Ili niamini wewe ni Pisikali lazima utoe urembo wote uliouweka Mwilini mwako

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
Kwema Wakuu!

Yaani unanisonya na kunipandisha na kunishusha kisa hilo wigi lako. Unachekesha sana.

Mimi najua unakipilipili kikali sana. Hiyo Makeup yako iliyokuchonga sura na kuyafanya macho yako kuwa makubwa ndio unaniringishia wakati najua jinsi ulivyo na pua pana kama nyanya chungu.

Kama unajiamini kweli wewe ni mzuri toa hiyo Makeup yako. Wewe si mzuri bhana!
Utawaburuza haohao kanyaboya wako washamba wa watoto wakali.

Mtoto bila wanja hutoki hata mlangoni kwako ndio unitishie mimi Mnyamwezi. Thubutu!

Kalale mbele huko.
 
_20231208_194345.JPG
 
Duu mkuu km vilee unasemaa mtu aliyekukataa
Punguzaa hasira kwanza unywe maji..
Km umemuona anavaa mawigi nawe upendi mawigi mkuu ,tafuta wakuendana nae .

Unapenda maslay queen na huna helaa
 
Wanawake ni watu wa ajabu sana mkuu. Kuna mwingine huku hata tako lenyewe hana, ila the way wajinga wajinga wanampa kichwa huku, anajiona malaika.

Pole sana mkuu kwa kukataliwa lakini
 
Kwema Wakuu!

Yaani unanisonya na kunipandisha na kunishusha kisa hilo wigi lako. Unachekesha sana.
Mimi najua unakipilipili kikali sana. Hiyo Makeup yako iliyokuchonga sura na kuyafanya macho yako kuwa makubwa ndio unaniringishia wakati najua jinsi ulivyo na pua pana kama nyanya chungu.

Kama unajiamini kweli wewe ni mzuri toa hiyo Makeup yako. Wewe si mzuri bhana!
Utawaburuza haohao kanyaboya wako washamba wa watoto wakali.

Mtoto bila wanja hutoki hata mlangoni kwako ndio unitishie mimi Mnyamwezi. Thubutu!

Kalale mbele huko.
Mi pisikali ni mwanamke mwenye makalio manene asiwe na kitambi
kanga_mokotz-post-2023_12_01_09_23.jpg
 
Duu mkuu km vilee unasemaa mtu aliyekukataa
Punguzaa hasira kwanza unywe maji..
Km umemuona anavaa mawigi nawe upendi mawigi mkuu ,tafuta wakuendana nae .

Unapenda maslay queen na huna helaa

Avue hayo madude ndio anipandishe na kunishusha
 
Back
Top Bottom