Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.
Habari wana JF,
Ninatumai habari njema.
Nilikuwa ninafikiri kujenga nyumba lakini ukitaka kujenga nyumba ya kuishi lazima ufikiri hata surrounding yako (mazingira yanayokuzunguka) kwa mfano majirani, usafi wa mtaa
Hyvio nilitaka kuweka hapa baadhi ya picha ya neighborhood popote niliona...
Miaka ya karibuni kumezuka hombwe la kufata mkumbo kutoka magharibi (utandawazi) ktk nyanja nyingi.
Leo hii nitazungumzia nyanja moja tu ya urembo.
Utaona wadada wetu wanajiremba na kujirembua kwa kasi ikiwemo kubadilisha maumbile yao kama MAKALIO.MATITI.NYWELE .MAKUCHA NK. na hata rangi zaoza...
Ni wiki sasa tukianzia kule Zanzibar tumeona kamati ya Uongozi ya CCM ikifanya mikutano ya kisiasa , lakini pia nimeona trend ya Chadema wakiendelea na oparesheni haki kwenye mikoa mbalimbali hapa nchini japo nadhani wao wanafanyia ndani (sina uhakika).
Lakini Mh Rais alikuwa ametoa kauli kuwa...
Nianze na hadithi fupi itakayoambatana na swali mwishoni mwake
“Robin ni farasi wa thamani sana aliyeshinda mashindano mbalimbali ya kidunia na amekuwa akipata medali kadhaa na pia anasifika kuwa na umbo bora kabisa la kiushindani ambalo limekuwa likimsaidia kushinda mbio mbalimbali za farasi ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.