wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania TANGAZA UTALII TANZANIA: ATCL na TANAPA wana nini cha kuwapa wanafunzi 10 (bora) waliofanya vizuri Darasa la Saba 2020?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Wiki moja baada ya kutangazwa matokeo, shirika la ndege la ATCL pamoja na mamlaka ya hifadhi ya TANAPA ina nini cha kuwapa wanafunzi 10 bora (waliofanya vizuri) katika mitihani ya darasa la saba kwa mwaka...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa NACTE: Wanafunzi wamefeli sana mitihani ya semester

    HJaiwezekani wanafunzi wakafeli mitihani yao kiwango hiki. Kuna kitu hakipo sawa either kwa vyuo na ufundishaji au utungaji wa mitihani NACTE. Pitia vyuoni wanafunzi wamefeli sana na NACTE seems not to take care na kujiuliza kua nini? Siamini kama wanafunzi ni "hovyo" kiasi hicho. Kuna kitu...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

    Chuo cha Uhasibu Arusha – Institute of Accountancy Arusha (IAA) kimedaiwa kufanya udahili kwa idadi kubwa ya wananafunzi kuzidi uwezo wake, jambo linalosababisha uongozi wa chuo kuhamishia wanafunzi wa baadhi ya kozi katika hoteli ya Ngurdoto. Baadhi ya Wanafunzi hao ambao wamepelekwa Ngurdoto...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kwa Hela za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu, mpaka pale watakapo lipa Hela ya usajili na kusajiliwa chuoni

    Wakuu naomba Muongozo juu ya hili suala. Je ni sahihi kwa chuo kuchelewesha hela za wanafunzi kwa kigezo cha lazima wasajiliwe chuoni wakiwa wameshalipa hela ya usajili, wakati miongoni mwa hao wanafunzi wanategemea hela hizo za kujikimu kuendesha maisha na kulipa pesa kama hizo wanazodaiwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu "magumashi" wabunge viti maalum CHADEMA utayaona ya wanafunzi waliofutiwa mitihani darasa la 7...

    Najaribu kujiuliza kwa uchungu mkubwa eti kuna watoto wamefutiwa matokeo ya darasa la saba(7) mwaka huu kwa makosa ya ulaghai yaliyofanywa na wamiliki wa shule zao bila kuwahusisha watoto kwa malengo ya kupata ufauru bora (wa ulaghai) huku upande mwingine wa siasa kuna sarakasi zinafanyika...
  6. Mzizi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Home Tuition: Biology and Geography (Dar es Salaam)

    Hello wana JF nawasalimieni wakubwa zangu! Lengo la kuandika uzi huu ni kuwatangazia home tuition kwa wanafunzi wa O level and A level kwa wanaopenda Biology na Geography! Wale wanaorudia mitihani yao basi tatizo lao ndo mzizi umepatikana! Napatikana Dsm. Kwa wanaohitaji huduma hii...
  7. analysti

    JamiiForums Tanzania Open University of Tanzania (OUT): Tangazo lenu kwa ajili ya wanafunzi wapya, halifunguki

    Naomba ujumbe huu uwafikie Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ambao wameweka Tangazo kwenye tovuti yao kwa ajili ya wanafunzi wapya, lakini tangazo hilo halipakuliki (Undownloadable). Hii ni hata baada ya kutumia browsers tofauti tofauti. Tunaomba wafanyie kazi ili wanafunzi wapya wapate kujua ni...
  8. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Vyumba vya wanafunzi vya kupanga karibu na maeneo ya UDSM

    Kwa wale wote wanaohitaji kupanga Hostel karibu au jirani na maeneo ya UDSM, ARU, Chuo cha TAKWIMU mnakaribishwa. Hostel ipo Changanyikeni. Ina fensi, maji pia na umeme. Uwanja una peving na vyumba vyote vina Ceiling Board. Baadhi ya vyumba ni self contained na vina tiles. Vyumba vipo bei...
  9. Kabota A Kabota

    JamiiForums Tanzania HESLB 2020/2021 kwa wanafunzi wa Postgraduate

    Wadau nauliza utaratibu wa HESLB 2020/2021 juu ya wanafunzi wa POSTGRADUATE kunako upewaji wa Mkopo, JE nawao wanaunganishwa kwenye hizi BATCH 2 zilizotangazwa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi tunaojiunga SUA invoice za malipo ya Tuition Fee na Accommodation zinapatikanaje / tunazipata wapi?

