Wanawake, kwanini tukiwakataa mnatuchukia?

Mwanakulipata

JF-Expert Member
Jul 17, 2018
713
1,181
Unajua bhana sio kila mwanaume anapenda kuchezea hisia za mwanamke kuna sisi wengine tumembwa na roho ya huruma, kuliko kuchezea hisia za mtu ni heri umwambie ukweli tu kama haupendi ili kuepusha kupotezeana muda.

Hili ni kosa kwa mwanamke ukimwambia kama humtaki/humpendi atakuchukia milele. Sasa sijui hawa ndugu zetu wanapenda kuchezewa.

Sijui shida nini muwage waelewa tunawaepusha na mabalaa huko mbeleni.
 
Umekosea chief.....hawa viumbe hawaachwi hivo...

Yaan we mpotezee kimya kimya tu!!

Na hata ikitokea umekutana nae we piga nae story!!!!

Kuna siku waweza mkumbuka....na ukaweka fresh tuu!!!!

Mnatuangusha sana vijana siku hizi:
 
Unajua bhna sio kila mwanaume anapenda kuchezea hisia za mwanamke kuna sisi wengine tumembwa na roho ya huruma, kuliko kuchezea hisia za mtu ni heri umwambie ukweli tu kama haupendi ili kuepusha kupotezeana muda

Hili ni kosa kwa mwanamke ukimwambia kama humtaki/humpendi atakuchukia milele. Sasa sijui hawa ndugu zetu wanapenda kuchezewa

Sijui shida nini muwage waelewa tunawaepusha na mabalaa huko mbeleni

Aiseee Pole sana kama yamekukuta mkuu.

//Make Tanzania Happy Again....Mikumi TENA.
 
Sasa umenikataa nikuchekee ili iwe nini, si bora hata nimekuchunia ilitakiwa tukikutana nikumwagie mchanga...
Hapa ndo mnaponishangazaga wanawake...mnaomuona bora mwanaume anayewachezea na kupotezea muda..kuliko yule anaewaambia ukweli na kuepusha na mfadhaiko...aisee
 
Umekosea chief.....hawa viumbe hawaachwi hivo...

Yaan we mpotezee kimya kimya tu!!

Na hata ikitokea umekutana nae we piga nae story!!!!


Kuna siku waweza mkumbuka....na ukaweka fresh tuu!!!!

Mnatuangusha sana vijana siku hizi:
Mkuu kuna watu wanaroho ngumu..unampotezea kimya kimya ila yeye ndo kama unachochea...sasa nikaona kuliko kumpotezea muda bora nimwambie tu ukweli...kumbe ni kosa bhna..

Sasaivi mwendo ni kuwapitia tu kama kimondo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom