Mbosso ndiyo msanii wa bongofleva mkali kuliko wote kwa live music. The best ever!

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
Tangu mapinduzi ya muziki wa Tanzania yatokee kwenye miaka ya 1990 na kuzaliwa muziki wa kizazi kipya yani bongofleva kumetokea wasanii wengi hodari.

Ila hajawai kutokea mpaka sasa msanii anaeweza kuimba live nyimbo au muziki wa bongofleva kumzidi Mbosso.

Mbosso ni fundi wa live music.
Anaimba live bila kuamia kwenye lingala wala RnB anabaki kwenye bongofleva.

Akiimba live anajua ku connect na washabiki wakatulia tuli na kumskiliza huku wakitamani aimbe zaidi na zaidi.

Mwaka 2024 na miaka mitatu ijayo Tanzania itafaidi sana kipaji cha Mbosso na tutakuwa na msanii wa kujivunia kwenye industry ya bongofleva.

Ndio msanii anaeweza kufanya transformation ya bongofleva sound.

Unaweza tazama moja ya show yake aliyoweka kwenye account yake ya YouTube.

View: https://youtu.be/8_uusYTkeMQ?feature=shared
 
Ukoo sawa, kwa kuongezea tu Mbosso ana mashairi matamu kinomanoma.
Ana chumba kikubwa cha kuonesha talent kubwa aliyonayo . Wakati diamond anamsain ndoto yake ni kumuona jukwan akifanya anachokifanya sasa kwenye live music
 
Tangu mapinduzi ya muziki wa Tanzania yatokee kwenye miaka ya 1990 na kuzaliwa muziki wa kizazi kipya yani bongofleva kumetokea wasanii wengi hodari.

Ila hajawai kutokea mpaka sasa msanii anaeweza kuimba live nyimbo au muziki wa bongofleva kumzidi Mbosso.

Mbosso ni fundi wa live music.
Anaimba live bila kuamia kwenye lingala wala RnB anabaki kwenye bongofleva.

Akiimba live anajua ku connect na washabiki wakatulia tuli na kumskiliza huku wakitamani aimbe zaidi na zaidi.

Mwaka 2024 na miaka mitatu ijayo Tanzania itafaidi sana kipaji cha Mbosso na tutakuwa na msanii wa kujivunia kwenye industry ya bongofleva.

Ndio msanii anaeweza kufanya transformation ya bongofleva sound.

Unaweza tazama moja ya show yake aliyoweka kwenye account yake ya YouTube.

View: https://youtu.be/8_uusYTkeMQ?feature=shared

Humjui linex sandey mjeda.. usingekuwa unaandika haya.

Mbosso anaimba vizuri Ana flavour yake pia lakini linex yupo vizuri

Mbosso khan.. 💥
 
Linex bado sana kwa Mbosso, mtu anaeweza shindana nae labda Aslay.
 
Back
Top Bottom