watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kilimo si adhabu. Ukiweka mazingira mazuri ya kilimo hata watoto watafurahia kwenda shambani

    Kwenda shambani inakua ni mateso kama mazingira ni mabovu. Weka kilimo mazingira mazuri ya shamba. Jiko la gesi, vyakula na maji. Saa ya kula unaandaa vizuri chakula mezani au kwenye mkeka. Mnaweza kuchemsha mihogo au viazi kutoka hapo shambani. Watoto wakisaidia kazi vidogo vidogo. Hii ni...
  2. Darucha

    JamiiForums Tanzania Watoto zangu sitataka waishi maisha niliyopitia baba yao

    Mimi ni kijana age 20's nina ndoto ya kuja kuwa na familia yenye furaha,amani,upendo na kumtukuza mungu pia naamin mungu atafanya kweli juu ya tumaini langu hili Sina mke mchumba Wala mtoto ila panapo maajaliwa naamini nitakuwa navyo vyote hivyo Kati ya vitu ambavyo nitapigana navyo basi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ashauri watoto na wazee kufuatilia shughuli za kumuaga Hayati Dkt. Magufuli kupitia runinga

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza mh Mongekla amewaasa wakazi wa Mwanza kutokuja na watoto siku ya kumuaga hayati Magufuli katika uwanja wa CCM kirumba. Marufuku hii inatokana na uwepo wa watu wengi kutoka mikoa mbalimbali waliokuja kumuaga hayati Magufuli. Source ITV habari! ------------ Mkuu wa Mkoa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alijaaliwa watoto wangapi? Wangapi wapo ndani ya utumishi wa Umma?

    Taarifa sahihi ya watoto wa Mhe. JPM haijawahi kuwekwa wazi na pia yeye hakupenda kuingiza familia yake kwenye majukumu yake. Hadi Sasa ni vigumu kujua idadi ya watoto, majina yao pamoja na kazi wanaofanya. Nichukue fursa hii kuhoji historia ya familia hii kwa kutaka kujua ina ukubwa gani na je...
  5. Caroline Danzi

    JamiiForums Tanzania Malezi ya watoto

    Salaam kwenu wadau. Nionavyo mimi, malezi mabovu ya waototo yanaanzia nyumbani sio shule wala mtaani. Nini maoni yako katika hili? Wasalaam.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Leo naona akina mama wengi wanaenda kutoa heshima za mwisho kwa hayati Magufuli wakiwa wamebeba watoto, sijaelewa maana yake

    Leo watu ni wengi wengi tena wengi sana sidhani kama itakapofika saa 11 jioni wakati wa kufunga zoezi hili kwa mkoa wa Dar es salaam watu watakuwa wamekwisha. Ila siku ya leo akina mama wengi wamekuja na watoto wachanga na wale wadogo na wakipita mbele ya jeneza kuaga huwanyanyua juu watoto wao...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya chumba cha watoto wa kike kuwa karibu na watoto wa kiume katika ujenzi?

    Ramani niliyonayo nimeipenda ila hii sehemu ya vyumba vya female na male ndio bado naomba ushauri kama hakuna shida au niongee na mchoraji abadilishe.
  8. babalao 2

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  9. OLS

    JamiiForums Tanzania DC wa Temeke, Godwin Gondwe hayuko sahihi katika kufukuza wanafunzi, watu wa haki za watoto na Haki Elimu nategemea sauti yenu katika hili

    Gazeti la Mwananchi liliripoti kuwa shida ya Shule ya Msingi Toangoma ni uchache wa madrasa na wingi wa wanafunzi ambao automatically inakuwa ngumu kwa walimu kudhibiti tabia za wanafunzi. Since tatizo ni wingi wa wanafunzi kwa upande mmoja ambapo, mwanafunzi sio mkosaji in the first place...
  10. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika

    Habari zenu waungwana wa humu JamiiForums. Jamani nyie waungwana, katika haya maisha jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika. Hivi utasijikiaje ukiwaona watoto wanazurura mitaani baada ya wazazi wao kuachana kwa sababu ya uchonganishi wako? Kama ndoa inavunjika...
  11. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Shetani laipeleka Serikali ya Texas Mahakamani kwa kuzuia haki yake ya kutoa kafara Watoto wachanga

