watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

    Lengo kubwa la somo la historia ni kumfanya mwanadamu ajifunze yaliyopita ulimwenguni kote (siyo Tanzania tu) na hivyo kumwepusha kurudia makosa ya huko nyuma. Na wala siyo kufundisha uzalendo. BTW, nani kamdanganya JPM kuwa uzalendo unafundishwa darasani? Uzalendo maana yake ni upendo wa raia...
  2. JamiiForums Tanzania Kivuli cha wazee wazalendo kinapowafunika na kuwaziba watoto na wajukuu: Historia ya Kleist Abdu Sykes (1950 - 2017) & Bakari H Mwapachu (1939 - 2021)

    KIVULI CHA WAZEE WAZALENDO KINAPOWAFUNIKA NA KUWAZIBA WATOTO NA WAJUKUU: HISTORIA YA KLEIST ABDULWAHID SYKES (1950 - 2017) NA BAKARI HARITH MWAPACHU (1939 - 2021) Jana baada ya kifo cha Bakari Harith Mwapachu niliombwa niandike taazia yake. Nami nikajibu kuwa sikuwa namfahamu marehemu kwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tunavyoishi ni kama watoto wa bata

    Bata kama Bata pamoja na uhodari wake wa kupigana na kunguru/ nyoka na viumbe wengine, anatajwa kuwa ndiye kiumbe anayelea watoto kwa mtindo wa aina yake. Kawaida Mzazi ndiye humuongoza mtoto lakini kwa bata nikinyume chake. Malezi ya bata ni ya kipuuzi sana ambapo Watoto ndiyo humuongoza mzazi...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna huduma ya kuwekeza kwaajili ya elimu ya watoto?

    Eti wakuu, kuna huduma hiyo? Mfano unaweka 20 au 30 elfu kila mwezi kwaajili ya elimu ya mtoto hapo baadaye. Labda unaweka kwa miaka mitano au kumi. Ipo hivyo? Kama ipo pesa inakua kwa kiwango gani, yaani baada ya miaka kumi au mitano unakuwa na kiasi gani?
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

    Habari wadau.. January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo. Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta vifaa vya michezo mazingira ya nje kwa watoto

    Natafuta vifaa vya watoto vya kuchezea mazingira ya nnje kama shule ni. Mfano bembea, mterezo, baiskeli za chuma zilizounganishwa na chuma mithili ya bembea n.k. Utumapo bei ambatanisha na picha mbalimbali nichague.
  7. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana Watoto wanne kutoka kwa baba wanne tofauti mimi nataka kupewa Uuncle mbuzi. Never, Mjipange Wanawake

    Zaman ilikuwa ngumu sana kukuta mwanadada ana watoto wawil, watatu wana baba tofaut tofaut. Mimi sikuwa nikikutana sana na matukio ya hivi. Naumwa toka last week. Sometimes nakuwa fresh then nakuta kichwa kinawaka moto mpaka kizunguzungu. Ninepima Typhoid, Malaria, UTI, Pressure, kiwango cha...
  8. JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata mahali kwa ajili ya mtoto kujifunza michezo?

    Mwanangu 6 yr old girl anapenda sana michezo. Shule zetu hizi za ku cremisha cremisha hawajali Sana michezo. Je, wapi nitaweza kuwa nampeleka mwanangu kucheza hasa hasa baada ya school hours maana yeye anatoka saa nane mchana. Tupo Tabata lakini nitajieni popote ndani ya Dar. Michezo iko...
  9. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya kielimu yamekuwa kikwazo watoto kupenda kuajiriwa na kukacha biashara za wazazi, wewe mfanyabiashara umejipangaje??

    Kuna jirani hapa nilishangaa sana alipomuachisha chuo kijana wake akiwa mwaka wa pili, Huyu kijana alikuwa anasomea degree ya procurement, mzee wake akamwachisha kinguvu. Nikaja kujua kwamba mzee alikuwa anahofia sana mtoto wake anaweza kutekwa na maisha ya kuajiriwa na kuacha kabisa biashara...
  10. JamiiForums Tanzania Msidharau BIMA za watoto wapendwa, ni muhimu sana kwa watoto zetu

    Sijui niseme nini kwa wale wazazi mlio na watoto wa chini ya 18yrs na hamjawakatia BIMA bei ya bima ya mtoto ni 50,400 tu kwa mwaka mzima,mtoto anatibiwa kwa BIMA ugonjwa wowote utakaokatiza mbele yake. Kwann nasema hivi, nina mwanangu wa kiume umri wake wa kwenda mfanyia...
  11. JamiiForums Tanzania Maswali ya kuudhi - Umeoa? Umeolewa? Unao/olewa lini? Una watoto wangapi?

