Umenunua kigari cha milioni 15 unakata bima comprehensive. Una akili sawa sawa wewe?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
11,810
2,000
Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini?

Unayatajirisha bure makampuni ya bima. Wewe hunufaiki chochote. By the way, kuna watu wana nyumba zao za milioni 50, 70, 100 au 200 lkn hawajazikatia bima. Lkn wakinunua viagari vya milioni 10, 20, 30 wanakata bima. Uzwazwa huu.

N.B. Nimeona wengi wanalipa bima ya comprehensive miaka 4 au 5 halafu wanaamua kujitoa na kuanza kulipa bima ndogo. Utaahira huu.

Kalaga baho!
 

Mbususu Enthusiast

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,045
2,000
Watanzania tunaendekeza na kupenda sana anasa kwa mambo ya kipuuzi kama magari na umeme wakati Mungu katuumba na miguu. Kulikuwa na haja gani basi kuwa na miguu? Mazinjathropus na binadamu wa awali walikuwa hawatumii magari na umeme na Maisha yao yalikuwa bora na nafuu kutuliko.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom