watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu hupendelea kuuliza hili swali kwa watoto?

    Mara nyingi mtoto akitoka kwenda kucheza kwa jirani huuliza swali "mmekula nini kwenu? ". Tabia hii nimeiona mara nyingi kwa wanawake pia imeshamiri sana maeneo ya uswazi na wengine huenda mbali kumuuliza mtoto kwa kumpamba ili awambie ukweli " leo mmekula nini kwenu, mtoto mzuri? Ni...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Njombe: Watoto wawili wa Kiongozi wa Kijiji cha Kipengele wauawa kikatili

    Vijana wawili wa familia moja wameuawa kikatili kwa kupigwa na vitu vizito kichwani usiku wa kuamkia april 27 katika kijiji cha Kipengele kilichopo wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe Akizungumzia tukio hilo kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Njombe Hamis Issah amesema vijana waliouwawa ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Athari za kuweka picha za watoto wako mtandaoni

    Matukio ya matumizi mabaya ya picha za watu mtandaoni yanaongezeka siku hata siku: Picha ya askari iliyochukuliwa katika mitandao ya kijamii ilitumika kumlaghai mwanamke mmoja huko Uingereza akatoa fedha zake nyingi na kuibiwa. Bloga mmoja alikuta picha ya familia yake inatumiwa kwenye tangazo...
  4. Justine Kakoko

    JamiiForums Tanzania Ni nani anaweza kutatua matatizo ya watoto kuchelewa/kushindwa kuongea?

    Swali kubwa ninaulizwa na wazazi/walezi kila siku juu ya matatizo ya watoto kuchelewa kuongea ni: Nani anaweza kunisaidia kulimaliza tatizo hili la kuchelewa kuongea kwa mtoto wangu? Binafsi huwa nakosa jibu rahisi la kuwapa wazazi/walezi moja kwa moja mpaka nimuone mtoto na shida yake ni ipi...
  5. Chibudee

    JamiiForums Tanzania CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

    Amesisitiza kuwa Serikali imeamua kutowazuia Watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa kutambua madhara mkubwa yanayoweza kutokeza kwa kufanya hivyo. Aidha, amesema madhara hayo yanaweza pia kuziathiri nchi 8 ambazo zinatengemea kupata huduma na bidhaa kupitia Tanzania hususan bandari ya...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria namna ya kuwagawia watoto urithi wao nikiwa bado hai!

    Nawaomba wanajf mnielimishe namna nzuri na ya kisheria ya kuwarithisha watoto mali zangu! Pia sheria inasemaje juu ya umiliki wa mke hasa kwa Mali alizomkuta Nazo mume wake?
  7. J

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka: Wazazi hakikisheni watoto wenu wanajisomea maana mitihani iko pale pale baada ya Covid 19 kudhibitiwa!

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu mh Mtaka amewataka wazazi wote nchini kuhakikisha watoto wao walioko nyumbani wanajisomea kwani baada ya ugonjwa wa Corona kudhibitiwa mitihani itakuwa pale pale. Mtaka amesema hayo katika misa ya Pasaka mjini Bariadi leo. Source ITV habari!
  8. Kitangiri15

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa watoto wa Jana na leo

    Juzi nilikuwa nafatilia tabia za binti yetu mdogo hasa katika kipengele cha maadili ya salamu na chakula ukizingatia kwamba kwa sasa wana likizo inayotupa fursa wazazi kukaa nao kwa mda mrefu. Tukiwa na wife katika eneo la biashara alikuja mtu akanunua pipi na kumpa BINTI yangu,dakika chache...
  9. Manton

    JamiiForums Tanzania Kama ukiweza bembeleza watoto walale

    Ukiona mtu anakwambia mtu yeyote asiwashe taa hata kama giza lina tisha watoto, wanalia wanataka kujua nini kilichomo katika giza hilo. Bado sauti inasema: hakuna kuwasha taa. Basi cha kufanya wabembelezeni watoto walale, kutapambazuka tu, wakati mtoa katazo akiwa bado kafumba macho. ONYO...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania India: Watoto mapacha waitwa majina ya Corona na Covid!