    Haya maswali binafsi huwa nayachukia sana japo kweli nimeolewa na nina watoto. Ni maswali too personal kumuuliza mtu mzima mwenye akili zake maamuzi yake. Ila bahati mbaya ni maswali ambayo watu wengi huwa wanapenda kuuliza bila hata kuwaza hisia za wale wanaowauliza. Tena heri haya maswali...
  12. JamiiForums Tanzania Je, na wewe unadhani Uhusiano mbaya kati ya walimu na wanafunzi ni moja ya chanzo cha kuwapo kwa maisha magumu kwa walimu?

    Wataalamu na watafiti wa elimu ya mendeleo ya watoto wadogo wanaamini kuwa zaidi ya asilimia 90 ya maendeleo ya ubongo hutokea kati ya kipindi cha umli wa mwaka mmoja (1) hadi miaka mitano (5). Hiki nikipindi muhimu sana kwa mtoto na hapa huwa anajua kipi kizuri kufanyiwa na kipi kibaya kufanyia...
  13. JamiiForums Tanzania Wazazi wengi huwakataza watoto wao wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya. Nini Sababu?

    Habari wadau. Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe Mnyakyusa, Mhaya au Mchaga bila kutoa ufafanuzi. Kwanini? Hebu tujadiliane, kama unafahamu chochote kuhusu makatazo haya funguka hapa tafadhali
  14. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei na Spika Ndugai, watoto wenu mliwasomesha ufundi simu?

    Mhe. Kimei, Mbunge wa Vunjo, amekosoa vikali mazoea ya kutukuza elimu ya "ma degree na ma PhD," akidai yanapotezea watoto muda. Hoja iliyoungwa mkono kwa nguvu na Spika Ndugai aliyelitaka bunge limsikilize Kimei kwa makini, na akamwongezea muda arudie na asisitize hoja yake. Badala yake watoto...
  15. JamiiForums Tanzania Wababa wanalalamika kuwa watoto wanawajali mama zao zaidi

    Hii hali wababa mnaijenga wenyewe. Hivi baba ulishawa kutaka kujua mwandiko wa mtoto wako, rafiki zake au hata mwalimu wa mtoto wako. Mapenzi si pesa tu unaziacha nyumbani. Kujenga bound na mtoto, unajenga mazoea ya kumuogesha hata mara moja kwa wiki tangu anazaliwa mpaka akiweza kuoga...
  16. JamiiForums Tanzania Inaelekea COVID-19 ni nadra sana kuwa na effect kubwa kwa vijana na watoto

    Nilikuwa napitia matangazo ya chanjo za COVID-19 za Australia, chanjo itaanza kutolewa kwa wale walioko katika hatari zaidi ya kupata maambukizi kama watoa huduma za afya, wafanyakazi wanaoishi kwenye makazi ya kuhudumia wa zee na walemavu, walinzi wa mipakani, na watoa chanjo wenyewe. Kisha...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa, viongozi wetu wasituchukulie sisi kama watoto wadogo

    Mabibi na mabwana sisi ni taifa na kama taifa cheo ni dhamana tu. Kiongozi yeyote kwa uongozi wake ni muhimu akazingatia ukweli kuwa kwa dhamana aliyo nayo si kuwa sasa eti ndiyo anayo fursa kamili ya kufanya au hata kusema lolote kwa kuwa tu eti dhamira yake itakuwa imemtuma huko. Rais wetu...
  18. JamiiForums Tanzania Ukuta wakatisha uhai wa watoto wawili wa familia moja

    Watoto wawili wa familia moja wamefariki baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba chanzo kikitajwa kuwa ni mvua inayoambatana na upepo iliyonyesha wilayani Geita juzi Jumapili Januari 24, 2021. Waliofariki ni Asheri Malima(4) na Laurencia Malima (2) waliokuwa wakiishi kijiji cha Kasesa kata ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wa siku hizi wako 'obsessed' sana na ufaulu wa Division One kwa watoto wao?

    Ukikutana na kila mzazi leo anataka shule inayofaulisha, wazazi wako busy kuulizia ufaulishaji wa shule. Juzi matokeo yalitoka kila mzazi ama mlezi anakata kujua shule hiyo division one ngapi, sijui nini. Swali langu, kwa nini wazazi ama walezi wameshikwa sana na ufaulu wa watoto, division...
  20. JamiiForums Tanzania Madhara ya kupenda kuweka picha za Watoto mitandaoni

    Kadri siku zinavyokwenda, wazazi wengi hupenda kuweka picha za watoto wao mitandaoni huku wakiwapongeza na kujivunia walivyo warembo, wenye akili na wepesi kujifunza ama wanavyowaletea furaha. Mshawasha na wepesi wa kutaka 'kushea' picha za mtoto wako hasa kwa marafiki (na hata wasio marafiki)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…