Ushauri wa bure kwenu Makamanda na wanamageuzi watukuka

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,060
"Njia ya kwenda Ikulu ni nyeupe, pee!"

Hayo si maneno yangu bali ya kachero mbobezi katika ubora wake. Alikwenda mbele zaidi kachero yule kwa kusema:

"Lakini itabidi kukaa chini na wenzetu, kujipanga na kusimika kisiki haswaa," akamalizia, "cha mpingo"

Mmpende, mmchukie: Kachero mbobezi yuko vizuri. Visiki vya mpingo vipo. Changamoto ni kukaa chini na kujipanga.

Ikumbukwe kuwa pamoja na yote, Barrack Obama pekee na Democrats, asingeliiona Ikulu ya Whitehouse bila ya gwiji huyu kama 'chief strategist' wake:

David Axelrod (political consultant) - Wikipedia

Kwamba Lissu alirudi jana salama na kufika nyumbani kwa hali ya amani vile, si bure. Kongole kwake na ma strategists wake. Wako vizuri ila mechi ndiyo hiyo inaendelea.

Msituangushe.

Nidhamu top to bottom haiwezi kuchukuliwa poa.

Safari ya kuchukua Dola October haiwezi kuwa lelemama. Nani atakubali kuiachia ikulu kirahisi?

Nini kwa umma na nini vya ndani ni muda wa kuvi enforce vilivyo (organization).

Ndugu wapenda mageuzi tusiwe kama wagema.

Tembo ubora wake, inawezekana kuubakiza kuwa ule ule.

Tunaweza kutimiza wajibu wetu ndani ya taratibu zilizopo, responsibly.

Hii nchi ni yetu sote na sote kabisa tunalo jukumu la kuyapigania maendeleo yake kiuchumi na hata kidemokrasia.

Apumzike mzee wetu Rais mstaafu hayati Mkapa.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Siku mtakayokuja gundua kwamba Tundu lisu siyo deal ni attention seeker na yuko kwa self interest zake tu mtakuwa mmeshachelewa tena sana kwani anakwenda kuizika chadema rasmi kwa utoto wake ambao mnauruhusu, ni nani Dunia hii asiyeheshimu Kifo? Tena mtu ambaye anataka kuomba kura za Watanzania wamchague yeye na Chama chake anakwenda kuleta dharau na drama wakati watu wana majonzi? Mimi nina washikaji zangu ambao walikuwa hawampendi Mzee Mkapa sababu ya Mwembechai na Pemba lkn wote wamesamehe na hata Demu mmoja amelia live alivyosikia Mzee Mkapa amefariki Dunia, sasa Tundu Lisu analeta mchezo na utoto halafu mnategemea kushinda Uchaguzi? , ....
 
Siku mtakayokuja gundua kwamba Tundu lisu siyo deal ni attention seeker na yuko kwa self interest zake tu mtakuwa mmeshachelewa tena sana kwani anakwenda kuizika chadema rasmi kwa utoto wake ambao mnauruhusu, ni nani Dunia hii asiyeheshimu Kifo?
mchezo na utoto halafu mnategemea kushinda Uchaguzi? , ....

Mkuu mbona huu uzi haumhusu Lissu? Si kwa title wala kwa content.

Mkuu utakuwa umechanganya nyuzi.
 
Nakubaliana na wewe.

Yaliyopita si ndwele kuganga yajayo ni sehemu ya maisha.

Wapi David Axelrod?

Kama wanamageuzi tunakwama hapo!

Umoja ni nguvu.
Ok tutaungana Ila sharti lisu awe mgombea
Vinginevyo hatutaki kusikia chochote
Uhuni uliofanyika 2015 ni ujinga kiwango cha changarawe
 
Siku mtakayokuja gundua kwamba Tundu lisu siyo deal ni attention seeker na yuko kwa self interest zake tu mtakuwa mmeshachelewa tena sana kwani anakwenda kuizika chadema rasmi kwa utoto wake ambao mnauruhusu, ni nani Dunia hii asiyeheshimu Kifo? Tena mtu ambaye anataka kuomba kura za Watanzania wamchague yeye na Chama chake anakwenda kuleta dharau na drama wakati watu wana majonzi? Mimi nina washikaji zangu ambao walikuwa hawampendi Mzee Mkapa sababu ya Mwembechai na Pemba lkn wote wamesamehe na hata Demu mmoja amelia live alivyosikia Mzee Mkapa amefariki Dunia, sasa Tundu Lisu analeta mchezo na utoto halafu mnategemea kushinda Uchaguzi? , ....
Mwaka huu kazi mnayooo!!
 
"Njia ya kwenda Ikulu ni nyeupe, pee!"

Hayo si maneno yangu bali ya kachero mbobezi katika ubora wake. Alikwenda mbele zaidi kachero yule kwa kusema:

"Lakini itabidi kukaa chini na wenzetu, kujipanga na kusimika kisiki haswaa," akamalizia, "cha mpingo"

Mmpende, mmchukie: Kachero mbobezi yuko vizuri. Visiki vya mpingo vipo. Changamoto ni kukaa chini na kujipanga.

Ikumbukwe kuwa pamoja na yote, Barrack Obama pekee na Democrats, asingeliona Ikulu ya Whitehouse bila ya gwiji huyu kama 'chief strategist' wake:

David Axelrod (political consultant) - Wikipedia

Kwamba Lissu alirudi jana salama na kufika nyumbani kwa hali ya amani vile, si bure. Kongole kwake na ma strategists wake. Wako vizuri ila mechi ndiyo hiyo inaendelea.

Msituangushe.

