Ole Sabaya amtaka OCD achunguze wanafunzi wa kiislamu waliochoma shule walitumwa na nani na kwa sababu zipi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
36,537
2,000
Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amempongeza OCD wake kwa kuweza kuwabaini wanafunzi watatu waliochoma shule wakati wenzao wakiwa msikitini.

Ole sabaya amemtaka OCD awahoji watuhumiwa hao ambao ni watoto kwa " kuwabembeleza" ili waweze kuwataja watu walio nyuma ya hujuma hiyo ya kuchoma shule ya waislamu likiwa ni tukio la kwanza wilayani Hai.

Chanzo: ITV habari

My take; Isijekuwa ni hujuma za kisiasa!

Maendeleo hayana vyama.
 
AGOLA

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,378
2,000
Hapa sabaya anamlenga tu mbowebndio maana anasema kua awabembeleze.

Sabaya ni mtu atari sana,anataka mbowe asishinde kwa kila aina ya matukio.

Sabaya kaa ukijua kua wewe ni Binadamu kama binadamu wengine.
 
mugah di mathew

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
3,727
2,000
Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amempongeza OCD wake kwa kuweza kuwabaini wanafunzi watatu waliochoma shule wakati wenzao wakiwa msikitini.

Ole sabaya amemtaka OCD awahoji watuhumiwa hao ambao ni watoto kwa " kuwabembeleza" ili waweze kuwataja watu walio nyuma ya hujuma hiyo ya kuchoma shule ya waislamu likiwa ni tukio la kwanza wilayani Hai.

Source ITV habari

My take; Isijekuwa ni hujuma za kisiasa!

Maendeleo hayana vyama.
Alhad + ole sabaya mwenyewe
 
yanga2000

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
366
500
Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amempongeza OCD wake kwa kuweza kuwabaini wanafunzi watatu waliochoma shule wakati wenzao wakiwa msikitini.

Ole sabaya amemtaka OCD awahoji watuhumiwa hao ambao ni watoto kwa " kuwabembeleza" ili waweze kuwataja watu walio nyuma ya hujuma hiyo ya kuchoma shule ya waislamu likiwa ni tukio la kwanza wilayani Hai.

Source ITV habari

My take; Isijekuwa ni hujuma za kisiasa!

Maendeleo hayana vyama.
Inamhusi vipi wakati.yeye sio mkuu wa wilaya ya Moshi.
 
dikteta2020

JF-Expert Member
Aug 14, 2018
585
1,000
Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amempongeza OCD wake kwa kuweza kuwabaini wanafunzi watatu waliochoma shule wakati wenzao wakiwa msikitini.

Ole sabaya amemtaka OCD awahoji watuhumiwa hao ambao ni watoto kwa " kuwabembeleza" ili waweze kuwataja watu walio nyuma ya hujuma hiyo ya kuchoma shule ya waislamu likiwa ni tukio la kwanza wilayani Hai.

Source ITV habari

My take; Isijekuwa ni hujuma za kisiasa!

Maendeleo hayana vyama.
Mpuuzi
 
geordan

Member
May 28, 2014
65
150
Anataka awaangushie jumba bovu CHADEMA/Mbowe, Juzi aliomba askari wamshikilie na kumhoji dereva wa basi aliyegonga gari la mgombea ubunge wa CCM hai kama ni ajali ya kawaida au ya kisiasa
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
13,408
2,000
Mkuu wa wilaya ya Hai mh Ole sabaya amempongeza OCD wake kwa kuweza kuwabaini wanafunzi watatu waliochoma shule wakati wenzao wakiwa msikitini.

Ole sabaya amemtaka OCD awahoji watuhumiwa hao ambao ni watoto kwa " kuwabembeleza" ili waweze kuwataja watu walio nyuma ya hujuma hiyo ya kuchoma shule ya waislamu likiwa ni tukio la kwanza wilayani Hai.

Source ITV habari

My take; Isijekuwa ni hujuma za kisiasa!

Maendeleo hayana vyama.
Kwa nini anaanza na kusema wataje waliowatuma? Wanafunzi wako shuleni hivyo chanzo ni lazima kiwe ni shuleni mara nyingi ugomvi na uongozi wa shule n.k.
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
10,897
2,000
ZICHUNGUZWE ZOTE ZINAZOCHOMWA MOTO NCHI NZIMA KWA NINI NI ZA KIISLAMU JE KUNA NINI HUYU SABAYA ANAINGILIA KAZI ZA WAZIRI SASA WAZIRI MWENYE DHAMANA ANALISHUGHULIKIA HILI CHINI KWA CHINI BILA KUPIGA KELELE MAANA YAPO MAMBO SI YA KUPIGIA KELELE MAANA WAKATI MWINGINE UNAWEZA HARIBU UPELELEZI WAKE
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom