wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. maroon7

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo kama DIT wanashindwa kulipa walimu wataweza ufadhili wa wanafunzi?

    Leo nimeona Waziri wetu mpendwa Mhe. Jaffo katoa wito kwa vyuo kuangalia utaratibu wa kufadhili wanafunzi wanaofanya vizuri masomo ya sekondari ili kuendelea na masomo ya elimu ya juu. Ni wazo zuri sana na ikiwezekana iwe lazima kila chuo kila mwaka kitoe ufadhili. Ila pamoja na hayo bado...
  2. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania China yaitaka USA kutowabughudhi wanafunzi wake walio USA

    Kwakile kinachoonekana ni maagizo ya China kwa USA toka wizara ya mambo ya nje ya China Wizara hiyo imesema kuwa. "Tunataka marekani iache kuwasumbua wanafunzi wanaosoma marekani wakitoka China kwa kisingizio cha mahakama" Source CRI kiswahili
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Korogwe mlikuwa mnamdanganya nani? Kwanini mlijaza wanafunzi mkutanoni?

    CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga. Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli. Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya amtaka OCD achunguze wanafunzi wa kiislamu waliochoma shule walitumwa na nani na kwa sababu zipi!

    Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amempongeza OCD wake kwa kuweza kuwabaini wanafunzi watatu waliochoma shule wakati wenzao wakiwa msikitini. Ole sabaya amemtaka OCD awahoji watuhumiwa hao ambao ni watoto kwa " kuwabembeleza" ili waweze kuwataja watu walio nyuma ya hujuma hiyo ya kuchoma...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya mkataba kwajili ya uber!

    Habari wakubwa kwa wadogo. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu natafuta gari ndogo nitakayoingia mkataba na mwenye gari wa kuifanyia kazi kwa mkataba na malipo ya kila wiki. Kikubwa zaidi isiwe na cc kubwa na makubaliano ya kiasi cha kulipwa hayo tutajadili na mwenye gari...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa shule ya sekondari Minaki wanateswa na Polisi Kisarawe

    Nimeshuhudia hapa Kisarawe wanafunzi wa vidato vya tano na sita wa shule ya Minaki wanateswa na polisi ili wataje walioshiriki kuchoma moto shule hiyo siku ya Jumanne. Kama una mtoto wako Minaki, chukua hatua haraka. Ni siri kubwa na watoto wanapigwa na kupewa mateso mengine. Wanasheria...
  7. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) iwafutie usajili wanafunzi wanaorekodi na kusambaza video chafu mitandaoni

    Wakuu Salaam: Siku za karibuni kumekuwa na usambaaji wa video chafu kwenye mitandao ya kijamii na jambo hili linaendelea kukua miongoni mwa wanafunzi wa Elimu ya juu. Na waliohusika katika video wapo pamoja na kwamba kumekuwa na matamko toka uongozi wa vyuo lakini bado hakuna fundisho. Hawa...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tulikemee hili la Wanafunzi kuachishwa masomo kwa ajili ya kampeni za CCM

    Mdau najua wewe ni shahidi.Kila makao makuu ya mkoa anapopita Mgombea wa CCM na mgombea mwenza kumekuwa na tabia ya kuachisha masomo wanafunzi na kusombwa kuhudhulia mkutano. Hii sio haki kwani hii ni mikutano ya kichama na inavuruga mwenendo wa masomo yao. Mwalimu mmoja jana akanitaka kama...
  9. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Namshauri Rais Magufuli wanafunzi kuanzia darasa la tatu mpaka la saba wawe wanalipwa tsh.1000/kila siku tasilimu, wapo kama milioni moja

    Kwanza, ili kuwaepusha na tamaa za kudokoa, watoto hawa wanapenda na wao washike pesa na wanunue mahitaji yao ya kula, ulaya watoto wana akaunti zao. Pili, kuwaepusha na kurubuniwa na watu wenye nia mbaya. (wajomba bandia) Tatu kuwaepusha na vipigo na kuchomwa moto toka kwa walezi wenye roho...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kipi kifanyike kuwanusuru walimu na kashfa ya ngono dhidi ya wanafunzi?

