Kama hujalielewa hili Fumbo Takatifu la Godbless Lema jipige Kofi na jiambie tu Wewe ni Zuzu Mkomavu duniani

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Ninawaza.Umewekwa mahabusu na kosa lako lina dhamana.Lakini hupewi dhamana.Mkeo anajaribu kukutafutia dhamana,inakuwa ngumu.Anaamua kufanya mapenzi na OCD unaachiwa.Mkiwa mmelala anakuambia,unajua kwa jinsi ninavyo kupenda niliamua kulala na OCD hili uachiwe? What is Love? Kaandika Ndugu Godbless Lema katika Twita yake.

Asante Lema wenye Akili tumekuelewa.
 
Mimi zuzu sijaelewa alielewa aturahisishie Sisi wahuni ni jinsi gani tuuzidishe Uchawa kwa hao Vibopa
 
Ninawaza.Umewekwa mahabusu na kosa lako lina dhamana.Lakini hupewi dhamana.Mkeo anajaribu kukutafutia dhamana,inakuwa ngumu.Anaamua kufanya mapenzi na OCD unaachiwa.Mkiwa mmelala anakuambia,unajua kwa jinsi ninavyo kupenda niliamua kulala na OCD hili uachiwe? What is Love? Kaandika Ndugu Godbless Lema katika Twita yake.

Asante Lema wenye Akili tumekuelewao

Mambo ya Ngoso muachie Ngoso
 
Chadema nashindwa kuwaelewa Nimemsikiliza Lisu Leo na kusoma comments za wanachadema wengi baada ya Zito na Raisi wa Jamuhuri kuongea Jana, Ila sijawaelewa Chadema, hivi mnachotaka ni kitu gani? Sababu mpaka sasa Mbowe yuko ndani nyinyi mko kwenu na wengine wako Ulaya wanakula maisha na kula vizuri, Zito ameplay part kubwa katika kupigania Mbowe aachiwe no matter what Leo mnakuja na kejeli eti hamkumtuma, napata tabu sana kuwaelewa eti mnaojiita wasomi na wajuzi wa mambo ya kisiasa. Hope less Chadema.
 
Back
Top Bottom