Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 1,709
- 5,699
Group yangu ya wana wote wakipigwa vizinga na wadada waliotongoza siku moja kabla wanakataa, hapa mtaani hadi madogo wa kiume wanaosoma sekondari wanajua hiyo style ya utapeli, nilishangaa sana kuona mtoto wa kiume wa form 2 akimwambia mwenzake, "huyo ukimtumia hela, ghetto kwako hatokuja, na hela yako itaenda", ilhali mm nilivokuwa form 2 nlikuwa innocent kabisa sijui hiyo aina ya utapeli..
Mwingine akiombwa hata vocha ya tshs 1000 anamwambia mdada, iyo ela akaichukue gheto..
Sisi vijana tunajenga jamii ya aina gani sijui, mdada unaempenda akikuomba msaada unahisi kutapeliwa na kutumika, hata kama ana shida kweli..Yaani ndo kusema wanawake wengi wamekuwa matapeli kiasi hiki.. kinachosababisha wadada wawe roho mbaya hivi sielewi..