Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,102
- 2,717
Jambo la kwanza ni torture. Utesaji wa inmates ambao unafanywa na polisi pamoja na TISS.
Kumkamata mtu na kumweka mahabusu au kumweka jela haionekani kwamba ni adhabu ya kutosha kuwashikisha adabu watu.
Jambo la pili,watuhumiwa wa uhalifu wakati mwingine wanalawitiwa huko jela,kama sehemu ya adhabu.
Ndiyo inavyokuwa hao kina Mdude hawaishi kuongea kuhusu Katiba Mpya.
Ukiondoa hizo cruel and unusual punishments, nadhani inaweza kutokea more clarity katika hili swala la kudai Katiba Mpya.
Kwa sababu TISS ni Mossad-trained. Kwa hiyo,inevitably yanatokea haya matatizo.
Unajua Mosssd are such wonderful people.
They are the most wonderful people in the whole world.
Unajua kwa nini serikali ya Sri Lanka iliwashinda Tamil Tigers?
They had Mossad advisers.