Chuo kikuu cha Dar es Salaam kilianza rasmi 01/10/1961. Ni kina nani wanafunzi 14 wa Kwanza wa Kitivo cha Sheria ambao ndiyo wazinduzi wa chuo hiki?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
4,713
2,000
Wadau habari za Jumapili?

Historia inaonesha chuo kikuu cha UDSM kilianza rasimi 01/10/1961. Kilianza na Kitivo cha Sheria, yaani Faculty of Law ikiwa na wanafunzi 14 tu.

Baadae kadri muda unavyokwenda vitivo vingine viliongezwa sambamba na udahili wa wanafunzi kuongezwa.

Saivi ni chuo cha pili kwa kudahili wanafunzi wengi nchini baada ya UDOM.

Swali: Wanafunzi 14 wa kwanza kabisa wa chuo hiki walikuwa wakina nani? Unaweza kutaja baadhi Kama wafahamu na nafasi walizokuja kutumikia serikalini.

Naamini JF ni kisima cha Elimu na Maarifa.

Asanteni kwa ushirikiano wenu.
 
Mwita 2020

New Member
Sep 27, 2020
2
45

Miongoni mwa wanafunzi wa kwanza wa chuo hicho ni

Jaji sinde walioba

Prof banyikwa ( marehemu)

Prof. William rugumani ( UDSM recture)

Na wengine nimewasahau
 
Rwebo

JF-Expert Member
Oct 17, 2015
293
500

Mama Balozi Julie Manning
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,813
2,000
Jaji Lubuva, na Kivuitu wa Kenya.
Uko siriazi au unatania? The two you mentioned have common attributes. The most important truly they were UDSM graduates; secondly, they were Chairs of their countries electoral commissions. Baada ya hapo mengine sitaki kuyaeleza ...
 
Dunyua

Senior Member
Mar 10, 2018
166
250
Miongoni mwa wanafunzi wa kwanza wa chuo hicho ni

Jaji sinde walioba

Prof banyikwa ( marehemu)

Prof. William rugumani ( UDSM recture)

Na wengine nimewasahau

Mkuu kama nimemwelewa alieleta uzi alikuwa anauliza wanafunzi wa kwanza kwenye kitivo cha sheria. Prof Banyikwa (RIP) hakusoma sheria alikuwa wa Elimu Mimea (Botany). Au labda sio huyo...
Shukurani
 
Steven Sambali

Verified Member
Jul 31, 2008
343
250
Marehemu Jaji Mussa Kwikima.
Amefariki mwaka huu mwanzoni Kama sikosei.

1601903028363.png
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom