House4Sale Viwanja bei ya ofa vikindu kwa laki saba tu

Kibenje KK

JF-Expert Member
May 28, 2016
267
380
OK HII HAIJAWAHI KUTOKEA, NI OFA BABU KUBWAA

FUNGA MWAKA KWA KUMILIKI KIWANJA CHA MAKAZI KWA BEI NAFUU. Karibu kwenye mradi wetu mpya wa viwanja kwa bei ya LAKI SABA TU (700,000/=). Hii ni bei kwa wateja watakaolipia kwa Cash. Na LAKI NANE TU (800,000/=) kwa wateja watakaolipia kwa installment (awamu) utaanza na nusu yake nyingine ndani ya miezi 3.

Viwanja vinapatikana Vikindu, Vianzi karibu na kiwanda cha Plastiki, viwanja vimepimwa, mazingira mazuri yanayovutia kwa makazi, huduma za kijamii kama maji, umeme, Shule na Zahanati viko karibu.

Ukubwa wa viwanja ni Futi 50 X 40 na unaweza kuunganisha zaidi ya viwanja viwili na kuendelea.

Usafiri wa kufika Vikindu ni Uhakika 💯. Kuna Magari ya moja kwa moja kutokea /Kwenda Kariakoo, Temeke, Kigamboni, Kivukoni, Buza, Mbagala n.k Njoo mpaka Vikindu.

Vikindu iko mbele ya Mbagala.

0762815104

Ukiwauliza Wakongwe wa Dar watakwambia majuzi Bunju, Goba, Mbezi kulikuwa ni mapori. Sasa hivi bei ya viwanja maeneo hayo hazishikiki. Chukua kiwanja Vikindu, baadae utajipongeza.

0762815104

IMG-20211121-WA0018.jpg


IMG-20211121-WA0020.jpg


IMG-20211121-WA0021.jpg
 
Niwape elimu kidogo. Huu ni mradi wa viwanja Vikindu, ni mradi mkubwa sio kuwa ninauza kiwanja kimoja cha mmiliki kuwa utafika nikuonyeshe hati yake hapana. Mfano kama mtu anauza kiwanja chake ni muhimu kuona hari ili kujua umiliki halali.

Viwanja hivi vipo zaidi ya 100 vikikatwa kwa sqm 400. Ndio maana ninasema mauziano ni serikali za mtaa. Huko utauliza maswali yote. Unaweza kuja ata na Mwanasheria wako. Ukitaka hati tukutafutie sisi utalipia 10% ya bei uliyonunuliwa. Hati huchukua miezi 3+

Karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom