Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,009
- 17,471
Natumia browser katika jamii forum! Kuna mahari naona watu wanaweka emoj ya kucheka! Mimi nikiitafuta siioni zaidi ya emoj ya likeš. Sasa hizo emoj mnazipataje?
SafiMinya hicho kidude cha thanks utaletewa option ya emoji unayotaka
Mahari[emoji735]Natumia browser katika jamii forum! Kuna mahari naona watu wanaweka emoj ya kucheka! Mimi nikiitafuta siioni zaidi ya emoj ya like[emoji106]. Sasa hizo emoj mnazipataje?
Kazi sana L na R janga la watu wengi mno..sijui kwaniniMahari[emoji735]
Mahali[emoji736]