China yaitaka USA kutowabughudhi wanafunzi wake walio USA

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Kwakile kinachoonekana ni maagizo ya China kwa USA toka wizara ya mambo ya nje ya China
Wizara hiyo imesema kuwa.

"Tunataka marekani iache kuwasumbua wanafunzi wanaosoma marekani wakitoka China kwa kisingizio cha mahakama"



Source
CRI kiswahili
 
Back
Top Bottom