

    nakumbuka siku moja nimetoka singida naenda manyara kwa baiskel ilikuwa ni masika, nikiwa katikati ya mbuga ilikuja mvua ya ghafla ambayo sikuitarajia kurudi nyuma ni mbali na ninapokwenda ni mbali ikabidi nikomae tu hivo hivo basi bhana, baiskel ikabana matope kwenye madgad ikawa haitembei...
  8. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Kheri ya siku yako ya kuzaliwa kipenzi cha Wananchi 𝐆𝐒𝐌

    Leo tarehe 19.11.2023 siku hii inaitwa #GSMDay na Wananchi wote tunajumuika pamoja kusherekea siku hii maalum.
  9. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania App gani za Tanzania unazo kwenye simu yako?

    Na Bwn Kenge! "Entire third world shall change when consumers turn into producers" Ni Maneno ya mwalimu mmoja aliyekua akijibu swali la Mwanafunzi aliye Uliza "Ni lini Africa(Dunia ya 3) itaacha kutegemea Dunia ya kwanza...Mwalimu huyo alijibu ni ile siku watumiaji(Consumer) wageukapo...
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Ukimaliza kutumia computer ya public futa vitu vyako na logout kwenye akaunti yako

    Ni muhimu kukumbuka kuacha computer inayotumiwa na wengi ikiwa safi na vilevile taarifa zako zikibaki kwenye account yako bila kujulikana kwa wengine. Nimetoka kwenye stationery moja mitaa ya Ubungo karibu na hostel za chuo kikubwa zilizojengwa kwa matofari ya kuchomwa. Kuna mdau ameacha kila...
  11. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Kuleta mabadiliko katika maisha yako amua hili

    Haijalishi wewe ni masikini kiasi gani, haijalishi kuwa wewe si msomi, haijalishi wewe si mtaalamu wa aina fulani, ukweli ni kuwa una kitu kikubwa na cha thamani sana ambacho hakuna anayeweza kukichukua au kukiondoa isipokuwa wewe mwenyewe. Kama ukiitumia mali hiyo uliyonayo kwa namna nzuri...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tozo ya Matangazo kwenye Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri

    Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anesema Tozo/Kodi inayotarajiwa kuwekwa kwenye Matangazo ya Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri. Mbowe anesema Maisha ya Vijana wa Tanzania ni ya kuungaunga hayana Afya yoyote hivyo ni vema Serikali ikawaangalia kwa jicho la Huruma. Jumaa...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Maana ya "Kwenu" inatofautiana, si kila mtu kwao yao inalingana, wewe kwenu ni wapi?

    Naona hili neno huwa linatumika ndivyo sivyo kwa kumaanisha ni mtu kurudi kwa ndugu zake vijijini, uhalisia upo tofauti. Kwenu ni kule ambako una ukaribu nako, ni sehemu mnayoshirikiana nje ya misiba na sherehe. Kuna wengine kwao yao inaishia kwa wazazi wao, kaka zao, dada zao na wadogo zao...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ikitokea umepata Mtoto/Watoto kwenye mahusiano yako, Kati yako na Mwenzio nani atawafundisha Hesabu?

    Suala la kuwa Mzazi linakuja na mambo mengi sana, ikiwemo kuwajibika kwa Watoto, Kuwasaidia Kazi za Shule na kila kitu, sasa kwa unavyoona Mahusiano yenu hapo, nani atakuwa msaidizi wa Home Work za Hesabu kwa Watoto/Mtoto wenu? Au wote mtakuwa mnakimbia na kuwambia Watoto wamalizane kila kitu...
  15. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Licha ya mabaya na mapungufu yako ni tabia ipi nzuri toka kwako ungependa mwanao aifuate ili imsaidie maishani?

    I know am not perfect na sio kama najisifia humu ila mwanangu akifata hulka yangu ya uchapakazi katika nyanja ya kazi za kawaida na zile za uchumi itakuwa bonge la blessing sana kwangu. Vipi kwa upande wako, ungependa mwanao afuate tabia, mwenendo au hulka gani nzuri uliyonayo? Karibuni.
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama unaomba hivi, imani yako itashuka na utamchoka Mungu mapema

    Maombi ni moja ya njia ya kuondoa wasiwasi na kuongeza imani katikati ya changamoto na sintofahamu za maisha. Lakini kama hujui kuomba vizuri unaweza kujikuta yanakuongezea stress, wasiwasi, hata kushusha imani yako kwa Mungu. Na hii imepelekea watu kucheza miguu miwili. Mmoja kwa Mungu...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Philip Mpango kwanini Ofisi yako inashindwa kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti msimu huu wa mvua?

    Nashikwa na mshangao sana Mzee Philip Mpango, anakaa dodoma, Ofisi yake iko Dodoma, inashighulika na mazingira, lakini hakuna kampeni yoyote Ile ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda miti. Rais Samia anajenga majengo ya serikali, yeye nini kinamshinda kupanda miti kwa wingi Dodoma yote?
  18. ninjajr

    JamiiForums Tanzania Huwa mnapiga story gani siku ya kwanza kukutana na ndugu yako ambaye hujaongea nae zaidi ya mwaka

    Za usiku wana JF na poleni na shughuli za kujenga taifa. Nina ndugu yangu wa kiume upande wa maza mkubwa kidogo ila ni kama tunalingana na mimi pia ni kiume tulikuwa close saana kipindi cha nyuma karibia mwaka sasa hivi ule ukaribu ulikufa wote. Kwa mara ya kwanza tulipingana kauli hadi...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kipi kiliwahi kukutokea ukajikuta unaanza kuongea peke yako?

    Jana nimekutana na mwamba mmoja kavaa fresh tu na ukimtazamaunajua huyu anaelekea katika ofisi flani yenye hadhi au labda ni mtu mwenye mishe zake za kuelewekwa, lakini ajabu nikaona anaongea peke yake. Awali wakati namkaribua sikutilia shaka sana hilo niliamini labda kuna kitu kaaa sikioni, si...
  20. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

    Unakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex. Je, kuna ukweli wowote katika hili? We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi Binafsi napenda- Kusikiliza...
Back
Top Bottom