watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kupenda kuweka picha za Watoto mitandaoni

    Kadri siku zinavyokwenda, wazazi wengi hupenda kuweka picha za watoto wao mitandaoni huku wakiwapongeza na kujivunia walivyo warembo, wenye akili na wepesi kujifunza ama wanavyowaletea furaha. Mshawasha na wepesi wa kutaka 'kushea' picha za mtoto wako hasa kwa marafiki (na hata wasio marafiki)...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru, bado tunaning'iniza watoto kwenye miti kuwapima uzito

    Hii habari nimesoma twitter, habari inayosema watoto wadogo wanapimwa uzito kwa kuning'inizwa kwenye mti huko wilayni Tarime mkoa wa Mara(kuna picha ikionyesha tukio hilo). Hakika nimeshangazwa sana na hii habari, ila inaelekea hali hii ni ya kawaida tu kwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu huku...
  3. Research Solutions TZ

    JamiiForums Tanzania Umasikini Unaathiri zaidi wanawake na watoto

    Recently tumekuwa tukisikia mzazi kamuua au kajeruhi mwanaye kwa kosa fulani. Ustawi wanataka mtoto akinyanyaswa kaaripoti kwao lakini je mtoto atawezaje kuendelea kuishi na mzazi ikiwa alisha mshataki. Mbali na hilo serikali haina vituo rasmi kwa ajili ya kuwalea watoto wanaonyanyswa na wazazi...
  4. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Watoto wanaokuja nyumbani na vitu vya kuokota (Pesa, Midoli, Mipira,). Je, ni sahihi kwa wazazi kuruhusu tabia hii?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Watoto wanaokuja nyumbani na vitu vya kuokota (Pesa, Midoli, Mipira). Je, ni sahihi kwa wazazi kuruhusu tabia hii? Mimi siwezi kujisifia kwamba nilikuwa na wazazi makini sana katika suala la malezi kwa maana wakati nipo mdogo...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Watanzania wapenda kusomesha nje ya nchi pelekeni watoto Ufilipino bei rahisi elimu kubwa inatambuliwa Marekani

    Vyuo vikuu vya ufilipino Ada nafuu haizidi dola 2500 kwa mwaka na elimu yao iko juu sana. Marekani na Canada wanaikubali sana
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mimba za utotoni sio changamoto pekee kwa Watoto wa kike

    Mbali na suala la mimba za utotoni imebainika pia kwamba changamoto nyingine wanazokumbana nazo watoto wa kike ni pamoja na ukosefu wa taulo pindi wanapokuwa katika siku zao. Baadhi ya Familia, Koo na Makabila kuendeleza mila ya kutoa kipaumbele kwa Mtoto wa kiume kwenye fursa za maendeleo...
  7. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Nashauri watoto waache ishu ya kusalimia watu wazima kwa kuwashika kichwani

    Wakuu baada ya kula ugali, nyanya chungu, bamia, dagaa, kabichi, maharage, nyama roast na kushushia pepsi big nimepata wazo. Hili suala la mtoto kumshika mtu mzima wakati wa kusalimia naona kama halijakaa sawa. Naona kama linamjengea mtoto tabia ya kutojiamini, uoga na kumshusha thamani. Pia...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kupenda kuchezea watoto wa watu kumemtokea puani

    Wala siyo mbali ni hapo tu Chalinze jamaa kajifanya kidume kutembea na binti. Kamtia mimba then anamkwepa. Binti kabembeleza sana jamaa achukue wajibu wake. Jamaa anajifanya mtown anakwepa kwepa tu mishale. Binti mara ya mwisho akasema sawa kama hii mimba si yako basi hamna shida ila kama ni...
  9. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tunawabadilisha watoto wetu majina asilia baada ya ubatizo au kubadili dini?

    Wasalaam, Hivi kwanini mtoto alizaliwa anaitwa Mkwavinyika lakini baada ya kufanyiwa ubatizo anaanza kuitwa Paulo. Au mtu alizaliwa anaitwa Mushaija lakini baada ya kutaka kumuoa Maiumuna anasilimu na kuanza kuitwa Juma. Sasa nataka kufahamu haya yote yanatokana na nini: Je, majina yetu asilia...
  10. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nimenyang'anywa Watoto wangu na moyo unaniuma maana nawataka sanaa

    .... Nyuzi ifutwe .... Moderator
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nawalaumu wanaume wanaotelekeza watoto, japokuwa wadada mmezidi kutubambikia watoto

