Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,013
- 12,278
Ukiondoa hizi international Schools ISM, Braeburn, IST, St. Constantine.
Shule zilizo baki Tanzania zinatoa elimu mbovu utofauti ni mazingira ya upokeaji wa vilivyo vibovu.
St. Kayumba na hizi English medium/private wote wale wale wanaendelea kutoa yale yaliyo mabovu yaliyo andaliwa na wizara ya elimu.
Utofauti ni mazingira tu huku huyu St.kayumba akipokea elimu mbovu kwenye mazingira mabovu huku Private anapokea elimu mbovu kwenye mazingira bora.
Mfano. Ni sawa na watu wawili wanao kula maembe yaliyo oza katika sehemu mbili tofauti, mmoja akila embe lake lililo oza chooni mwengine akilila ndani ya hoteli ya nyota tano.
Ila wote kwa pamoja wamekula vilivyo oza.