Mwanaume wewe ni mtu muhimu na wa thamani sana

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
19,763
35,201
Nawatakia ijumaa njema kwenu wanaume wote wabeba majukumu ya uanaume, watufataji, wenye upendo na huruma.

Mjue tuu nyie ni wa thamani sana

Mwenyezi Mungu awape maisha marefu na yenye amani na furaha tele. Amani yenu ndio furaha yetu
 
Mmekuja na gia mpya Sasa..

We are important ila ndo wanatupiga na vitu vizito kisogoni..😂
Anyway but nimependa ushauri wa tule vizuri, mazoezi na tuvae vyema,tutafute na hela ila Kuna wadada wanakutesa hata ukiwa na hivyo vyote I mean unateswa wewe na hela zako, kula yako,mazoezi yako na ndevu zako!

Tuishi nao kwa akili tu.
 
🤣🤣🤣🤣

Happy friday KENZY
 
Nawatakia ijumaa njema kwenu wanaume wote wabeba majukumu ya uanaume, watufataji, wenye upendo na huruma.

Mjue tuu nyie ni wa thamani sana

View attachment 2031120

Mwenyezi Mungu awape maisha marefu na yenye amani na furaha tele. Amani yenu ndio furaha yetu
Changamoto mapokeo, unaweza sema jambo kwa nia njia wenzio wakaligeza mbele nyuma na nyuma mbele likawa tofauti kabisaaaaaaaa na mtoa mada ukaonekana kituko, asante kwa kujua thamani ya mwanaume bado tunapambana sana ,
Leo ni HOTFRIDAY
 
Kila mtu anao uhuru wa kuelewa jambo awezavyo, ila iwe bila kumshurtisha mwingine kuamini kile anachokielewa yeye

Happy friday
 
Nawatakia ijumaa njema kwenu wanaume wote wabeba majukumu ya uanaume, watufataji, wenye upendo na huruma.

Mjue tuu nyie ni wa thamani sana

View attachment 2031120

Mwenyezi Mungu awape maisha marefu na yenye amani na furaha tele. Amani yenu ndio furaha yetu
Natumia fursa hi pia kutakia mke wangu bonge na mabonge wengine ijuuma kareem, tumawapenda sanaa, japo mnakua wazito kwenye 6×6 ila tunawapenda sana tulisha kubaliana na hali zenu.
 
Inabidi na nyie mnenepe tubalance mambo🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom