Wanawake wengi ndio wanaolisha familia siku hizi, tatizo akina baba mbona wanafeli?

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Ukitembea kila mji mkubwa au mdogo hapa Tanzania utakuta akina akina mama wapo busy kutafuta maisha, utakuta akina mama wauza uji, wauza karanga, wauza uji na mihogo wakiwa na watoto wao migongoni. Wakipata kipato wanalisha watoto na baba zao. Hii ni kasumba imeanza lini hapa Tanzania?

Akina baba wanashinda vijiweni wakipiga soga huku wakichati na masmatifone, hivi hamuoni aibu? Kwa nini msirudi kijijini?
 
Tuna kimbia hao watu wameka wajeuri kipita kiasi hawamilikiki aisee
 
Back
Top Bottom