Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Kwenye ulimwengu wa sasa kuna kipindi unachukua namba ya mtu na unashindwa kumsave kwa jina lake, sometimes husababishwa na majina kufanana au kutomfahamu vizuri aliekupa namba.

20240119_120548.jpg

20240119_120524.jpg


Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?
 
Malaya na wadangaji Huwa nawasav Kwa cheo pros, jina. Mahali

Mf: pros Jane mbembeni bar
Au pros mwamvita darajani kibondo.


Nikiwala mara tatu nafuta namba. Pros zikijaa nawasevu Kwa majina kama prosper, protas, prudence nk. Wakifuatiwa na majina yao na walipo. Lengo nisisahau nimesevuje.
 
Back
Top Bottom