    Duniani kun mambo. Kama wewe unafikiri ugonjwa wa Corona ni hatari hata kuutamka, huko India familia imepata mapacha majuzi na wameaua kuwaita watoto hao Corona na Covid! Maisha yanaendelea! ---- Twins born during pandemic named Corona and Covid A boy and a girl born in the midst...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu ni kwa namna gani unaweza kuongea na Watoto kuhusu mlipuko wa CoronaVirus

    Ni rahisi kuhisi kuzidiwa na kila kitu unachosikia kuhusu #COVID_19. Inaeleweka pia ikiwa watoto wako wanahisi wasiwasi. Watoto wanaweza kupata shida kuelewa kile wanachokiona mtandaoni au kwenye Runinga - au kusikia kutoka kwa watu wengine - kwa hivyo wanaweza kuwa katika hatari ya kuhisi...
  12. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule msidanganyike na wachumia tumbo

    Watoto/wanafunzi wa msingi na secondary msidanganywe na genge la watu wanaojiita watetea haki za binadamu kwa kuwadanganya eti ukipata mimba utaruhusiwa kuendelea na shule! Ukipata ujauzito ukiwa shule ya msingi hadi secondary utafukuzwa shule ukaende ukaikuze hiyo mimba, ukajifungue, na kulea...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas na Abdul Nondo watofautiana namna watoto wa kike wanaopata mimba shuleni watakavyoendelea na masomo

    Dr Abbas ambaye ni msemaji mkuu wa serikali anasema wanafunzi wanaopata mimba shuleni hawatarudi kuendelea na masomo katika mfumo rasmi bali wataruhusiwa kupitia mfumo usio rasmi yaani private candidates. Abdul Nondo boss wa vijana pale ACT wazalendo anapinga vikali yeye anataka wanafunzi hawa...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Watoto bwana ukiona wako kimya kaangalie kinachoendelea

  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mbinu nayotumia kumlea mwanangu anayesoma private awe mjanja, awe na furaha, asigeuke kuwa kuku wa kisasa

    TUELEWANE MAPEMA, MAMBO MUHIMU. 1.Mtoto wangu hachezi na watoto wa kihuni mitaan na akienda kijijini ni nje kidogo ya mji na ndiko nlipokulia, watoto anaocheza nao wengi walezi wao nawajua tunafahamiana, pia hakuna watoto wa mitaani huko kama mjini. 2. sifurahi kwamba mwanangu ni mjanja au...
  16. binnystanzania

    JamiiForums Tanzania Tunauza pochi mpya zenye watoto

    Wauzaji wa pochi mpya zenye watoto kuanzia sh elfu 40 tuu. Tunapatikana Tegeta Dar na popote tunadeliver. Ukihitaji tupigie/whatsapp 0714 191 429. Picha za pochi zitapostiwa kadiri thread inavyoendelea. Karibuni.
  17. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuboresha malezi ya watoto wa kike?

    Wadau poleni kwa hofu ya Corona Ngoja niende moja kwa moja na mada yangu. Kutokana na wanafunzi kupewa likizo warudi majumbani mdogo wangu wa kike ambaye yuko form two amefika kwangu. Wiki iliyopita nimesikia akiongea na simu usiku nikanyata mpaka mlangoni kwake nisikie anaongea na nani saa...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wizi waongezeka Mbezi Beach: Serikali za mitaa mmewashindwa wale watoto wa Kawe? Polisi Kawe mbona wakiletwa wanaachiwa shida nini?

    Wizi mkubwa na ujambazi wa aina yake umevamia maeneo ya Mbezi Beach kuanzia mto Kawe kupanda juu na kuvuka mpaka JK Nyerere school. Vijana wa kihuni wakitembea kuanzia watano wamekuwa wakikaba mapema sana na hali hii imefanya wananchi kukosa amani kabisa. Wale wanaotumia mto Kawe ndio balaa...
  19. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

    Mshahara wa mwezi huu vp jamani watoto wanahitajika kurudi toka mashuleni kwa likizo ya dharura.
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kufundisha watoto biashara yako tangu wakiwa wadogo, Wahindi hili wameliweza

    Ninakumbuka familia moja ya Wahindi nikiwa mdogo. Mke na mume wote walikua madaktari wa macho. Walijaliwa kupata watoto wawili wakiume na wa kike. Walikua na clinic yao ya macho kwenye nyumba yao ya ghorofa. Chini ndiyo ilikuwa ofisi na juu waliishi wenyewe. Niliwafahamu zaidi wale watoto...
Back
Top Bottom