wanatoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Africa Cancer Foundation wanatoa Matibabu ya Bure ya Saratani ya Matiti kwa Wanawake

    Nimeona ujumbe wa WhatsApp unaotaka watu watume majina ya Wagonjwa wa Saratani ya Matiti kabla ya Machi 7 ili watibiwe bure. Nina ndugu yangu ni mgonjwa. Naomba kufahamu kama tangazo hili lina ukweli ili nisitapeliwe bure.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanatoa sana kwa wachungaji kuzidi kwa wahitaji, Waislamu wanatoa sana kwa wahitaji kuzidi kwa mashehe

    Makanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo. Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana changamoto zinazoweza kutatulika kwa milioni 10 ila wanaombewa badala ya kusaidiwa, ni kweli makanisa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Voda wanatoa Kamisheni ndogo kwa Mawakala?

    Habari zenu, Nina ofisi zangu za Uwakala wa mitandao ya simu na nimekuwa nashangazwa na Kamisheni ndogo zinazotolewa na Vodacom. Mitandao mengine ipo vizuri kiasi chake lakini Vodacom wamekuwa wanabana sana Commission kwenye miamala ya kuweka na kutoa. Hii hali imeenda mbali zaidi kwani hata...
  4. JamiiForums Tanzania Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Hivi huwa mko Serious au huwa mnatania?,yaani Mwanamuziki Fally Ipupa mnamfananisha na Fere Golla? Sijajua aliyeanzisha huu mpambano kama yuko timamu kichwani. Koffi olomide amewahi kukaliliwa akisema "Moja kati ya waimbaji na wana jumuia wangu wa bendi...
  5. JamiiForums Tanzania Utofauti ni mazingira tu; English Medium/Private na St. Kayumba wote wanatoa elimu mbovu

    Ukiondoa hizi international Schools ISM, Braeburn, IST, St. Constantine. Shule zilizo baki Tanzania zinatoa elimu mbovu utofauti ni mazingira ya upokeaji wa vilivyo vibovu. St. Kayumba na hizi English medium/private wote wale wale wanaendelea kutoa yale yaliyo mabovu yaliyo andaliwa na wizara...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza

    Historia inaonesha wayahudi wa Israel kila waliposhambuliwa na wanamgambo wa Hamas walilipiza kisasi papo kwa papo bila kusubiri. Nini kilichwafanya safari hii "wajipange" kwa muda mrefu na huku wanadai kuwa watu wao wengi wametekwa? Jibu ni jepesi sana; Hamas ndiyo walioshambulia na katika...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ABC bank wanatoa mikopo Kausha damu? Nimestaajabu sana

    Nimewasiliana na wakala wa Bank ABC juu ya mkopo Tazameni wenyewe, naomba ABC bank mtolee ufafanuzi huu ni mkopo au kausha damu? Hivi mtu ukope milionin14 urushe 39 huu si wizi kabisa? Ndugu watumishi wa umma pamoja na walimu epukeni mikopo Najuta sitarudia tena!
  8. JamiiForums Tanzania Zanzibar wanatoa wapi mafuta, mbona bei zao ni tofauto na bara?

    Nimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100! Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja? Kuna nini hapo katikati?
  9. JamiiForums Tanzania UPDATE: Wizara ya Afya yaunda Kamati kuchunguza Malalamiko ya Madaktari Watarajali

    UPDATE: WIZARA YA AFYA YAUNDA KAMATI KUCHUNGUZA MADAI YA MADAKTARI WATARAJALI Madaktari Tarajali wanatoa malalamiko yao dhidi ya Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) Akizungumza katika mkutano huo wa Wanahabari, Dkt. Warsha Wilson ambaye ni mmoja wa waathirika wa matokeo mabaya ya...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI, kwanini mmeajiri Watoto wetu na mnawalazimisha waripoti bila kuwalipa chochote?

    Waziri wa TAMISEMI muwe serious hii ni nchi sasa mnalowalazmisha watoto waripoti bila kuwalipa mnakuwa mnategmea nini? Sisi wazazi, mahindi mmesema tusiuze nje tunauza kwa hasara tujikimu sasa tena na Watoto mmewaajiri mikoa ya mbali huku mkifosi wafike na hamjawapa nauli pesa ya kuishi wala...
  11. JamiiForums Tanzania Wahasibu wasiwe wanahusishwa kesi za wizi wa manunuzi, upigaji huwa unafanywa na maafisa manunuzi, wahasibu huwa wanatoa pesa tu na hawana kosa.

