Kwanini baadhi ya wafanyakazi wanapenda kutoa 'last seen' za WhatsApp na kubaki jina pekee?

Molleli

Senior Member
Aug 29, 2020
184
165
Naombeni majibu wandewa.

Kuna mmoja aliniambia wanafanya hivyo kwasababu ma boss wao huwa wanawasumbua. Je, kuna ukweli kwenye hili?
 
Dependence syndrome- MTU akiwa anategemea Sana watu ili mambo yake yaende atakuwa hivyo Ila japo watu wemgine ni kwa ajili ya kuongeza privacy tu.
 
Back
Top Bottom