Utafiti rasmi: Ndoa nyingi na mahusiano mengi yamevunjika baada ya Wanawake kuamini sana ndumba

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Wananwake wengi wa kibongo wanaamini sana ndumba ili kuimalisha mapenzi yao. Na wanapopata ndumba kali huwafanya mabwana zao kuwa mabwege na hapo huanza kuchepuka nje, kuwa dharau na kujiona wao ni kila kitu. Matokeo yake baada ya ndumba kuishiwa nguvu huwa wanamwagwa kama vile lori linamwaga mchanga na kutimuliwa kama wezi.

Hii ni kweli au sio kweli?
 
Hali hii husababishwa na wanawake ambao umri wa kuolewa ukiwa unayoyoma halafu wanaume waoaji sikuhizi wamepungua sana. Hapo ndio mbinu mbadala kama hizi hutumika.

Na ni kweli ndoa za kutumia dawa huwa hazidumu.
 
Back
Top Bottom