Mgombea wa Urais kupiti CHAUMMA amekuja na sera ya chakula kwa wanafunzi. Hii kitu niliielewa tangu awali lakini mahojiano yake ya dk 45 ITV yalinifanya nione kuwa mzee hayuko serious, wala hana mkakati wa kufikia anachokiwaza.
Nafsi iliniambia kuwa ni kweli chakula kwa wanafunzi ni shida...
Katika hali isiyo ya kawaida Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela amesitisha kufunguliwa kwa shule zote hapo kesho ili waalimu na wanafunzi washiriki kampeni za chama Cha CCM.
Hali hiyo imesababishwa na chama hicho kukosa ushawishi wa watu kuhudhuria mikutano yake bila kulazimishwa na hali...
Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) imewataka wananchi wanaotaka kusoma elimu ya juu nchini kuwasiliana moja kwa moja na vyuo husika na kamwe wasiwatumie watu wanaojiita mawakala au washauri wa vyuo vikuu.
Katibu mtendaji wa TCU, Prof. Kihampa amewataka wanafunzi wenye maswali au kutaka ushauri na...
Tumeona baada ya matokeo ya form six kutangazwa na shule nyingi za Serikali kuingia kwenye 10 bora, sasa wameibuka wanasiasa, wakijinasibu namna matokeo hayo yalivyopatikana, wengi wanasifia majengo waliyojenga, madawati waliyonunua, na baadhi husifia jitihada za wazazi kusimamia watoto wao...
Habari zinaenea Yanga jana ilichezea kichapo cha 3-1 ikicheza na wanafunzi wa chuo huko Dodoma. Ilikuwa ni mechi ya kirafiki katika uzinduzi wa wiki ya wananchi.
Hizi habari zi za kweli?
Kwanza niwapongeze na kutambua mchango wao waliogundua umeme wa TANESCO na wa sola miaka mingi iliyopita.
Sasa ili kuepuka vifo ni lazima nyumba zetu au mabweni yetu yawe na umeme wa sola na wa TANESCO.
Mchana utatumika umeme wa TANESCO tu, na usiku majumbani na mabwenini utatumika umeme wa...
Hello JF,
75% of Tanzanians depends on Agriculture and most of these people live in rural area, it makes sense if the government wants to invest then Rural areas should be one area of focus.
One way of achieving this is to educate Tural Youth. These people know well their 'environment' yet...
Kwakuwa Usalama wa Taifa ni kama kinyonga wanafiti popote,basi wangevaa uniform za shule ya msingi na sekondari na kuingia madarasani kama wanafunzi ilimradi tu wawe wanajulikana na walimu ili wasichapwe kuzuia matukio ya walimu wanaochapa ovyo kwa kuripoti mapema kwa maafisa elimu na kukaa...
Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mwalimu ambae anawafundisha wanafunzi kukatika. Matendo haya sio mazuri kwa malezi ya vizazi vyetu.
Wizara ya elimu mchukulieni Mwalimu huyu hatua stahiki.
Wanafunzi wa kike zaidi ya 20 wa shule za msingi na sekondari wilayani Longido mkoani Arusha, wamepewa ujauzito na wengine kuolewa wakati wa kipindi cha likizo kutokana na ugonjwa wa corona, baada ya shule kufungwa
Kutokana na hali hiyo, Serikali imesema itawachukua hatua za kisheria baadhi ya...
STATIONERY YA NDANI YA GHETO/HOSTEL
Nguvu ya hii biashara
1.tationery nyingi hufugwa mida ya saa moja jioni hivyo hakunaga mbadala, nguvu yako hapa ni kwamba wewe muda wowote ambao upo chumbani kuna huduma. hata usiku.
2. Stationery zinaweza kuwa mbali na sehemu ambayo unaishi na wanafunzi...
Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya ziara ya kushtukiza katika moja ya shule za wilaya ya mkuranga na kukuta wanafunzi wa msingi na sekondari wamekaa chini.
Mh Majaliwa ameshangazwa na hali hiyo na kutu muda wa wiki mbili madawati yapatikane na watoto wote wakae.
Majaliwa amesema wilaya hiyo ina...
Kuna member mmoja alidai wanafunzi wote wanamuunga mkono Lissu, lakini ukweli wenyewe ni huu hapa.-
Wanafunzi wametoa msimamo kuelekea uchaguzi Mkuu 2020, Msimamo wao ni kuwa wanaungana na watanzania wote wenye mapenzi mema kumuunga mkono Rais John Pombe Joseph Magufuli
Kama navyosema siku zote mimi ni kada hai wa CCM na naendelea kukipenda CCM. Lakini nitafurahi sana chama changu kiadabishwe awamu moja au kichachafwe ili kipate adabu kisirudie makosa yale yale na kiache kudharau wanyonge wahali ya chini.
KWANINI NASEMA CHAMA CHANGU KIADABISHWE?
1. Serikali ya...
Wana JF,
Nasikitika kuwafahamisha kuwa wanafunzi wawili wa shule ya sekondari Ngasaro Wilaya ya Rorya(kata ya mkoma) wafariki dunia mchana huu baada ya kuangukiwa na ukuta.
Kwa taarifa nilizozipata ni kuwa ukuta huo ulikuwa unatenganisha vyoo na madarasa.
Chanzo: Mmoja wa familia ya wafiwa...
Kutokana na kupanda kwa nauli za ndege kulikotokana na janga la Corona, ubalozi wa Tanzania nchini China kwa kushirikiana na Shirikisho la Watanzania waishio nchini humo (TASAFIC) wamefanikiwa kuandaa usafiri kwa wanafunzi na Watanzania wengine waliokuwa China kupitia Shirika la Ndege la...
Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020.
Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefafanua kuwa inatoa mkopo kwa Wanafunzi kulingana na siku za masomo kwa kila robo ya mwaka wa masomo
Imeeleza kuwa kutokana na COVID19 siku za masomo za robo mwaka ya nne ya muhula wa masomo wa 2019/20 ambazo huwa ni 60 zimepungua kwa...
Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha wakiandamana usiku huu kuishinikiza Bodi ya Mikopo Nchini
HESLB kurejesha kiwango kilichosalia cha 510,000/= kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.