    Habari wanaJF, Kila kukicha kashfa ya ngono kwa waalimu dhidi ya wanafunzi inazidi kukita mizizi, licha ya adhabu kali zinazochukuliwa dhidi ya wabainika lakini bado imeshindikana kulidhibiti tatizo, je kwa mtizamo wako unadhani kipi kikifanyika kitasaidia kumaliza tatizo hili?
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu

    WIZARA ya Elimu imewataka wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu ijayo kukamilisha masomo ya muhula wa pili wa mwaka huu, yatakayoendelea kwa wiki 11. Kwenye taarifa iliyotuma kwenye vyombo vya habari Jumanne, wizara hiyo ilifafanua kuwa ilifikia...
  12. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wito kwa wanafunzi wote mliofikisha umri wa kupiga kura na wenye Kitambulisho cha Mpiga Kura

    Tarehe 28 -10-2020 Ni siku ya kupiga kura. Wito wangu Ni hivi, Jitokezeni kwa wingi, yaani hata mmoja wenu asibaki nyumbani. Nendeni mkapige kura Huku mkimkumbuka Mwanafunzi mwenzenu Marehemu Akwilina. Unapoingia chumba Cha mpiga kura Mkumbuke Marehemu Akwilina msichana Mrembo aliekufa kwa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dar es Salaam kilianza rasmi 01/10/1961. Ni kina nani wanafunzi 14 wa Kwanza wa Kitivo cha Sheria ambao ndiyo wazinduzi wa chuo hiki?

    Wadau habari za Jumapili? Historia inaonesha chuo kikuu cha UDSM kilianza rasimi 01/10/1961. Kilianza na Kitivo cha Sheria, yaani Faculty of Law ikiwa na wanafunzi 14 tu. Baadae kadri muda unavyokwenda vitivo vingine viliongezwa sambamba na udahili wa wanafunzi kuongezwa. Saivi ni chuo cha...
  14. 44mg44

    JamiiForums Tanzania TCU kesho tarehe 5 watafungua dirisha la pili la udahili wa wanafunzi vyuo vikuu au mpaka tarehe 12?

    Ndugu mwenye taarifa anisaidie maana niko bush sana, nikijua mapema itapendeza maana nitaanza mapema maandalizi ya safari kwenda kutuma maombi! karibuni ndugu zangu.
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mamia ya wanafunzi wa Namibia wakutwa na Corona

    Namibia imethibitisha visa 11,373 vya coronaImage caption: Namibia imethibitisha visa 11,373 vya corona. Zaidi ya wanafunzi 300 nchini Namibia wameambukizwa virusi vya corona baada ya shule kufunguliwa. Wizara ya Afya imesema wanafunzi walioambukizwa wengi wao wanasoma shule za mabweni. Waziri...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura wanaohamishwa kimajukumu na wanafunzi waliofungua vyuo na shule kidato cha tano

    Mh. Mwenyekiti wa NEC, kuna kura ambazo zitakosekana/zitapungua kwenye ushindi wa kishindo kwa Rais wetu Mpendwa JPM. Kwa kweli ninaumia sana kwa kura yangu kupotea. Naomba mtuwekee utaratibu wa wapiga kura ambao wamehamishwa vituo hivi karibuni na wanafunzi waliokwenda kuanza vyuo na shule...
  17. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Dirisha la pili la kudahili wanafunzi wa vyuo vikuu linafunguliwa lini?

    Mwenye kujua naomba anijuze,nataka nijiandae mapema ili nisipitwe tena kama nilivyopitwa na dirisha la kwanza
  18. Tuko

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi na suala la Wanafunzi kutolewa madarasani kuhudhuria mikutano ya kampeni

    Baada ya wiki moja ya kampeni tumepokea taarifa mbali mbali za mienendo ya kampeni. Kinachonifanya niandike huu uzi ni kitendo cha NEC kufumbia macho suala la wanafunzi kuamriwa kuacha masomo kwenda kuhudhuria mikutano ya kampeni. Ni kweli kuwa baadhi ya wanafunzi wana umri wa kutosha kupiga...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya mifugo 2020/2021 (September intake)

    Unaweza kutembelea Mwanzo |WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA)
  20. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini kufungua shule kuanzia leo, mimba kwa wanafunzi zaongezeka

    Baada ya miezi 6 ya kukaa majumbani, wanafunzi nchini Sudan Kusini wanarejea darasani kuanzia Jumatatu, Waziri wa Habari wa nchi hiyo amesema. Hatua hiyo ya Sudan Kusini inafuatia uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuondoa katazo lililowekwa mwezi Machi na Rais Salva Kiir la kufunga shughuli zote za...
Back
Top Bottom