D voice ndio msanii aliyefeli kuliko wasanii wote waliowahi kutambulishwa na WCB

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,695
5,467
Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini.

Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini, lakini licha ya hayo walikuwa na drama nyingi nje ya uwanja.

Wcb mwambieni hata mboso amuandikie huyo dogo wimbo mmoja, kisha mumtafutia lijimama hata mashalove ionekane ananing’inia kwenye yale maziwa watu wapate la kumzungumzia hapa town.
 
Tangu lini singeli ikaenda duniani, yule n msanii wa hapo hapo Dar tuu hawezi kufika hata hapo Morogoro hata wakimtafutia kiki
 
Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini.

Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini, lakini licha ya hayo walikuwa na drama nyingi nje ya uwanja.

Wcb mwambieni hata mboso amuandikie huyo dogo wimbo mmoja, kisha mumtafutia lijimama hata mashalove ionekane ananing’inia kwenye yale maziwa watu wapate la kumzungumzia hapa town.
Hawa walikosea kumtoa na album, bora EP au mfululizo wa single ili mashabiki wapate muda wa kumjua vizuri msanii.
 
Kwa mziki wake wa singeli sitegemei akasogea mbali sana. Wapenzi wa singeli ni wachache sana
 
Ngoma za Kwanza ya Harmonize AIYOLA, BADO, KWANGARU

Ngoma za Rayvanny za Kwanza KWETU, NITOKEJE UNAIBIWA

Zuchu alitoka na SUKARI....

Ila D Voice mbaka sasa Hana hit song walau Ngoma yake aliyoimba na Zuchu ina uhai ila sio hit song... Ajipange

Dogo tayari alikua na jina maana alitisha kwenye kolabo ya MADANGA YA MKE WANGU na Ile ya KUACHANA SHINGAPI...

Sema naona tangu atue wasafi amedrop but tumpe muda
 
Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini.

Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini, lakini licha ya hayo walikuwa na drama nyingi nje ya uwanja.

Wcb mwambieni hata mboso amuandikie huyo dogo wimbo mmoja, kisha mumtafutia lijimama hata mashalove ionekane ananing’inia kwenye yale maziwa watu wapate la kumzungumzia hapa town
Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini.

Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini, lakini licha ya hayo walikuwa na drama nyingi nje ya uwanja.

Wcb mwambieni hata mboso amuandikie huyo dogo wimbo mmoja, kisha mumtafutia lijimama hata mashalove ionekane ananing’inia kwenye yale maziwa watu wapate la kumzungumzia hapa town.

Mbona hamzungumzii harmonize alivyokimbizwa na D voice kwenye Swahili Kid vs Visit Bongo???????

Kwenye platforms km Boomplay, Youtube, Apple music, Audiomack album ya Swahili Kid iliongoza kwa streams & views na pia kushika chart za juu kuliko msanii yyte aliyeachia ngoma/album kwa wakati huo.

Ngoma kama mtamu, umenifunza, kama wengine, bam bam, nimezama ni hits ambazo zimefanya vzr sana sehemu za platforms.

Kuna upcoming wengi wamewahi kuachia album mfano ibraah, vanilla, Tommy flavor na ata wakongwe wapo ila walishindwa kuwa namba 1 popote pale. Harmonize alipigwa kote kuanzia youtube, audiomack, boomplay na bila kusahau ktk album ya harmonize hakuna ata hit moja maana hakuna ngoma yyte iliweza kushika charts za juu kwenye platforms tofauti.
 
Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini.

Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini, lakini licha ya hayo walikuwa na drama nyingi nje ya uwanja.

Wcb mwambieni hata mboso amuandikie huyo dogo wimbo mmoja, kisha mumtafutia lijimama hata mashalove ionekane ananing’inia kwenye yale maziwa watu wapate la kumzungumzia hapa town.
🤔Hivi kumbe hizi ndio njia za kujua uku mtaani kugumu hivi alafu atuendi mjini 😂
 
Back
Top Bottom