    Habari ya muda huu wanajukwaa! Naomba kufahamishwa / kuelekezwa namna ya kupata INVOICE kwa ajili ya kulipia ya Accommodation (makazi) na Tuition Fee (Ada) kwa chuo cha Sokoine University of Agriculture (SUA). Maelekezo yaliyopo kwenye Barua ya kukubaliwa kujiua chuo na yale yaliyopo kwenye...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi ya kufaulu kimasomo tu

    Jinho Kim(PhD), Profesa Msaidizi katika Idara ya Sera ya Afya na Usimamizi Chuo Kikuu cha Korea anasema, kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi ya kufaulu kimasomo tu Utafiti ulihusisha washiriki karibu 20,000 (3,400 kati yao walihusisha...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi vyuo vikuu Rais haja ahidi kuwapunguzia riba ya mkopo wa chuoni badala yake ataongeza idadi ya wanufaika

    Ni wakati wa wanafunzi kuwa wapole, walitegemea riba itapunguzwa imekuwa tofauti badala yake fedha zitaongezwa ili wengi wapate mikopo maana yake ni mtaji unawekezwa ili ukue kwa riba ile ile ya 15% . ushauri wangu ni wazazi wajitahidi kutafuta pesa wawasomeshe watoto si kwa mikopo maana...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa kukata rufaa kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza walioshindwa kukata rufaa ya mwanzo?

    Habari ndugu, Naomba kuuliza kama nitaruhusiwa kuappeal mkopo kwani nilipata asilimia chache sana kwa mwaka wakwanza na nilishindwa ku-appeal kipind kile kutokana na sababu zilizokua nje na uwezo wangu. Je, mwaka huu nitaruhusiwa kuappeal?
  14. Youth Worker Tanzania

    JamiiForums Tanzania Uoga unavyotutesa

    Kimaisha kila kitu huwa kinatakiwa kuwa kati kwa kati ,Yaani kisizidi au kisipungue sana. Mfano kula ukavimbewa ni tabu japokuwa kula ni lazima.Sawa na matendo mengine kama kucheka,kulia ,kutabasamu au hata kukasirika. Uoga ni moja ya hali ambayo umpata kila mmoja wetu,Lakini kwa wengine...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu na Wanafunzi 2 wapandishwa kizimbani kwa kuchoma Mabweni ya shule

    Moshi. Ofisi ya Taifa ya mashtaka nchini Tanzania imewafikisha mahakamani watuhumiwa watatu wakiwemo wanafunzi wawili kwa tuhuma za kuhusika katika matukio ya kuchoma moto mabweni ya shule za sekondari za Uchira na Ebeneza Sango zilizopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Akizungumza na...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GEITA: Afisa ardhi Agustino Sibeye mbaroni kwa kuwagonga na gari na kuwaua wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Afisa ardhi wilaya ya Nyangwale Agustino Sibeye kwa kuwagonga na gari wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa na kufariki dunia wakati wakivuka barabara kuelekea shuleni. Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Hanry Mwaibambe amesema afisa huyo wa ardhi...
  17. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi wasianze kidato cha kwanza na michepuo ya sayansi (Physics, Chemistry) au arts kwa kuzingatia matokeo ya Darasa la Saba?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini wanafunzi wasianze kidato cha kwanza "directly" na michepuo ya sayansi (Physics, Chemistry) au arts kwa kuzingatia matokeo ya darasa la saba na sio kusubiri mpaka afike kidato cha pili? Yale masomo saba ya...
  18. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Field msiwalazimishe mapenzi wanafunzi

    Habari ya asubuhi wataalam mbalimbali,chap kwa haraka ngoja niende straight kwenye mada. Nikiwa zangu kwenye daladala nimepanda zangu nikakaa kwenye siti ya nyuma na wadada wawili wanaonekana form 4 leaves wa Tamisemi wamechaguliwa straight kuanza certificate. Nikavutiwa na confidence yao...
  19. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini mafunzo ya mgambo yasiwe "compulsory" kwa wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita ambao hawakubahatika kuchaguliwa kujiunga na mafunzo JKT?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini mafunzo ya mgambo yasiwe "compulsory" kwa wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita ambao hawakuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya J.K.T...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Zungu awaambia wanafunzi wampigie kura Magufuli

    Katika muendelezo wa michezo ya uvunjifu wa sheria, makada wa CCM wameanza utaratibu haramu wa kuwachukua watoto wa shule na kuwaelekeza kumpigia Magufuli kura Huku watoto wakiwa kwenye uniform za shule wanafundishwa namna ya kumpigia kura Magufuli. Tunaitaka NEC ije iuelezee umma kama...
Back
Top Bottom