Nidhamu top to bottom haiwezi kuchukuliwa poa.

Safari ya kuchukua Dola October haiwezi kuwa lelemama. Nani atakubali kuiachia ikulu kirahisi?

Nini kwa umma na nini vya ndani ni muda wa kuvi enforce vilivyo (organization).

Ndugu wapenda mageuzi tusiwe kama wagema.

Tembo ubora wake, inawezekana kuubakiza kuwa ule ule.

Tunaweza kutimiza wajibu wetu ndani ya taratibu zilizopo, responsibly.

Hii nchi ni yetu sote na sote kabisa tunalo jukumu la kuyapigania maendeleo yake kiuchumi na hata kidemokrasia.

Apumzike mzee wetu Rais mstaafu hayati Mkapa.

Mungu ibariki Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania....na watu wake..Mungu ibariki Afrika na watu wake pia...MUNGU IBARIKI TANGANYIKA

Jr[emoji769]
 
Nakubaliana na wewe.

Yaliyopita si ndwele kuganga yajayo ni sehemu ya maisha.

Wapi David Axelrod?

Kama wanamageuzi tunakwama hapo!

Umoja ni nguvu.
Peter mutharika kwanin alishindwa na wakati alikua Rais cha msing ni time huru
 
Hata umoja na strategies za kueleweka zinalipa sana tu.

2015 bila mtafaruku wa kina Slaa na Lipumba ilikuwa ushindi mapema asubuhi.

Fikiria kura 6m pamoja na mtafaruku wao. Wangapi walighairi?
 
Kuna wakat hata asiyekuwa na akili hudhan anazo,pole sana
Siku mtakayokuja gundua kwamba Tundu lisu siyo deal ni attention seeker na yuko kwa self interest zake tu mtakuwa mmeshachelewa tena sana kwani anakwenda kuizika chadema rasmi kwa utoto wake ambao mnauruhusu, ni nani Dunia hii asiyeheshimu Kifo? Tena mtu ambaye anataka kuomba kura za Watanzania wamchague yeye na Chama chake anakwenda kuleta dharau na drama wakati watu wana majonzi? Mimi nina washikaji zangu ambao walikuwa hawampendi Mzee Mkapa sababu ya Mwembechai na Pemba lkn wote wamesamehe na hata Demu mmoja amelia live alivyosikia Mzee Mkapa amefariki Dunia, sasa Tundu Lisu analeta mchezo na utoto halafu mnategemea kushinda Uchaguzi? , ....
 
Siku mtakayokuja gundua kwamba Tundu lisu siyo deal ni attention seeker na yuko kwa self interest zake tu mtakuwa mmeshachelewa tena sana kwani anakwenda kuizika chadema rasmi kwa utoto wake ambao mnauruhusu, ni nani Dunia hii asiyeheshimu Kifo? Tena mtu ambaye anataka kuomba kura za Watanzania wamchague yeye na Chama chake anakwenda kuleta dharau na drama wakati watu wana majonzi? Mimi nina washikaji zangu ambao walikuwa hawampendi Mzee Mkapa sababu ya Mwembechai na Pemba lkn wote wamesamehe na hata Demu mmoja amelia live alivyosikia Mzee Mkapa amefariki Dunia, sasa Tundu Lisu analeta mchezo na utoto halafu mnategemea kushinda Uchaguzi? , ....
Hakuna ambaye siyo mtafuta fursa 'opportunity seeker' nyie mnapenda wanasiasa uchwara wanao uzwa na kununuliwa kirahisi 'cheap politicians' halafu huachwa kwenye mataa
 
Njia ilikuwa nyeupe mwaka 2015, Afrika sio rahisi kumtoa rais madarakani
APM ametoka madarakani pale Malawi just few months ago,umesahau mkuu? Wananchi wa Tanzania milioni 40 wakiamua hakuna cha amri jeshi mkuu Wala amri jeshi mdogo.wote watatafuta mitaro iliko Kama watajifanya wakaidi
 
Ok tutaungana Ila sharti lisu awe mgombea
Vinginevyo hatutaki kusikia chochote
Uhuni uliofanyika 2015 ni ujinga kiwango cha changarawe

Kamanda siyo sharti ila team kama hii hapa waionaje?

1. Candidate - Lissu
2. Chief strategist - Kachero mbobezi

Siyo Barca hiyo? Siyo kuwa wataomba poo mapema asubuhi?

Amini usiamini kihoro chote kipo mitaa mitaa ya hapo makamanda.

Hata "Uhuru" leo this is the combination we missed.

Eeh mola wetu ukazisikie dua zetu.
 
  • Thanks
Reactions: wax
Siku mtakayokuja gundua kwamba Tundu lisu siyo deal ni attention seeker na yuko kwa self interest zake tu mtakuwa mmeshachelewa tena sana kwani anakwenda kuizika chadema rasmi kwa utoto wake ambao mnauruhusu, ni nani Dunia hii asiyeheshimu Kifo? Tena mtu ambaye anataka kuomba kura za Watanzania wamchague yeye na Chama chake anakwenda kuleta dharau na drama wakati watu wana majonzi? Mimi nina washikaji zangu ambao walikuwa hawampendi Mzee Mkapa sababu ya Mwembechai na Pemba lkn wote wamesamehe na hata Demu mmoja amelia live alivyosikia Mzee Mkapa amefariki Dunia, sasa Tundu Lisu analeta mchezo na utoto halafu mnategemea kushinda Uchaguzi? , ....
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nilivyosoma kabla hata ya kuangalia avatar nikajua huyu lazima ni Matanga
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom