Wewe ni Developer/Programmer Mkali? Nakuhitaji!

Pep

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,886
2,000
Ndugu zangu,

Kama wewe ni software & web developer mzuri, na upo Dar, nadhani nina project kwaajili yako.

A quick introduction about the project;-
 1. Project itahusisha utengenezwaji wa high performing website (ambayo ningependa kuiita platform ama portal) kutokana na multifunctionality yake.
 2. Hii platform itakua na integrations mbalimbali ikiwemo payments, lakini pia, itahusisha mifumo kadhaa ya data base.
 3. Mwisho, itakua na CRM ambayo hii itahitaji kuwa na uwezo wa kutumika nje ya platform. Kwamba, tunaweza mpatia mtu API ya hii CRM ikawa intergrated kwake, then ikatumika indoor.
Nini nitahitaji kutoka kwako?
 1. Moja, nataka kufanya kazi na individual, not a company.
 2. Mbili, uwe based Dar es Salaam
 3. Tatu, uwe tayari kutengeneza hii platform kwa kutumia most updated programming languages ambazo in case of anything, take over by another programmer haitakua challenging.
 4. Nne, uwe tayari kufanya kazi kwa karibu na developer/programmer wangu.
 5. Tano, natamani sana uwe mtu mwenye uelewa mpana, wa haraka, lakini pia uwe forward thinking....nikiintroduce project aweze kuiona hadi mwisho wake na kushauri namna ya ku improve.
Nini atapata kutoka kwangu?
 1. Malipo tutakayokubaliana kwaajili ya development ya hiyo platform.
 2. Ongoing payments kwaajili ya maintenance baada ya platform kuwa launched.
Kama utakua tayari kunifahamisha projects mbili umefanya successfully, tutaweza kuonana nikiwa na programmer wangu kwaajili ya mazungumzo zaidi.

Karibuni wakuu.

NOTE: Nimefunga PM kwa makusudi kabisa, based on comments zitakazotolewa, ntaona nani ntam contact mwenyewe.

I am sorry, that will be my way of getting the candidates I need.

I am not saying my way is better, it's just my way, so....apologies for any candidate who will feel hard done.
 
Mutha007

Senior Member
May 27, 2018
164
500
Sasa si umuonyeshe tu huyo nerd wa IT bandiko hili mwenyewe ataamua kama kazi anaiweza na kuitaka au na wewe unatafuta cha juu
Kabugira, umeongea point.
Walakini ni kwamba nerd hayuko JF, na OP amesema ata-PM mtu directly kutoka kwenye comments.
 
Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,526
2,000
Mkuu kwanza mimi sio programmer mkali kama ulivosema maana kwa uzoefu wangu hakuna programmer mkali.Kuna watu ambao ni programmer na ambao sio programmers.

Pili kwa kazi unayohitaji scope yako ni pana sana kwa mtu kuweza kujipima na kuamua iwapo aina ya kazi unayotaka afanye ataimudu na kujipima.

Tatu tayari una programmer wako ambaye naamini kama ni programmer kweli anaweza kukwambia anahitaji watu wazuri katika maeneo gani.

Nne kwa aina ya mfumo unaotaka kutengeneza naamini kabisa unahitaji watu wenye skill tofauti.

Labda kwa faida yetu wote PM yangu iko wazi.

Ila naomba umwambie Programmer wako akusaidie taarifa zifuatazo kuhusu project yako?

Je anahitaji watu katika maeneo gani?Mfano:

Database designers,GUI designers Back end designers,Testers,Bug trackers,Content creators,Researchers,Sytem Analysts,Content Creators etc.

Je Programming languages gani hasa zitakuwa zinalengwa.

Nafikiri ni wakati sasa kwa watu kuelewa kwamba kutengeneza Program nzuri hakuhitaji programmer mzuri bali kunahitaji program nzuri.Mataifa mengi yana programmers wazuri sana lakini kutengeneza program nzuri bado ni kazi kwa sababu tunahitaji zaidi ya programmers kutengeneza program nzuri.

Karibu ni kila la heri.
 
Pep

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,886
2,000
Ahsante mkuu, naweka ratiba sawa nione weekend hii naweza vipi ku set meeting na George & Masoktz.

Kama kwa namna yoyote sitapata wa kwenda naye kwenye hili kati ya hawa wawili, then Kuchwizzy pia yupo kwenye sidelines.

Pep namuelewa sana, nje ya mpira pia.....namna anaishi na familia yake.
 
Pep

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,886
2,000
Wakuu nadhani kwa sasa tunaweza kufunga uzi niweze kukutana kwanza na hawa wataalamu waliokwisha jitokeza.

Ahsanteni.
 
Jul 8, 2020
36
95
Ndugu zangu,

Kama wewe ni software & web developer mzuri, na upo Dar, nadhani nina project kwaajili yako.

A quick introduction about the project;-
 1. Project itahusisha utengenezwaji wa high performing website (ambayo ningependa kuiita platform ama portal) kutokana na multifunctionality yake.
 2. Hii platform itakua na integrations mbalimbali ikiwemo payments, lakini pia, itahusisha mifumo kadhaa ya data base.
 3. Mwisho, itakua na CRM ambayo hii itahitaji kuwa na uwezo wa kutumika nje ya platform. Kwamba, tunaweza mpatia mtu API ya hii CRM ikawa intergrated kwake, then ikatumika indoor.
Nini nitahitaji kutoka kwako?
 1. Moja, nataka kufanya kazi na individual, not a company.
 2. Mbili, uwe based Dar es Salaam
 3. Tatu, uwe tayari kutengeneza hii platform kwa kutumia most updated programming languages ambazo in case of anything, take over by another programmer haitakua challenging.
 4. Nne, uwe tayari kufanya kazi kwa karibu na developer/programmer wangu.
 5. Tano, natamani sana uwe mtu mwenye uelewa mpana, wa haraka, lakini pia uwe forward thinking....nikiintroduce project aweze kuiona hadi mwisho wake na kushauri namna ya ku improve.
Nini atapata kutoka kwangu?
 1. Malipo tutakayokubaliana kwaajili ya development ya hiyo platform.
 2. Ongoing payments kwaajili ya maintenance baada ya platform kuwa launched.
Kama utakua tayari kunifahamisha projects mbili umefanya successfully, tutaweza kuonana nikiwa na programmer wangu kwaajili ya mazungumzo zaidi.

Karibuni wakuu.

NOTE: Nimefunga PM kwa makusudi kabisa, based on comments zitakazotolewa, ntaona nani ntam contact mwenyewe.

I am sorry, that will be my way of getting the candidates I need.

I am not saying my way is better, it's just my way, so....apologies for any candidate who will feel hard done.

Ndugu zangu,

Kama wewe ni software & web developer mzuri, na upo Dar, nadhani nina project kwaajili yako.

A quick introduction about the project;-
 1. Project itahusisha utengenezwaji wa high performing website (ambayo ningependa kuiita platform ama portal) kutokana na multifunctionality yake.
 2. Hii platform itakua na integrations mbalimbali ikiwemo payments, lakini pia, itahusisha mifumo kadhaa ya data base.
 3. Mwisho, itakua na CRM ambayo hii itahitaji kuwa na uwezo wa kutumika nje ya platform. Kwamba, tunaweza mpatia mtu API ya hii CRM ikawa intergrated kwake, then ikatumika indoor.
Nini nitahitaji kutoka kwako?
 1. Moja, nataka kufanya kazi na individual, not a company.
 2. Mbili, uwe based Dar es Salaam
 3. Tatu, uwe tayari kutengeneza hii platform kwa kutumia most updated programming languages ambazo in case of anything, take over by another programmer haitakua challenging.
 4. Nne, uwe tayari kufanya kazi kwa karibu na developer/programmer wangu.
 5. Tano, natamani sana uwe mtu mwenye uelewa mpana, wa haraka, lakini pia uwe forward thinking....nikiintroduce project aweze kuiona hadi mwisho wake na kushauri namna ya ku improve.
Nini atapata kutoka kwangu?
 1. Malipo tutakayokubaliana kwaajili ya development ya hiyo platform.
 2. Ongoing payments kwaajili ya maintenance baada ya platform kuwa launched.
Kama utakua tayari kunifahamisha projects mbili umefanya successfully, tutaweza kuonana nikiwa na programmer wangu kwaajili ya mazungumzo zaidi.

Karibuni wakuu.

NOTE: Nimefunga PM kwa makusudi kabisa, based on comments zitakazotolewa, ntaona nani ntam contact mwenyewe.

I am sorry, that will be my way of getting the candidates I need.

I am not saying my way is better, it's just my way, so....apologies for any candidate who will feel hard done.
ok! naomba your contacts au unaweza nicheck 0711633656
 
 • Thanks
Reactions: Pep

Mlolongo

JF-Expert Member
Jul 4, 2019
2,136
2,000
Ahsante mkuu, naweka ratiba sawa nione weekend hii naweza vipi ku set meeting na George & Masoktz.

Kama kwa namna yoyote sitapata wa kwenda naye kwenye hili kati ya hawa wawili, then Kuchwizzy pia yupo kwenye sidelines.

Pep namuelewa sana, nje ya mpira pia.....namna anaishi na familia yake.
Mchukue Kuchwizzy ni mkali sana.

mathsjery tatizo yuko mbali sana (Mwanza). Halaf ana ubishi flani hivi.

Mwingine ni Stephano Mtangoo. Sema huyu jamaa lazima aje na li-kampuni lake. Watakuchaji hela kibao.
 
boy_sunday

Member
Jul 9, 2016
11
45
Ndugu zangu,

Kama wewe ni software & web developer mzuri, na upo Dar, nadhani nina project kwaajili yako.

A quick introduction about the project;-
 1. Project itahusisha utengenezwaji wa high performing website (ambayo ningependa kuiita platform ama portal) kutokana na multifunctionality yake.
 2. Hii platform itakua na integrations mbalimbali ikiwemo payments, lakini pia, itahusisha mifumo kadhaa ya data base.
 3. Mwisho, itakua na CRM ambayo hii itahitaji kuwa na uwezo wa kutumika nje ya platform. Kwamba, tunaweza mpatia mtu API ya hii CRM ikawa intergrated kwake, then ikatumika indoor.
Nini nitahitaji kutoka kwako?
 1. Moja, nataka kufanya kazi na individual, not a company.
 2. Mbili, uwe based Dar es Salaam
 3. Tatu, uwe tayari kutengeneza hii platform kwa kutumia most updated programming languages ambazo in case of anything, take over by another programmer haitakua challenging.
 4. Nne, uwe tayari kufanya kazi kwa karibu na developer/programmer wangu.
 5. Tano, natamani sana uwe mtu mwenye uelewa mpana, wa haraka, lakini pia uwe forward thinking....nikiintroduce project aweze kuiona hadi mwisho wake na kushauri namna ya ku improve.
Nini atapata kutoka kwangu?
 1. Malipo tutakayokubaliana kwaajili ya development ya hiyo platform.
 2. Ongoing payments kwaajili ya maintenance baada ya platform kuwa launched.
Kama utakua tayari kunifahamisha projects mbili umefanya successfully, tutaweza kuonana nikiwa na programmer wangu kwaajili ya mazungumzo zaidi.

Karibuni wakuu.

NOTE: Nimefunga PM kwa makusudi kabisa, based on comments zitakazotolewa, ntaona nani ntam contact mwenyewe.

I am sorry, that will be my way of getting the candidates I need.

I am not saying my way is better, it's just my way, so....apologies for any candidate who will feel hard done.
Hebu fanya wasiliana na huyu natumai kiu yako itaisha.

Screenshot_20211119-191337.png
 
Cybergates

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
469
1,000
 1. Project itahusisha utengenezwaji wa high performing website (ambayo ningependa kuiita platform ama portal) kutokana na multifunctionality yake.
 2. Hii platform itakua na integrations mbalimbali ikiwemo payments, lakini pia, itahusisha mifumo kadhaa ya data base.
 3. Mwisho, itakua na CRM ambayo hii itahitaji kuwa na uwezo wa kutumika nje ya platform. Kwamba, tunaweza mpatia mtu API ya hii CRM ikawa intergrated kwake, then ikatumika indoor.
Kwa experience yangu website kwa iyovigezo vyako lazima iwe developed juu ya web framework. Framework nyingi zimetengeneza ku handle complex websites na zenye features nyingi kama ulivyo sema. Pia security ni jambo ya umuhimu pia web framework imelishuhulikia vitu kama
 1. cross site scripting
 2. sql injection
 3. DDos & Dos
 4. brute force attack
 5. Phishing
 6. file upload attack na nyingine nyingi
Ikiwa website na futures nying lazima iwa na uwezo wa ku-handel users permissions ku customize kila user action ni changamoto sana unahitaji developer mwenye uwezo mkubwa ka kufikiri nje ya box.

kama unategemea kutumia mifumo mingi ya nje kama payment api, mambo ya currency exchange (sijui ku convert kutoka USD to TSH etx), labda mambo ya postcode unaiataji kutumia language ambayo hizo resource ni rahisi ki intergrate

Kwa maelezo yako hapo juu ya namana wesite itayotaka iwa kama sio ecommerce ni payment application

mimi kama mimi na recormend

Kwenye Back tumia
1. Django (Hii ni hatari inakupakila unachotaka, kuanzia django restful api, security, speed, sijui database relation kama website ni complex sana tumia django hata huko mbele kuja ku set mambo ya ML au DL ni rahisi sana)

2. Ruby on rails ( Moja ya framework nzuri ni hii rails hasa ikiyumika kwenye backend alafu front end ikipewa nguvu na react js, sidhani kama TZ kuna website ya hivi/ changamoto hapa ni kupata developer)

3. laravel (Ukitaka kujua PHP ina nguvu kiasi gani tumia hii)

4. Yii & CodeIgnitor (Hizi nazo si haba)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom