Kama wewe una miaka zaidi ya 25 na huna mpenzi, hilo ni tatizo sugu

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
15,244
2,000
Kama wikiend hii yote uko mwenyewe mwenyewe tu, huna mpenzi wa kukuweka bize na unamiaka zaidi ya 25 hilo ni tatizo sugu. Ondoka hapo ulipo, oga, piga pamba, nukia vizuri, zunguka zunguka huko mtaani, utapata wa kukuweka bize.

Maisha yanatafutwa, hela zinatafutwa, na mapenzi pia yanatafutwa. Usitegemee yakufuate hapo mezani

Chakarika.
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
18,451
2,000
Katika maisha kila mtu ana vipaumbele vyake. Kama wewe umeona kuwa na mpenzi ndio jambo la muhimu ni sawa hakuna anaetakiwa kukupangia. Ila watu watakushangaa kwanini unaona kuwa mtu mwingine kutokuwa na mpenzi ni jambo la ajabu.

Kupanga ni kuchagua. Kila mtu afanye anachotaka wakati naotaka.
 
Hivyo viungo havikuwekwa kama pambo mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom