wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. 100 others

    Ogopa kama ukoma wanawake wanaokuambia fulani (Rafiki yako) kanitongoza

    Wakuu habari za majukumu? Wanaume wenzangu huwa inatokea sana kwenye mahusiano kuambiwa na mwanamke uliyenae katika mahusiano "kaka yako kanitongoza" au "rafiki yako ananitongoza", kwa kweli nimejifunza mengi kutoka kwa hili na ninaongea nina uhakika. Wanawake wana tabia ya ku manipulate akili...
  2. Liverpool VPN

    Hii imeniuma balaa! Wanawake Mungu anawaona...

    Dah IMENIUMA japo HAYANIHUSU ila nimemuonea huruma sanaa mwamba. Ni mwezi wa 12, Kama kawaida ikifika december au ikiwa inakaribia huwa nazama mikoa ya baridi kupanda miti. Safari hii nimekuja mkoa fulani hivi nyanda za juu kusini na lengo ni kupanda miti ya matunda. Sasa katika hiyo guest...
  3. Jokajeusi

    Wanawake wenye pesa ndio wenye True love

    Wakuu! Huu ni utafiti Rasmi nilioufanya mimi mwenyewe kwa miaka mitano. Utafiti wangu niliuweka kwa mtindo wa swali; WANAWAKE WAPI NDIO WENYE MAPENZI YA KWELI? Muda wa Utafiti: Miaka Mitano Sampo ya wafanyiwa Tafiti: Mia moja thelasini Maeneo ya Utafiti: Dar es salaam, Arusha, Mwanza...
  4. Pascal Mayalla

    CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote kukisaidia. Upendo wa kweli ni pale unapoona jirani yako ambaye ni kipofu, haoni mbele, anatembea na...
  5. J

    Zifahamu changamoto wanazokabiliana nazo Wanawake waliojifungua Watoto Njiti

    Kukimbiwa na kutengwa na wenza (Baba wa Mtoto): Wanaume wengi na ndugu hudhani kupata Mtoto Njiti ni jambo la laana au mkosi hivyo humtenga Mama na Mtoto wake Kushindwa kumudu gharama za malezi ya Mtoto: Watoto waliozaliwa kabla ya muhula kutimia au waliozaliwa na uzani wa chini wanahitaji...
  6. YEHODAYA

    CHADEMA wajipange upya kama kweli wabunge wanawake 20 wenye nguvu ndani ya chama wamenunuliwa na CCM kwa mpigo

    CHADEMA BAWACHA ndio ilibaki nguzo pekee ya CHADEMA ya kuaminiwa. CHADEMA walilisifu sana BAWACHA kuwa eti wabunge na madiwani wote eti kwa kile kinachoitwa kununuliwa wabunge na madiwani walikuwa ni wanaume tu wanawake wa BAWACHA hawakukubali. Msimamo huo ulisababisha wabunge wanawake wawekwe...
  7. mwanamwana

    Humphrey Polepole: Natoa rai kwa vyama vya siasa kuheshimu nafasi wanazopewa Wanawake

  8. Z

    Maamuzi ya Wakinamama yasiingiliwe

    Viti Maalum vya wabunge Wanawake vimewekwa ili kulipa fursa kundi hilo la jamii kwenye ulingo wa siasa. Mantiki yake ni kuwa, katika vurugumechi za siasa, wanaume huwazidi wanawake kutokana na sababu mbalimbali za kijamii na kitamaduni. Katika kuheshimu misingi ya malengo hayo ya kuwa na viti...
  9. Chakorii

    Wanawake wengi (wazuri wachache wapo) tuna roho mbaya mno

    Habari ya muda huu natumai muwazima nyote. Moja kwa moja nisipoteze muda. Tukio la leo(jana) limenifanya nikakumbuka miaka michache iliyopita nilipoteza fahamu katika moja ya usafiri wa umma, kizunguzungu kikali sana kilinipata nikajikuta naanza kuyumba (kupepesuka)nilikuwa natafuta nafasi ya...
  10. A

    Mbona wanaoshangilia Viti Maalum vya CHADEMA ni CCM?

    Nimekua nikijiuliza, hivi kwanini CCM wanashangilia sana kuapa kwa wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA kuliko hata wanaCHADEMA wenyewe? Jibu lililowazi ni kuwa Uchaguzi wa October umefanya viongozi wateule kukosa uhalali wa uongozi ndani na nje ya nchi (haswa nchi za magharibi). Hili sio tatizo...
  11. R

    Hivi wanawake mnapofanya ngono huwa mnapata raha?

    Mimi kiukweli bado nina mashaka na hawa viumbe wanaitwa wanawake. Kuna maswali fikirishi mno na nahisi kuna nyakati ihuwa wanasikia maumivu ila hawasemi tu Maswali yangu ni haya 1. Kwanini wanawake hata mkiwa na mahusiano huwa hamuombi sex mnasubiri mwanaume ndio aombe? 2. Kwanini huwa...
  12. D

    Chama kikiwafukuza Wabunge Viti Maalum CHADEMA itakuwaje?

    Badala ya kulalamika na kutukana na vilevile waandishi wetu kuogopa na kukaa chini sisi...Tumefanya utafiti mdogo kwanini ghafla Bunge na mfumo mzima wa uongozi wa serkali ya Tanzania ghafla wanawahitaji hao wabunge wa CHADEMA. MASHARTI YA PESA TOKA NJE (DONORS) Kama mnaelewa bunge letu hakuna...
  13. M

    Kuwafukuza uanachama Wanawake mashujaa 19 ni kujipiga risasi mguuni

    Chonde chonde kamati kuu ya CHADEMA, huu mtego utegueni kwa hekima. Kuwafukuza wanawake 19, au 20, ambao Ndio Wanawake imara na wenye nguvu zaidi nchini kwa sasa, siyo tu kujipiga risasi mguuni, ni kumpa adui nafasi ya kujilinda na kukushambulia. Sisiemu wana pandikiza mapandikizi kila leo...
  14. figganigga

    Nimeamini, Wanawake wa Kipemba wanajua Mapenzi kuliko Wanawake wa Tanga

    Salaam, Kuna kitu nmesikia watu wakijisifia kwamba wanawake wa Tanga ndo mapenzi yalipozaliwa. Ila ila baada ya utafiti wangu wa kina, nimegundua Wanawake wa Zanzibar hasa Kisiwa cha Pemba wapo Vizuri kwenye Tasnia ya Mapenzi kwa Ujumla yake. Yaani wanajua kumhudumia Mwanaume. Nahisi...
  15. Jelavic

    Mnyika usiwe Katibu wa kwanza katika historia ya CHADEMA aliyeua Baraza la Wanawake (BAWACHA), thamini juhudi zao kukufikisheni mahali mlipo leo

    Unapozungumzia Viti maalum wa 2020 hawa 19 WALIOCHAGUANA unazungumzia ngome kongwe ya viongozi wa wanawake wa chadema (BAWACHA). Nakukumbusha katibu mkuu utendaji wako juu ya hili kundi sio tu unawaathiri wao kama viti maalum bali unaathiri mfumo mzima wa balaza lako la wanawake ambalo ndio...
  16. Analogia Malenga

    UN: Idadi ya mauaji ya wanawake ni sawa na wanaokufa vitani

    Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameandika kuwa kwenye baadhi ya maeneo duniani, kiwango cha mauaji ya wanawake ni sawa na wanaokufa katika uwanja wa vita. Aliandika hayo siku moja kabla ya Siku wa Kimataifa ya Kupunguza Ukatili dhidi ya Wanawake, ambayo huadhimishwa...
  17. J

    Mbowe: Natamani mrithi wangu kama Mwenyekiti Taifa atoke BAWACHA

    Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anatamani sana atakapostaafu kama mwenyekiti wa Chadema taifa basi mrithi wake atoke Bawacha. Source Tanzania Daima My take; Namuona Halima Mdee akiandaliwa fursa ya kuongoza Chadema Maendeleo hayana vyama!
  18. B

    Wanawake wa CHADEMA wamejitolea kuwatoa gerezani wanasiasa wasio na hatia

    Mbele yetu tunawaona akina mdee na wenzake kama wasaliti wa nafsi zetu lakini tunasau sisi ni wasaliti wa Kwanza kutokea. Toka uchaguzi umalizike tumekaa kimya tukiandika mitandaoni na kushangilia wanachofanya wanasiasa wa upinzani bila kutilia maanani kwamba wapo watu wapo gerezani kwa sababu...
  19. M

    Tetesi: Suala la Viti Maalum kuna usaliti unaotaka kufanywa na Wanawake wa CHADEMA

    Kuna habari zina-trend mitandaoni kuwa kuna kundi la wanawake wa CHADEMA lipo kwenye harakati za chini kwa chini kula njama za kwenda Dodoma kula kiapo cha kuingia bungeni kwa viti maalum. Kundi hilo linajumuisha wanawake wenye majina makubwa makubwa ndani ya chama hicho, waliojijengea heshima...
  20. 2019

    Wanaume wanaohonga ndiyo wanawaaribu wanawake

    Kwanza tukubaliane kuna tofauti kati ya kuhonga na kumpa mwanamke vitu. Ufafanuzi:👇👇 Kuhonga ni kutumia vitu kama pesa,vitu vizuri vya anasa kumshawishi mwanamke ili kutimiza lengo lako. Kumpa mwanamke kitu pale anapoomba hupaswi kutoa kitu ambacho kipo nje ya uwezo wako,yani toa kwa moyo wako...
Back
Top Bottom