    Tukisema tunaambiwa tunayo-andika ni conspiracy theories.Kama watu wanaweza bila aibu na woga kwenda mahakamami kutetea eti "haki yao ya kutoa watoto wachanga kafara," kuna jambo ambalo hawawezi kufanya kweli?Mimi naamini hakuna.Kiranga Yoda na wengine mnao-tetea kazi za Shetani, njoni msome...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanaume futeni hii aibu ya kukataa Watoto, this is too much

    Wanaume wanaowapa Mimba then wanakimbia huu ni Ushamba. Huku mtaani mnatusababishia Matatizo, mpaka aibu Wanawake wanavyokula msoto. Iwe msoto ,changamoto Rijali akatai Mtoto. Everyone should carry it Burden
  13. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Hassan Doulla, Daktari bingwa wa watoto Hospitali ya Dkt. Massawe afariki dunia

    Dkt. Hassan Doulla, ambaye ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto amefariki dunia. Kwa wale wazazi wenzangu wakaazi wa Dar es Salaam bila shaka mlipata kufika au kushauriwa kufika kwenye Hospitali ua Dkt. Massawe ili kupata huduma, bila shaka mnamkumbuka Dkt. Doulla(Dulla) kwa ushauri wake...
  14. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Aeleza walivyokubaliana na mume wake kutafuta watoto nje ya ndoa

    Dar es Salaam. Mkazi wa Tabata Liwiti, Magreth Silaeli (37) ameieleza Mahakama ya Mwanzo Buguruni kuwa walikubaliana na mume wake, Raymond Kulaya (44), waachane kwa muda ili kila mtu akatafute watoto “anapopajua” baada ya kuishi miaka mitano bila kupata mtoto. Magreth sasa anaiomba mahakama...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanawake Shinyanga walalamikia watoto wasio na bima kukosa matibabu

    BAADHI ya wanawake wenye watoto chini ya miaka mitano wilayani Shinyanga, Mkoani Shinyanga, wasio na bima ya afya ya CHF, wamelalamika kunyimwa matibabu ya watoto wao kwa kukosa kadi hizo. Wamepaza kilio hicho kwa nyakati tofauti kwenye sherehe wanawake wilayani Shinyanga iliyokuwa na lengo la...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Athari za COVID19 kuongeza ndoa za Watoto zaidi ya Milioni 10 ndani ya muongo

    Athari kubwa za janga la Covid-19 kwa wanawake katika baadhi ya mataifa huenda zikasababisha ndoa milioni 10 zaidi za watoto katika muongo huu, kwa mujibu wa tathmini iliyotolewa na UNICEF Jumatatu. "Kufungwa kwa shule, msongo wa kiuchumi, kuvurugwa kwa huduma na vifo vya wazazi kutokana na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Arusha: Watoto 104,000 wachanjwa chanjo ya kichocho na minyoo

    Jumla ya watoto 104,000 wenye umri kati ya miaka 5 hadi 14 wamechanjwa Chanjo ya kichocho na minyoo mkoani Arusha. Source Upendo tv Maendeleo hayana vyama!
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hatari ya barakoa used kwa Watoto

    Habarini za usiku huu wakulungwa, ni mwenyeji JF tangu 2016 lakini huu ndo uzi wangu wa kwanza. Kama somo tajwa la hapo juu, naiona hatari kwa Barakoa zilizotumika na zinavyotupwa hovyo na kuzagaa mitaani. Kwa watoto hasa wanafunzi darasa la kwanza hadi la tatu wale wa day na wengineo wa rika...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Watoto kwenye vyombo vya usafiri

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO) Utumiaji wa viti maalumu vya watoto katika vyombo vya usafiri unaokoa maisha ya mtoto pindi ajali inapotokea kwa asilimia 75% Viti hivi vina nyenzo muhimu kwa ajili ya kulinda Usalama wa Mtoto anapokuwa kwenye gari kwasababu viti kawaida vya magari...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au kazi yoyote maalum ya kuingiza kipato

    Habari zenu waheshimiwa! Binafsi ni muhitimu wa ngazi ya shahada ya kwanza katika nyanja ya uhandisi migodi na uchenjuaji. Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye connection ya kazi nyanja yoyote anisaidie. Nina uzoefu katika usimamiaji wa crusher na plant kama production supervisor katika kiwanda...
Back
Top Bottom