Wanafunzi wa shule ya sekondari Minaki wanateswa na Polisi Kisarawe

muheza2007

JF-Expert Member
Mar 19, 2010
483
771
Nimeshuhudia hapa Kisarawe wanafunzi wa vidato vya tano na sita wa shule ya Minaki wanateswa na polisi ili wataje walioshiriki kuchoma moto shule hiyo siku ya Jumanne.

Kama una mtoto wako Minaki, chukua hatua haraka. Ni siri kubwa na watoto wanapigwa na kupewa mateso mengine.

Wanasheria wasaidieni hawa watoto.
 
Wanafunzi wabongo nao wamezidi kwenye tutukio twa uchomaji wa shule! Wapewe jambajamba lkn yenye kuangalia utashi wao wasiwazidishie maji.
 
Huyu ni mzazi mjinga
Waache polisi wafanye kazi yao. Wewe huenda huwezi hata kubaini mwizi uliyekaa nae kwenye gari. Unajua Kuna mbinu ngapi za kubaini wahalifu? Huko mahakamani utawapeleke watu bila ushahidi? Utawashitaki kwa kosa gani?
 
Nimeshuhudia hapa Kisarawe wanafunzi wa vidato vya tano na sita wa shule ya Minaki wanateswa na polisi ili wataje walioshiriki kuchoma moto shule hiyo siku ya Jumanne.

Kama una mtoto wako Minaki, chukua hatua haraka. Ni siri kubwa na watoto wanapigwa na kupewa mateso mengine.

Wanasheria wasaidieni hawa watoto.
Hawana intelijensia ya kuwatambua hadi wawatese.? Kwenye kytesa unatesa walioma na wasiokuwemo
 
Back
Top Bottom