Polepole usikate tamaa kutetea rasilimali za taifa lako, watanzania wapo pamoja na wewe. Sauti ya umma ni sauti ya Mungu.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,085
6,564
Hakuna mtanzania anayefurahi kuona kuna mgao wa umeme, kuona mradi muhimu kama JNHP unachelewa kwa mizengwe, na kuona mradi kama bandari ya Bagamoyo unapigiwa debe huku kuna bandari ya Tanga na Dsm.

Watanzania wenye nia njema na taifa lao wapo na wewe. Pambana na usikate tamaa mpaka mwisho. Kumbuka wewe ni sauti ya umma na unatumika kama microphone.

My take; Ukiona wahuni wanatumia njia za msituni kupambana na hoja ujue wamekwama.
 
Polepole ni mnafiki tu kama wanafiki wengine, ni mtu wa kuangalia maslahi yake binafsi, zile pesa alizotumia kununua wapinzani katika uchaguzi uliopita zingeweza kuwa na tija kama zingetumika katika maendeleo.

Pole pole ni mchumia tumbo.
 
Polepole ni Shetani na kinachomtesa sasa ni masononeko baada ya kupigwa chini ndani ya chama, alikuwa akijipigia 10% yake kila alipofanya manunuzi ya wapinzani.
 
Polepole ni mnafiki tu kama wanafiki wengine, ni mtu wa kuangalia maslahi yake binafsi, zile pesa alizotumia kununua wapinzani katika uchaguzi uliopita zingeweza kuwa na tija kama zingetumika katika maendeleo.

Pole pole ni mchumia tumbo.
Pamoja na uchumia tumbo wake lakini hataki nyie wahuni mtafune lasilimali za nchi kiholela.
Kwa hiyo mafisi mlio ndani ya CCm na Upinzani na wale wasio na chama baneni midomo yenu kwenye mali za nchi.
 
Polepole anajaribu kujisafisha kwa utumbo alioufanya kipindi cha jpm. Unafiki umemjaa sana kikongwe huyu! Alihujumu uchaguzi 2020 saivi anajifanya anatufundisha demokrasia! Katika uongozi wao na bashiru watu walitekwa na kuuawa saivi anajifanya anatetea wanyonge! Katiba mpya n muhimu sana ili kuwajibisha kenge km hawa!
 
Wewe jamaa ni takataka huu ujumbe umekuvunjia sana heshima
 
Sifa ya polepole hakustahili kuwa kwenye chama chochote cha siasa.
Angeheshimika nakueleweka vizuri zaidi.
Sasa hivi ameharibiwa kuyajua ya ndani na aliyaishi.
 
Polepole anajaribu kujisafisha kwa utumbo alioufanya kipindi cha jpm. Unafiki umemjaa sana kikongwe huyu! Alihujumu uchaguzi 2020 saivi anajifanya anatufundisha demokrasia! Katika uongozi wao na bashiru watu walitekwa na kuuawa saivi anajifanya anatetea wanyonge! Katiba mpya n muhimu sana ili kuwajibisha kenge km hawa!
Umemaliza kila kitu mkuu wangu Polepole ni snitch
 
Hakuna mtanzania anayefurahi kuona kuna mgao wa umeme, kuona mradi muhimu kama JNHP unachelewa kwa mizengwe, na kuona mradi kama bandari ya Bagamoyo unapigiwa debe huku kuna bandari ya Tanga na Dsm.

Watanzania wenye nia njema na taifa lao wapo na wewe. Pambana na usikate tamaa mpaka mwisho. Kumbuka wewe ni sauti ya umma na unatumika kama microphone.

My take; Ukiona wahuni wanatumia njia za msituni kupambana na hoja ujue wamekwama.
Si alikua mhuni kama meko sasa nae anapitia yaleyale serikali yake iliyopitisha kuwazuia wapinzani wasisema,atulie tu asikilizie kilainishi chake kinavyopita kwenye mtaro wake,bladifakeni
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom