Hawa ndiyo Mfano wa Wanaume wanaotufanya Wanaume wote Wakazi wa Dar es Salaam tuonekane 'Nyoro Nyoro' tupu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,554
108,895
Hivi kuna baridi gani kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam hii hadi Dume zima kila mara tena likiwa limejikunyata Chumbani linamuomba Mkewe amchemshie Maji ya Moto akaoge?

Kuna Wanaume wengine ni Mayai Mayai ( Nyoro Nyoro ) hadi nikiwasikia wanafanya 'Upuuzi' huu wakiwa Makwao natamani 'niwaibukie' ili hata niwawambe ( niwapige ) tu Makofi ili Wachangamke na waache Kudekadeka.

Na Wanaume wengi niliowagundua wenye 'Unyoro Unyoro' huu ni wa kutoka Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi na Wakara.

Huwezi kamwe Kumkuta Mwanamume wa Shoka kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) kwa akina GENTAMYCINE kwa baridi hili la Kawaida mno lililopo Mkoani Dar es Salaam sasa anatia Huruma na Kuomba Mke amchemshie Maji.

Kuna Mtu atanikoma tu Kijiweni Kesho!!
 
Nani huyo anachemshiwa maji¿ aende akaoge na ya baridi kidume aache ungese. Ati baridi, vipi huyo. Anafaa vibao dadeq! 🤣 🤣 🤣
 
Huwezi kamwe Kumkuta Mwanamume wa Shoka kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) kwa akina GENTAMYCINE kwa baridi hili la Kawaida mno lililopo Mkoani Dar es Salaam sasa anatia Huruma na Kuomba Mke amchemshie Maji.

Kuna Mtu atanikoma tu Kijiweni Kesho!![/QUOTE]
 
Wewe mambo ya chumbani ya mtu na mkewe umeyajuaje? Tuanzie hapo kwanza, au nyie ndio wale mnakesha usiku kutaka kujua nyumba ya mtu leo wamepika nini, wanakulana saa ngapi n.k
Wapiga chabo association! 🤣 🤣 🤣
 
wangu ni wa mara jana kakataa kata kata kuoga maji baridi
nikamuacha akalala bila kuoga
 
giphy (1).gif
 
Kweli mkuu hao ni nyoro nyoro ,week iliyoisha nilikuwa dar nililala na feni aisee maana kuna joto kali sana...tuliozoea baridi la arusha,mbeya tukifika dar tunateseka na joto.
 
Mtani Kwa wanyiramba umegusa pabaya yaani unakuja kutunanga huku umesahau sisi ni wanaume Wa shoka wakurya asili yenu ni singida kule iramba mpk huko kwenu kuna sehem inaitwa iramba.
 
Back
Top Bottom