Mao Tanzania
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 210
- 231
Wajumbeeee!
Poleni kwa misiba na maombolezo. Mwenyezi Mungu azipumzishe pahala pema peponi roho za waliotutangulia.
Nakumbuka kushuhudia Uchaguzi wa CCM MWAKA 2000 Mimi nikiwa mtia mmojawa of mikoa wa mashariki mwa Tanzania. Hayati Mzee Mkapa akiwa Mwenyekiti wa Chama alikata majina ya Waliohonga kwa hasira Sana.
Sasa nimemkumbuka na kukumbuka hayo nilipokuwa napitia pitia Uchaguzi wa umoja wa vijana viti Maalumu. Wengi waliong'ara Ni Watoto wa matajiri. Huenda ikaashiria matumizi makubwa ya pesa.
Kwa waliotia nia wanasema kura ziliwekwa mnadani, kati ya 50,000 hadi 250000 na katika chaguzi hizi za vitu maalumu, wale middle men wamekula hadi m1 maeneo mengine.
Kwa ujumla, kupunguza nguvu vyama vya upinzani, kupunguza nguvu ya vyombo vya habari na kuondoa wanachama wote kushiriki mchakato wa kura za maoni kunaweza kuwa kumechochea haya.
Kazi ya kuliokoa Taifa imebaki Sasa mikononi Mwa Polepole, Bashiru na JPM