TBT: Ulipokea matokeo yako ya Form Four ukiwa wapi, na ilikuwaje?

Ilinikuta nikiwa home nakumbuka faza alikua safarini basi akaniahidi zawadi maana sikumuangusha wazazi walifurahi sana.

Mpaka faza anarudi nilishapigwa na mizawadi kibao kila anaeulizia tokeo anatuma kazawadi kwenye bus nakumbuka hata nilipokwenda adv.

Nilisindikizwa na kundi la ndugu mpka wakawa wananiita mtot wa mama maana ukigeuka shangazi mara bibi huku Mama wakubwa yaani kalikua kamzozo ka kusindikiza mtoto wao anakwenda shule tena
 
Ilinikuta nikiwa home nakumbuka faza alikua safarini basi akaniahidi zawadi maana sikumuangusha wazazi walifurahi sana..... Mpaka faza anarudi nilishapigwa na mizawadi kibao kila anaeulizia tokeo anatuma kazawadi kwenye bus nakumbuka hata nilipokwenda adv.... Nilisindikizwa na kundi la ndugu mpka wakawa wananiita mtot wa mama maana ukigeuka shangazi mara bibi huku Mama wakubwa yaani kalikua kamzozo ka kusindikiza mtoto wao anakwenda shule tena
👏🙌🙌
 
Network ilikuwa hakuna kijijini kwetu, ilikuwa lazima upande mlimani,siku hiyo yametangazwa kulikuwa na mvua nyingi yenye radi sana, lakini kwa hamu ya kupata siku hiyo hiyo,nilimfuata Hakimu mmoja hivi (R.I.P SIKAZWE) alikuwa rafiki yangu na alipenda mafanikio yangu na alinisupport,akanipa Simu na mvua nikaanza safari ya kupanda mlima huku simu ikiwa kwenye mfuko wa rambo,nilipofika juu mvua ilikuwa imepungua ila radi nyingi,nikampigia kaka aliyekuwa DSM kwa wakati ule hatukuelewana na vocha ikaisha na sikujua kuandika meseji kwenye ile Motorola jeneza,bahati nzuri kaka akapiga nikasikia tu umefaulu,nikaanza kushuka Kwa furaha bila kuelewa nimepata division ipi 😀😀😀 baadaye kesho yake Mama akaja na info zote.........safari ya Malangali high school ikawa imefika😀
 
😍😍
 
Funguka 🙂😹
Hii ilikuwa 2012, tupo mazoezini kama kawa na washikaji ile tunamsikiliza mwalimu kabla ya kuondoka kuna njemba ikaropoka matokeo yametoka. Aisee kuna jamaa alikuwa anajiamini kupitiliza tukakimbia internet cafe karibu na pale uwanjani.

Tulikuwa kundi la watu kama nane hivi, jamaa akawahi kwenye kompyuta moja ilikuwa na mdada mrembo sana chap akamtajia namba ya shule na namba yake, kucheki ngoma ni IV points 27 jamaa alizimia. Zoezi la sisi kuangalia lilishia pale na kuanza kutoa huduma ya kwanza.
 
Maghayo alipofaulu darasa la 7 kijiji kikadhani ni freemason maana yeye ni Mongolian Savage wa kwanza kufaulu la 7 na kupenda elimu ,sasa akaamua akimbie mbele kuhofia usalama waka wa kukiuka taratibu za kijiji kuwa hakuna kufaulu na kusoma ninmwendo wa kuwinda maporini...

Sasa stress za kuwa mbali na Mongolian Savages wenzake na mazingira ya tofauti out of barbarism akaamua kuvuta ndumu(bange) apate vibe la kuendana na life ya mbele ili kuficha his barbaric nature.

Stori kamili utaipata katika Uzi maalaumu wa kulipimua Ghayo's gang ukiwa na full details kuanzia historia yao ,viongozi , members,vision na mission zao pamoja na nyongeza nyingine...
 
Hii ilikuwa 2012, tupo mazoezini kama kawa na washikaji ile tunamsikiliza mwalimu kabla ya kuondoka kuna njemba ikaropoka matokeo yametoka. Aisee kuna jamaa alikuwa anajiamini kupitiliza tukakimbia internet cafe karibu na pale uwanjani.

Tulikuwa kundi la watu kama nane hivi, jamaa akawahi kwenye kompyuta moja ilikuwa na mdada mrembo sana chap akamtajia namba ya shule na namba yake, kucheki ngoma ni IV points 27 jamaa alizimia. Zoezi la sisi kuangalia lilishia pale na kuanza kutoa huduma ya kwanza.
Duh, sio mchezo
 
Back
Top Bottom