JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,327
- 9,328
Jambo la kuepuka ni kuweka masega ya kuchomelea iwapo engine ya gari yako itakuwa na EGR.
EGR huwa inarudisha kiasi fulani cha moshi kwenda mahali ambako mafuta yanaungua(combustion chamber), kwa ajili ya kupunguza joto(combustion temperature) hivyo kupunguza pia kutengenezwa kwa Nitrogen Oxide gases(NOx). Kwa lugha nyingine EGR ni feedback loop kati ya exhaust na intake manfold.
Utajuaje kama gari yako ina EGR?
Angalia kama kuna pipe ya chuma ambayo inatoka kwenye exhaust manfold kurudi kwenye engine, kama ipo then gari yako inaweza kuwa na EGR 99%.
Nini kinatokea unapoweka masega ya kuchomelea na gari yako ina EGR?
Unapochomelea kuna vipande vya chuma huwa vibabakia kwenye exhaust, Vipande hivyo havitoki na moshi ila vitarudi kwenye engine kupitia EGR valve. (Nimeshaona hili kwenye engine za Nissan). vipande hivi husababisha shida kwenye egr kila baada ya muda au kama vikiingia kwenye engine vinaweza kuleta shida kubwa.
Hivyo ukiweza kupata masega original hata kama ni gharama wewe nunua tu, au modify oxygen sensor ya nyuma kama gari itakuwa inawasha check engine.
Gari nyingi za kuanzia 2007 zina EGR lakini zipo pia nyingi hata za kabla ya hapo ambazo zina egr, mfano Gari zote za D4 kama Noah voxy, Brevis, Rav 4, wish, n.k.