wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. 29Oct2025

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi yule jamaa anaepeleka mashtaka fifa ?

    Yule jamaa baada ya kichapo cha kimwiko mwiko kumnasia nyuma mbele mwiko sijaona akiandika barua mashatka kuhusu upangaji matokeo?
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Anglikana linaruhusu ndoa za jinsia moja, Inakuwaje kuna watanzania wenzetu bado wanaendelea kwenda ?

    Ni tangu mwezi February mwaka huu kanisa la Anglikana lilipiga kura kufungisha na kuzibariki ndoa za jinsia moja. Nilitegemea kufikia mwezi huu makanisa ya Anglikana hapa Tanzania yawe matupu kwa sababu sisi watanzania tunayapinga mahusiano ya mwanaume kumruhusu mwanaume mwenzake kumuingiza...
  3. Philo_Sofia

    JamiiForums Tanzania Tunatoa wapi Elimu yetu?

    Tunatoa wapi elimu yetu au msingi wa elimu na mafundisho yetu ni nini? Hili ni swali muhimu katika kuelewa: moja elimu yenyewe, na pili mafundisho yanayotolewa na hiyo elimu. Katika kuelewa elimu yetu, utafiti unapaswa kuwa katika kuelewa mafundisho gani inatoa kwa wanaojifunza au...
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Mapapaa na Mapedeshee waliishia wapi?

    Hivi wale ma papaa na mapedezhee waliokuwa wakitajwa kwenye nyimbo za wacongo wameishia wapi? Kipindi hicho (awamu ya 4) kulikuwa na club nyingi sana zenye live band na wasanii maarufu wa muziki wa dansi hasa wenye asili ya congo waliingiza pesa nyingi sana kwa kuwataja kwenye nyimbo zao...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Yanga mlianza kwa ngekewa, mashabiki wenu wakawa na jeuri. Kiko wapi?

    Ile bahati ya kukutana na timu dhaifu na kuzifunga magoli mengi basi mkaanza kuota viburi. Sasa ligi ndio imeanza rasmi. Na huko hatua ya makundi hakuna timu kama Zalan. Yaani maji mtaita “mma” endeleeni kuchonga sasa.
  6. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

    [emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ Ihefu SC Vs Young Africans SC [emoji414] 04.10.2023 [emoji909] Highland Estates [emoji797] 10:00 Jioni Matokeo ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu uliozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja huo msimu uliopita ambapo Ihefu iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 ndio...
  7. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Unamkumbikia Pepe Kale kwa vibao vipi ukiwa wapi

    Hili jitu la miraba minne toka kule jamhuri ya Aradese bingwa la miondoko ya rhumba na soukous akiwa na rapa mahiri enzi hizo Bileku Mpasi akiwa stageshow wake mahiri emolo na jollybabe walitoa vibao mahiri visivyochuja kama Yanga Africa Mamaleki Moyibi Christina Larhumba Hidaya Don't cry dube...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa design yangu ya chupa za plastiki?

    Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa aina ya chupa za plastiki design ninayoitaji mwenyewe?
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania This is Africa: Rais wa Nigeria yabainika alitumia cheti cha mwanamke kudanganya ni degree yake. Je, atawajibika kwa kuidanganya nchi anayoiongoza?

    Degree yake ya kwenye CV inayoonyesha kasomea chuo kikuu cha Chicago nchini Marekani ilizua maswali, wananchi wakatuma maombi Marekani kutaka kujiridhisha elimu ya Rais wao. Wamarekani wapo Direct, siku ya jana Jaji wa Marekani aliamuru taarifa za uhalali wa cheti zitolewe leo na imebainika...
  10. Ester505

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi kijana Majaliwa yule muokoaji??

    Kwa mwenye TAARIFA zake jamani maana alivuma Sana kipindi kile Cha ajali ya ndege, maana inasemekana yeye alisaidia kuokoa watu ndani ya Ile ndege iliyodondokea kwenye maji na akaambiwa akasomee kozi ya uokoaji.
  11. Egwugu

    JamiiForums Tanzania Pwani: Watu wametakiwa kulipia square meter moja kwa sh6,000/= Ili kufidia kile eti kinachoitwa fidia kwa aliyekuwa muwekezaji miaka 30 iliyopita

    Ni wananchi wanaopatikana ndani ya mkoa wa Pwani, Kibaha mji katika mtaa wa Viziwa ziwa. Hari si shwari hasirani, unyanyasaji huu na tamaa za viongozi huko chini inawahangamiza wananchi wa Tanzania na raia pasipo kuwepo na mhamiaji. Ni kaeneo kadogo kakiitwa "VIMISA". Hapa ndo panapoongelewa...
  12. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu huondoka nchini bila kuaga?

    Tangu Tundu Lissu tangu arudi nchini hii nadhani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kusema sababu yoyote hali hii sidhani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya urais. Maoni yangu ni vyema awe...
  13. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Wapi mnapata emoj ya kucheka kwenye browser ya jamii forum

    Natumia browser katika jamii forum! Kuna mahari naona watu wanaweka emoj ya kucheka! Mimi nikiitafuta siioni zaidi ya emoj ya like👍. Sasa hizo emoj mnazipataje?
  14. Msanii

    JamiiForums Tanzania TRENDING: Mkataba wa IGA tayari umeshalazimishwa uendelee, je u wapi Mkataba wa HGA?

    Tumewekewa ndimu na kachumbari njiani ili tusiendelee kuhoji mkataba mbovu baina ya JMT na Dubai Port World. Pamoja na kwamba serikali kupitia mamlaka na mihimili yake wamefunga ndoa ya kufilisi na kujimilikisha binafsi rasilimali kuu za uchumi wetu, lakini mhimili moja (Mahakama) umesema wao...
  15. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Nalipwa 500,000/=(laki tano) kwa mwezi, unanishauri niwekeze wapi?

    Asalaam wakuu. KUfupisha uzi. Kwasasa kuna mahali nafanya kazi nalipwa laki 5, ila kazi inanichukulia muda mwingi sana. Ingawa nakula bure , na nalala bure(vyote nimepewa na ofisi yangu). Umri wangu 20's. Naomba ushauri niwekeze pesa yangu wapi ili niongeze kipato changu. Mwanzo niliwaza...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Sisi KKKT tunayo Huduma ya alama kwa Viziwi, Katoriki na Makanisa mengine mnakwama wapi?

    Salaam Wakuu, Sisi KKKT Dayosisi Mashariki na Pwani Katika ushirika wa Boko Jimbo la Kusini Magaribi, tumeadhimisha ibada ya siku ya Viziwi. Ibada inaongozwana Mkuu. Wa jimbo Mchungaji Godlove chagulilo. Wakalimani wapo kama wote. Je, Makanisa mengine mnakwamba wapi kuwahudumia watu...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka Meja Jenerali Mbuge, yuko wapi?

    Mwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli. Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT. Sasa hivi yuko wapi?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Lukas Mwashambwa?

    Ni muda mrefu sasa hatuoni nyuzi mfuatano za ndugu yetu, mzalendo na mnyenyekevu; bwana Lukas Mwashambwa. Ajitokeze aseme wapi alipo na kwa nini amepoa hivyo. Ama kuna mtu anayefahamu juu ya haya atueleze.
  19. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa bata ni wapi pa kujiachia weekend hii Dar es Salaam?

    Wakali wa bata nipeni suggestions za place tulivu za kujiachia. Nataka kutumia weekend hii kula bata man alone. Sehemu ziwe zile classic zisizo na vurugu kuwe walau na muziki mzuri na warembo. Pia kama unafahamu Airbnb nzuri nitajie nataka nikitoa leo ghetto narudi jumapili jioni.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

    Historia ya Serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui. Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua Serikali ya Mwl Nyerere. Inadaiwa dereva teksi aliyekuwa akiwasafarisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya Siri alibaini mpango wao na...
Back
Top Bottom