    Habari ya mwaka mpya wakuu. Mwaka 2013 nilienda field mgodi wa Bulyanhulu huko kakora uliokuwa unamilikiwa na Accacia, kwenye kivuko pale Busisi nikakutana na dada mmoja mrembo sana. Tukiwa tunasubiri kivuko kianze safari nikasogea karibu naye nikaanzisha mazungumzo na yeye yaliyopelekea kukaa...
  12. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuwapongeza wanaume,kwa kutimiza majukumu yao ipasavyo mwisho wa mwaka,na mengine ya watoto kurudi shule yapo pending

    Natumai wengi wenu mko poa,na wachache wanaoumwa mungu atawapa ahuweni. Bila kupoteza wino kama kichwa cha Uzi kilivyo,ningependa kuainisha mambo ambayo wanaume wa kweli huwa wanayafanya mwisho wa mwaka.Nazani Hii dunia bila wanaume nazani ingekuwa kama mbuga tu. Jamani Kuna wanaume kwa kweli...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wakati dunia inapigana na ukatili kwa watoto ikiwemo viboko mashuleni, Tanzania ukatili wa watu wazima unafanyika hadharani

    Hii tabia ya viongozi kuchapa raia viboko ni udhalikishaji na ukatili unaopaswa kukemewa kwa nguvu zote. Ki tendo cha kumpigia viboko mtu mzima hadharani ni kumshushia thamani na utu wake. Maafa ya kisaikolojia atakaa nayo mtu yule kwa muda mrefu na wengine hatutaelewa wameathirika kiasi gani...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kupeleka watoto bweni yamepitwa na wakati, tuwapeleke inapobidi tu!!

    Hawa ndio waende inapobidi 1. Kama kakosa shule sehem unayoishi 2. Kama kapangiwa shule inayoleta changamoto ya usafiri Mi nashangaa hadi leo imekuwa kama fasheni kupeleka watoto boarding. Tukianza na elimu ya msingi kiukweli sio haki kumpeleka mtoto boarding maana shule zipo nyingi sana na...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanzisha ujenzi wa vituo vya malezi ya watoto ili kukabiliana na ukatili dhidi yao

    SERIKALI kupitia Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kwa kushirikiana na Shirika la Brac Tanzania imeanza kuratibu uanzishwaji wa Vituo vya Malezi kwa watoto wadogo vitakavyomilikiwa na kuendeshwa na Jamii ya eneo husika. Hayo yamesemwa jijini Dar E s Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa familia yetu: Nguvu kubwa itumike kuwafundisha watoto kujitegemea ili wasisote kama sisi wahitimu wa vyuo

    Habari zenu wakuu, Leo nmeona nitoe neno hapa, zama zimebadilika wadau, Kukazia elimu zamani ilikuwa ni kujiongezea uhakika wa kujitegemea ukiwa mkubwa kwa kuajiriwa serikalini au kwenye makampuni. Na hata mimi binafsi kwenye familia yetu wazazi wetu walituasa sana tusome sambamba na adhabu...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Visa vya uhalifu wa kuwadhalilisha watoto kingono mitandaoni vinaongezeka kwa kipindi hiki cha janga la Corona

    Mkuu wa shirika la polisi la Ulaya, Catherine De Bolle, amesema visa vya uhalifu wa kuwadhalilisha watoto kingono mitandaoni vinaongezeka kwa kipindi hiki cha vizuizi kutokana na janga la Corona. Akiita hali hiyo kuwa ni ya hatari. Ripoti iliyochapishwa na shirika la polisi la Ulaya, Europol...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tunaanza kutengeneza kizazi cha watoto au watanzania wasiojua vizuri kiswahili kama ilivyo kwa wahindi licha ya kuzaliwa na kukulia humu nchini

    Kila kitu kina faida na hasara zake.Moja ya faida ya hizi shule za kisasa ni watoto kujua lugha ya malaika angali wakiwa na umri mdogo na kuwa fluent tofauti na wale wanaosoma shule za St. Kayumba. Hata hivyo, kuna kasoro naiona na ambayo baada ya muda, tutakuja kuiona huko mbele na hii si...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini akina Mama watoto wao wa Kike wakivunja tu Ungo hukwepa jukumu la kuwafunza na kuwasukumia mzigo shangazi?

    Japo siyo wote ila wengi wao hupenda sana kuwaachia hasa hasa Mashangazi au Mabibi kazi ya kuwapa Elimu ya ukujuaji Watoto wao wa Kike.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la joto kupungua kea Watoto Njiti na Suluhu yake

    Joto la mwili kupungua (hypothermia) #MtotoNjiti huwa anapoteza joto kwa haraka zaidi Ni lazima kuhakikisha anatunzwa vizuri kwa kutumia njia kama vile kumfunika nguo, kumweka katika mashine maalum (incubators) Njia nyingine ni kumweka kifuani kwa Mama (Kangaroo Mother Care) pia kuepuka...
Back
Top Bottom