Ushauri: Serikali iwahamishe wakazi wote eneo la mlima Hanang Manyara

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,162
22,677
Salaam, Shalom!!!

Baada ya Kutokea maporomoko na maafa mlima Hanang, zimefanyika jitiada kadhaa kurudisha maisha ya Wahanga yarudi kama zamani.

Tumeshuhudia pia mamlaka Jana zikireport tetemeko la ukubwa wa 4.7 , hizi zote ni dalili za kuja Kutokea mlipuko wa volcano halisi.

Ninaiomba Serikali yangu kuhakikisha wananchi waishio chini ya mlima huo waondolewe na kwenda Mahali salama.

Kinga ni Bora kuliko Tiba🙏

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Amen
 
Niko Hanang muda huu, hali sio shwari.
Wananchi wameathirika sana kisaikolojia na wamejaa hofu.
Jumatano ilinyesha mvua kubwa tulilala kwa hofu kubwa.

Hadi sasa kuna familia nyingi hazina makazi wanahifadhiwa na jamaa zao.

Soko la vyakula limefungwa hadi leo.

Watu wana majereha mwili kwa kuumizwa na hilo janga.

Masinulizi ya wananchi yanaogofya.

Kibaya zaidi mlima ulifumuka pembeni yaani sana na mtu atoboke tumbo.

Wanajiuliza ni lini tena utafumuka?

Serikali ifanye kitu
 
Sidhani mkuu!

Tunajipanga na uchaguzi,na uchaguzi no gharama sana!

Hatuwezi ingia gharama za kuhamisha makazi ya watu!!

Ndivyo wakubwa wa chama watakavyosema!!
 
Niko Hanang muda huu, hali sio shwari.
Wananchi wameathirika sana kisaikolojia na wamejaa hofu.
Jumatano ilinyesha mvua kubwa tulilala kwa hofu kubwa.

Hadi sasa kuna familia nyingi hazina makazi wanahifadhiwa na jamaa zao.

Soko la vyakula limefungwa hadi leo.

Watu wana majereha mwili kwa kuumizwa na hilo janga.

Masinulizi ya wananchi yanaogofya.

Kibaya zaidi mlima ulifumuka pembeni yaani sana na mtu atoboke tumbo.

Wanajiuliza ni lini tena utafumuka?

Serikali ifanye kitu
Poleni na tetemeko limesikika na huko pia?
 
Watu hawana tu uwezo kuhama.

Lakini Hali inatisha.

Mungu awajalie viongozi wetu kutangulia kuona mbele kabla yetu.

Amen
 
Niko Hanang muda huu, hali sio shwari.
Wananchi wameathirika sana kisaikolojia na wamejaa hofu.
Jumatano ilinyesha mvua kubwa tulilala kwa hofu kubwa.

Hadi sasa kuna familia nyingi hazina makazi wanahifadhiwa na jamaa zao.

Soko la vyakula limefungwa hadi leo.

Watu wana majereha mwili kwa kuumizwa na hilo janga.

Masinulizi ya wananchi yanaogofya.

Kibaya zaidi mlima ulifumuka pembeni yaani sana na mtu atoboke tumbo.

Wanajiuliza ni lini tena utafumuka?

Serikali ifanye kitu
Sasa Serikali isipofanya itakuaje?
 
Salaam, Shalom!!!

Baada ya Kutokea maporomoko na maafa mlima Hanang, zimefanyika jitiada kadhaa kurudisha maisha ya Wahanga yarudi kama zamani.

Tumeshuhudia pia mamlaka Jana zikireport tetemeko la ukubwa wa 4.7 , hizi zote ni dalili za kuja Kutokea mlipuko wa volcano halisi.

Ninaiomba Serikali yangu kuhakikisha wananchi waishio chini ya mlima huo waondolewe na kwenda Mahali salama.

Kinga ni Bora kuliko Tiba🙏

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Amen
Wananchi nao wanatakiwa kuchukua tahadhari
 
Niko Hanang muda huu, hali sio shwari.
Wananchi wameathirika sana kisaikolojia na wamejaa hofu.
Jumatano ilinyesha mvua kubwa tulilala kwa hofu kubwa.

Hadi sasa kuna familia nyingi hazina makazi wanahifadhiwa na jamaa zao.

Soko la vyakula limefungwa hadi leo.

Watu wana majereha mwili kwa kuumizwa na hilo janga.

Masinulizi ya wananchi yanaogofya.

Kibaya zaidi mlima ulifumuka pembeni yaani sana na mtu atoboke tumbo.

Wanajiuliza ni lini tena utafumuka?

Serikali ifanye kitu
Poleni Sana
 
Dah Mungu atusaidie ila hofu bado ni kubwa,ukifika mazingira ya kijiji cha Jorodom karibu na mlima utalia haswa,kiujumla hali ni tete hili jambo hadithiwa tu
 
Back
Top Bottom