Hivi kwanini wanawake hamtaki kukataliwa?

Stanboy

JF-Expert Member
Jul 4, 2013
1,115
1,300
Hello,
Nawasalimu kwa jina la MMU,

Ukiwa handsome kila mwanamke atakutaka,uwe na hela usiwe nazo poa...si wadada si wake za watu..si mtaani si kazini...utafuatwa hadi na mashoga..huko fb na insta utapata tabu..kaka nakufananisha..kaka mambo?naomba namba yako kuna kitu nataka unishauri😀

KIBAYA ZAIDI WANAWAKE HAWAPENDI KUKATALIWA huo ugomvi siyo wa nchi hii ni kama wapalestina na Israel...

Hivi kwanini wanawake hamtaki kukataliwa?mbona nyie mnawakataa wanaume?

Nawasilisha
 
Wewe uliyeoa mbona bado unacheat?

Hahahaa haya mkuu...ungejua uswahilini ndo kuna mahandsome hasa wala usingewadharau watu wa

sawa
Kijana keti apa chin unisikilize kwa makin dunia hii hakuna mtu mbaya wote ni wazur tatizo mazingira chakula na pesa mfano mzur tu ni harmonize kipind anaingia WCB na sasa unaona wana fanana
 
KIBAYA ZAIDI WANAWAKE HAWAPENDI KUKATALIWA huo ugomvi siyo wa nchi hii ni kama wapalestina na Israel...

Hivi kwanini wanawake hamtaki kukataliwa?mbona nyie mnawakataa wanaume?

Nawasilisha
1624201260779.png
 
Back
Top Bottom