wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. monotheist

    JamiiForums Tanzania Kila nikijaza address ya silent ocean inakataa nakosea wapi wajuvi

    Ni mara yangu ya kwanza kutumia pinduoduo nimeshamaliza taratibu zote shida ipo kwenye kujaza address
  2. maroon7

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza angalia Derby ya Kariakoo hapa Nairobi?

    Wakulu wa nchito, Naomba anaejua wapi kwa hapa Nairobi naweza angalia Derby ya Simba na Yanga anifahamishe hasa pande hizi za Westland maana wiki ya Derby imenikuta huku bila kutarajia. Natanguliza shukrani
  3. R

    JamiiForums Tanzania Pombe ya Warangi (Udo), wapi inapatikana mikoani?

    Nimeimiss sana hii pombe ya kabila la Warangi inaitwa Udo. Inatengenezwa kwa mtama. Wapi inapatikana mikoa ya jirani kama Arusha na Manyara??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kusoma maswala ya printing kwa vitendo?

    Nataka kujua fani ya digital printing kwa ukubwa zaidi nataka niprinti mifuko mabango na vingine vingi. Je ni wapi wanafundisha kozi hii na ni sh ngapi?
  5. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Liliishia wapi kanisa la kushea vitu la mitume?

    Kwa mujibu wa biblia, Mara baada ya yesu kuondoka duniani, kanisa la kale kabisa walitumia mali zao kwa pamoja. Yaani mfano una kiwanja chako,unauza pesa Zote unapeleka kanisani. Hapa ndio kuna kisa Cha anania ambae alikufa kwa kosa la kuweka pembeni mali yake ambayo ilipaswa kutumika na...
  6. Philo_Sofia

    JamiiForums Tanzania Nani anawajibika kutoa ajira au kazi?

    Tupo kwenye dunia ambayo mageuzo ni makubwa na athari ni kubwa hasa kwa jamii ambayo haijajiandaa. Mbaya zaidi mageuzo hao hayajali umejiandaa au hujajiandaa, umeelewa au hujaelewa. Hivi leo, kwa sababu ya maendeleo mbalimbali ikiwemo maendeleo ya teknolojia, dunia inakabiliwa na changamoto...
  7. Amoeba

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    - Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000 - Banda la mabanzi=1,000,000 - Chakula = 1,000,000 - Dawa= 200000 After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100, mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe mkubwa ni Tsh 200,000 tu...
  8. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania Hatuna Music Charts Zinazoeleweka Kama Billboard Hot 100? Tunakwama Wapi

    Kama unafuatilia muziki kwa umakini utabaini kwamba Bongo hamna music chart ya kueleweka, the likes of Billboard. Hapa Bongo kila kituo kina charts zake. Clouds ina Clouds FM top 30, EA Radio ina za kwake na vituo vingine vingi. Ubaya wa charts hizi ni kwamba hazina uhalisia. Zina upendeleo na...
  9. Kitambi chakufutia tachi

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

    Salaam wakuu. Mshikemshike wa ligi ya NBC PL kuendelea leo ambapo mnyama mkali na mafundi kandanda Simba sc a.k.a WANALUNYASI watakipiga dhidi ya timu ngumu ya IHEFU FC kutoka Mbeya. Simba wanaenda kwenye mchezo huu wakiwa nafasi ya pili na alama 15 baada ya kucheza michezo 5 akishinda yote...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Shangwe zilizopigwa Israel ilipovamiwa siku ya kwanza zipo wapi, Mbona nguvu kubwa inatumika kumpigia magoti Isreal aache kujilinda (cease fire) ?

    Njia pekee ya Israel kujilinda kwa sasa ni kutoa DOZI Nakumbuka siku ya kwanza Israel ilipovamiwa, Hamas waliitwa kila aina ya majina ya kishujaa na shangwe zilipigwa sana kiasi kwamba watu hawa walianza kuota ndoto za mchana kwamba Israel inaenda kumezwa ? Hali ya sasa ni tofauti kabisa, watu...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Palestina watoa buriani, wauliza wako wapi majirani zao milioni 315. Na sisi twajiuliza iko ile jumuiya ya OIC

    Buriani kwa sisi waswahili ni maneno ya mwisho ya mtu ambaye amejiona yuko hatua za mwisho kufa na kuiacha dunia. Salamu kama hizo leo zimetolewa kwa wingi kwenye mitandao ya kijamii kama tiktok na miningene amabayo JF huenda haijawezesha kutumika matoleo yao. Mmoja kati ya wanaharakati hao...
  12. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Swimming pool za wapi zenye watoto?

    Wadau wa kupiga mbizi tujuane tupeane na machimbo. Mimi napenda kupiga maji Kila weekend na napenda pia pool iwe na watoto wakali...ila sio zile za uswahilini isijae watu mob mpaka ukose pa kukanyaga...Zile swaga za Dem mmoja anaingia anapiganiwa na watu sita siziwezi. Napenda Ile unakuta pool...
  13. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Waarabu na Waislamu wanakwama wapi?

    Kwa zaidi ya miaka 70 sasa Waisrael wamekuwa wakiwanyanyasa sana na kuwaua. Huko Gaza na West Bank, Waisrael wanawaua kila siku. Gaza huko Waisrael wanadhibiti karibu huduma zote za msingi. Idadi ya vifo tokea tukio la Oktoba 7 litokee, idadi ya vifo vya Wapalestina inaongezeka kila siku huku...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania mnakwama wapi kwenda kimataifa? Jifunzeni kwa Diamond Platinum

    Mwaka 2010, jina la la Diamond Platinum lilichomoza kwenye vyombo vingi vya burudani kwa wimbo wake uliokuwa mkali kipindi hicho "Kamwambie". Ilimuchukua Diamond miaka 4 kupambana kwa kuimba sana nyimbo nzuri mpaka 2014 alipopata collabo kubwa ya kimataifa na Davido kwa wimbo wake "number one...
  15. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Deogratius Nalimi Kisandu uko wapi Teacher?

    Tumekumiss sana nduguzo. Hivi ukiwa Marekani ndio unaacha kabisa kutumia JF? Msalimie sana shemeji yetu Malia Obama
  16. T

    JamiiForums Tanzania Hapa ni wapi?

  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Dkt. Salim Ahmed Salim?

    Hivi karibuni, tulishuhudia kuzinduliwa kwa tovuti ya kazi za Dkt. Salim Ahmed Salim. Uzinduzi huu ulihudhuriwa na vigogo mbali mbali bila kuonekana kwa mhusika. Kunani? Yuko wapi na katika hali gani? Nini kinafichwa kuhusiana na mhusika. Dr Salim ni public figure. Kuna haja gani ya kumficha...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wanapata wapi fedha za matamasha, hafla na makongamano wakati kila siku tunakopa huko Duniani?

    Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe? Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi? Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi...
  19. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha MO Dewji Moshi kipo/kinajengwa wapi?

    Habari wakuu, napenda ulizia kuhusu jambo kuu hapo juu kwa anaejua anitaarifu please.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoishutumu China kwa kuweka mtego wa madeni. Je, zilishakaa na kujiuliza tatizo halisi linaanzia wapi?

    Wachina wana wazo moja kwamba ukitaka kuendelea na kukuza uchumi wa nchi basi lazima kuwe na miundo mbinu mizuri na imara. Wazo hili ndilo lililopelekea China kuziacha nyuma nchi nyingi ambazo hapo awali zilikuwa zinaonekana ziko sambamba na nchi hii katika umasikini. Kupitia ujenzi na...
Back
Top Bottom