    Afisa manunuzi anaenda kwa muhasibu kuomba kupewa Bilioni 2 amlipe mkandarasi tenda ya ujenzi, hio kazi ya kwenye tenda ni wazi kabisa kiuhalisia haivuki hata milioni 200 lakini muhasibu akijaribu kufungua mdomo ataambiwa afanye kazi yake hayo mambo ya manunuzi hayamhusu, hapo muhasibu anaingia...
  12. JamiiForums Tanzania Nje ya pesa ya kuishia hatua flani, caf huwa wanatoa pesa za maandalizi, malazi na kujikimu kwa timu ambazo zinasonga mbele ?

    timu inapotolewa katika hatua fulani, ndiyo hupatiwa pesa iwe ni makundi, robo fainali, nusu fainali ama hadi imalize fainali. timu ikiishia makundi inapewa pesa, wanaosonga mbele robo fainali hawapewi timu ikiishia robo fainali inapewa pesa, wanaosonga mbele nusu fainali hawapewi timu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hivi sasa hivi bado kuna wanaume wakiombwa hela muda mfupi baada ya kutongoza wanatoa?

    Group yangu ya wana wote wakipigwa vizinga na wadada waliotongoza siku moja kabla wanakataa, hapa mtaani hadi madogo wa kiume wanaosoma sekondari wanajua hiyo style ya utapeli, nilishangaa sana kuona mtoto wa kiume wa form 2 akimwambia mwenzake, "huyo ukimtumia hela, ghetto kwako hatokuja, na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata wanatoa kinyesi cheupe, ni ugonjwa gani huu na tiba yake ipoje?

    Bata wanakunya kinyesi cheupe (kawaida huwa wanatoaga kinyesi cheusi), hawana kabisa hamu ya kula, kunywa maji na wanaishiwa nguvu na kutembea goigoi. Please, nisaidieni ni ugonjwa gani na tiba yake.
  15. JamiiForums Tanzania Gari imekosa mwelekeo, abiria wanatoa macho kuangalia inapokwenda kuangukia

    Wakati unakuja watanzania wataishiwa uvumilivu kwa kuona Mali zao na nchi yao ikiuzwa pasina wao wenyewe kuridhia. Ni kama kufumba na kufumbua maji hayapatikani tena wakati ilo jambo lilishasahaulika, umeme siyo wa uhakika tena sasa watanzania hawajui mwekezaji gani atakuja kuwekeza kwenye nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Chadema wanatoa tamko juu ya ajali iliyotokea Bukoba

  17. JamiiForums Tanzania Natamani hawa wanatoa ushuhuda makanisani nipate ninayemjua toka zamani na shida yake

    Naomba niongee hili jambo mimi mara zote aidha naona kwa TV au kwenye gazeti au mara ingine ata kwenye mikutano mbalimbali ya dini ya awa wachungaji wanaoponesha watu na pia kuwainua kiuchumi na kimaisha. Ila natamani sana kumpata mtu namjua naona akiwa pale mbele najua kabisa alikuwa kiwete...
  18. JamiiForums Tanzania Wasanii wa bongo hawatoi album, wanatoa tu nyimbo nyingi kwa siku moja

    Hizi nyimbo wanatoa wakina HARMONIZE (HIGH SCHOOL), IBRA (THE KING OF NEW SCHOOL) .kwa upande wangu ni mkusanyiko wa nyimbo kali tu. na sio album. yale maneno ya ROMA MKATOLIKI kwenye nyimbo ya 2030 " MZIKI UMEJAA STRESS KILA NYUMBA INA MSANII " ayo maneno yalikuwa yapo sahihi na ndo...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi wa Kikristo wanachelewesha maisha ya watoto wao sana. Wanatoa sapoti ya elimu tu

    Habari wadau. Nimegundua wazazi wengi wakristo wa Tanzania bara wagumu sana kusapot watoto wao nje ya kulipa ada za shule na vyuo. Hata kama wana uwezo Ukiomba mtaji hawakupi ila ukitaka kusoma mpaka phd ada italipwa. Nina jamaa nawaona wana wazazi wapo vizuri ila hawapewi sapot za maisha...
  20. JamiiForums Tanzania Hawa wanaitwa Konnect wanatoa internet ya satellite wakoje hasa?

    Nimeona jamaa hawa wanatangaza internet yao ya satellite kwa 60k kwa mwezi. Huko nyuma nomewahi sikia kwamba internet ya satelilite huwa slow sana ukifananisha na ya cable/minara. Pia naona unatakiwa kuwa na dish na mambo mengine mengi tu. Kwa aliyeitumia, inapatikana maeneo gani nchini? Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…