Kanisa la Anglikana linaruhusu ndoa za jinsia moja, Inakuwaje kuna watanzania wenzetu bado wanaendelea kwenda ?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Ni tangu mwezi February mwaka huu kanisa la Anglikana lilipiga kura kufungisha na kuzibariki ndoa za jinsia moja.

Nilitegemea kufikia mwezi huu makanisa ya Anglikana hapa Tanzania yawe matupu kwa sababu sisi watanzania tunayapinga mahusiano ya mwanaume kumruhusu mwanaume mwenzake kumuingiza uume kwenye sehemu ya haja kubwa (samahanini kama maneno ni makali ila imebidi niweke kwa uhalisiai zaidi)

Inakuwaje hili kanisa hadi sasa kuna watanzania wenzetu bado wanaabudu

---
Church of England votes to offer blessings to same-sex couples
The Church of England has voted in favour of a motion to offer blessings to same sex-couples in civil partnerships and marriages.

A near-eight-hour debate across two days ended in a vote for the motion on Thursday at a meeting of the General Synod - the church's parliament.

The Synod's three houses all voted overwhelmingly in favour of the motion.

Within the motion, Synod members also voted to "lament and repent" the failure of the Church to welcome LGBTQI+ people - and for the harm they have experienced, and continue to experience - in churches.

The motion did not seek to change the position on gay marriage, meaning same-sex couples are still unable to marry in church.

Immediately before the vote a minute of silence was observed followed by a prayer said by the Archbishop of Canterbury.

Approval of the motion allows same-sex couples to go to Anglican churches after a legal marriage ceremony for services including prayers of dedication, thanksgiving and a blessing.

The motion had been brought by the Bishop of London, Dame Sarah Mullally, and was the result of six years of work on questions of identity, sexuality, relationships, and marriage known as Living In Love And Faith.

Earlier this week Synod members also met in small groups to consider and comment on a set of draft texts known as Prayers of Love and Faith, which could be used voluntarily in churches for couples who have marked a significant stage of their relationship such as a civil marriage or civil partnership.

Source: Sky News
 
Watu dhaifu always Huwa wanakimbia changamoto, watu imara husimama kupambania misimamo Yao, wote ambao wako kinyume sharti wasimame kupambana na changamoto hiyo

Kanisa ni jamii kubwa, ili utakatifu na mamlaka ya Mungu ijidhihirishe ni lazima kanisa lipate vita kubwakubwa,, mwanadamu siyo Mungu, hakika hawezi dumisha kusanyiko katika utakatifu wake,ila watu katika kusanyiko wanaweza kudumu kwa kuendelea kuwa watakatifu,,,wewe jitahidi uwe mtu ambaye utalipambania jina la Mungu ndani ya kanisa la anglikana ,ikiwezekana hata kama wataamua wakuue ,

Hivi siku Tanzania wakiruhusu ushoga mtaamia nchi Gani!? Ukiona mtu anahamahama makanisa ujue Bado hajamjua Mungu ipasavyo,ipo siku ataihama na familia yake ikiingia kwenye changamoto, let's be supermen, fighting against our selves, people and the world,kwa ajili ya Mungu tu
 
Watu dhaifu always Huwa wanakimbia changamoto,watu imara husimama kupambania misimamo Yao, wote ambao wako kinyume sharti wasimame kupambana na changamoto hiy...
Tanzania hatuwezi kuruhusu haya mambo,

Kanisa la Anglikana Kenya walishaweka msimamo wa kujitenga

Nashangaa kwa Tanzania kanisa hili bado lipo kimya

1696528788910.png
 
Watu dhaifu always Huwa wanakimbia changamoto,watu imara husimama kupambania misimamo Yao, wote ambao wako kinyume sharti wasimame kupambana na changamoto hiy...
Halafu Binadamu tulivi wanafiki ,tukishupalia DHAMBI moja utafikiri hiyo Ndio DHAMBI pekee.Ushoga ni laana, lakini Si DHAMBI pekee.Tuishi Kwa kumcha Mungu ,tuchukie DHAMBI zote kama tulivyofundishwa !
 
Halafu Binadamu tulivi wanafiki ,tukishupalia DHAMBI moja utafikiri hiyo Ndio DHAMBI pekee.Ushoga ni laana, lakini Si DHAMBI pekee.Tuishi Kwa kumcha Mungu ,tuchukie DHAMBI zote kama tulivyofundishwa !
Kanisani sehemu takatifu ni vipi ma askofu wamshirikishe Mungu kuzibariki ndoa za wanaume kufir*n* ??
 
Kanisa Anglikana Tanzania limeshatoa msimamo muda mrefu kuhusu hili kwamba haliungi mkono
Hamna kitu kama hicho, labda ilikuwa kuzuga tu.

Nimeingia website ya kanisa la Tanzania sioni kwamba wametengana, wapo na hao wakuu wanaoruhusu,

ni kitu kimoja.

1696529384661.png
 
Ni tangu mwezi February mwaka huu kanisa la Anglikana lilipiga kura kufungisha na kuzibariki ndoa za jinsia moja.

Nilitegemea kufikia mwezi huu makanisa ya Aglikana hapa Tanzania yawe matupu kwa sababu sisi watanzania tunayapinga mahusiano ya mwanaume kumruhusu mwanaume mwenzake kuingiza uume kwenye sehemu ya haja kubwa (samahanini kama maneno ni makali ila imebidi niweke kwa uhalisiai zaidi)

Inakuwaje hili kanisa hadi sasa kuna watanzania wenzetu bado wanaabudu

sources

weka na source ya hiyo taarifa nasisi tuipitue mkuu ingekua vyema sana
 
Halafu Binadamu tulivi wanafiki ,tukishupalia DHAMBI moja utafikiri hiyo Ndio DHAMBI pekee.Ushoga ni laana, lakini Si DHAMBI pekee.Tuishi Kwa kumcha Mungu ,tuchukie DHAMBI zote kama tulivyofundishwa !

Ifahamike tu kanisa halikupeleki mbinguni,ila neno linalofundishwa,na hulazimishwi kufuata Kila neno,lakini pia ni wajibu wa Kila muumini kupaza sauti pale anapohisi mafundisho kusudiwa Yako kinyume na mapenzi ya Mungu,, kanisa lijengwe na Kila aliyeamini ,siyo mchungaji tu,Kila mtu ana jukumu la kumuokoa mtu mwingine, huo ndio ukristo
 
Kanisa ni kwili wako huyo roho anakaaje mahala panako nuka mavi? Mnasoma biblia huku mmetoka kupakuana vinyesi na hivyo hamuoni ushoga kuwa ni tatizo!!
Unaambiwa wanapelekeana moto haatari🤣
 
Roma papa akikubali ushoga bado utaona wataenda katika kanisa lao. Huko ni kufuata mkumbo tu. Mungu hakai mahali pachafu anaruhusu utoke ukamuabudu sehemu takatifu
 
Kauli ya Papa ya juzi nayo vuruge vuruge tu, akili nchanganye changanye daaaaah! Mungu turehemu!!
 
Huku kwetu naona kuna Anglikana mbili,makanisa mawili tofauti na wote anglikana lkn hawapatani nilisikiaga sababu ni hivyo,kumbe ni kweli
 
Kanisani sehemu takatifu ni vipi ma askofu wamshirikishe Mungu kuzibariki ndoa za wanaume kufir*n* ??
Hiyo sio sawa,Mimi kinachoniikera ni Ile kushapilia ushoga ilibhali tub mate do mengi tu yasiyompendeza Mungu,na bado tumejaa makanisani !
 
Back
Top Bottom