wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afrika bado sana, tusichekane, kule Tanzania wanafunzi kusoma kwa zamu kisa uhaba wa madarasa

    Yaani wanafunzi wanasubirishwa nje ili kundi la kwanza likamilishe somo kwenye ratiba yao, hii Afrika tumechelewa kweli maana siamini mambo kama haya yanatendeka kwenye karne hii miaka mingi sana tangu mkoloni aondoke. Vipau mbele hamna, utakuta wakulu wanasafiri kwa magari ya kifahari kwenye...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utoro, Ulevi na kuwa kwenye mahusiano na Wanafunzi zatajwa kuwa tabia sugu kwa Walimu wa Tanzania

    Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), Moses Chitama ametaja makosa sugu yanayofanywa na baadhi ya walimu nchini kuwa ni utoro, ulevi pamoja na kujihusisha kimapenzi na wanafunzi. Aliyasema hayo Januari 5 mwaka huu, wakati akiwasilisha mada kuhusu maadili, katika Mkutano wa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Serikali za Mitaa na kazi zake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :- Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano, ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi. (2) Bunge au Baraza la...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliofauru darasa la saba na hawajapangiwa shule nini hatima yao?

    Wanafunzi waliofauru darasa la saba na hawajapangiwa shule nini hatima yao?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mabweni shule za kata yanaweza kuzuia mimba kwa wanafunzi

    Kwa miaka ya hivi karibuni, tatizo la mimba kwa wanafunzi katika shule nyingi za sekondari za kata, na hasa zile zilizopo maeneno hya vijijini, limekuwa moja ya maadui wakubwa wa elimu na maendeleo ya watoto wa kike. Aidha, takwimu za Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya Tanzania wa Mwaka 2015-16...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwa wanafunzi waliokua wanufaika wa mkopo kutoka HESLB

    .
  7. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi wa shule za Secondari wanavaa Suruali za rangi tofauti wakati nembo zao zinatosha katika kuwatambulisha? What's the logic behind?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini wanafunzi wa shule za secondary za serikali wanavaa suruali/sketi za rangi tofauti wakati nembo zao zinatosha kabisa katika kuwatambulisha? Nini mantiki ya kuwa na namna mbili ya...
  8. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Matokeo Darasa la Saba: Baadhi ya majina ni fake, tazama hizi shule hapa

  9. A

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI WA SHULE KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA, 2021

    Majina ya waliopangiwa shule kuanza kidato cha kwanza, bonyeza link apo chini. http://196.192.73.4/allocations/
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Arusha: DC Kenani awachapa mboko wanafunzi 3 kwa tuhuma za kuiba madawati 108 na kuyauza kama vyuma chakavu

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi amewacharaza bakora wanafunzi watatu wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Sinoni kwa tuhuma za kuiba madawati 108 ya shule hiyo na kuyauza kama vyuma chakavu. Wanafunzi hao wanadaiwa kuiba madawati hayo kwa nyakati tofauti na kuwauzia watu watano...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Jamani nahitaji msaada kwa wanafunzi wanaosoma UDSM

    Kama nlivoanza hapo juu nahitaji msaada kwa wanafunzi wanaosoma UDSM au chuo chochote. Ni kuhusu course yangu ya Bachelor of art in language nahitaji kufanya online registration na sielewi nfanye chaguo kwa ktk linguistic na English lang au linguistic na kiswahili? Naomben msaada ushaur wenu n...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 59 wa Chuo cha VETA Kagera na wakufunzi wao 3 mbaroni kwa kufanya udanganyifu kwenye mitihani

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera inawashikilia wanafunzi 59 wa Vyuo viwili vya ufundi VETA kwa madai ya kukutwa na simu za mkononi katika chumba cha mtihani. Mbali na kuwashikilia wanafunzi hao wa Chuo cha Veta wilayani Muleba na kile cha Veta Tuinuane...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya Wanafunzi Chuo cha Ardhi Morogoro ni hatari kwa afya za Wanachuo

    Chuo cha ARDHI Morogoro ni miongoni mwa Vyuo vikongwe vya Serikali ambavyo vinatoa wataalamu mbalimbali kwa ajili ya Sekta ya ARDHI Ni Jambo la kusikitisha ambalo inawezekana sio la kiungwana kuhusu hali ya vyoo vinavyotumiwa na wanachuo. Hakijulikani tatizo ni nini na nani anawajibika na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Walimu wa vyuo vikuu ambao hawajawahi kufanya kazi katika field wanazofundisha, wanaweza kuwa walimu wazuri?

    Habari wakuu, Kuna jambo moja huwa najiuliza kuhusu walimu (wahadhiri) wa vyuo vikuu ambao tangu wamalize shahada zao za kwanza na kufanya vizuri, hawajawahi kufanya kazi katika taaluma walizosomea lakini wanaendelezwa/wanajiendeleza mpaka kufikia kupata Doctorate au Uprofesa na kurudi vyuoni...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maswa: Wanafunzi 68 wapata ujauzito. Jamii yaendelea kuwaficha watuhumiwa na kumalizana kienyeji

    JUMLA ya wanafunzi 68 kutoka shule za msingi na Sekondari katika Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu wamepata ujauzito katika kipindi cha mwezi Januari hadi Novemba mwaka huu. Taarifa ya Jeshi la Polisi wilayani humo dawati la jinsia, imeeleza kuwa shule za msingi ni wanafunzi watatu wakati wa...
  16. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini hizi shule za English medium wanafunzi hawachapwi viboko?

    Wakuu ni kwanini hizi shule wanazojifunza kwa kutumia kiingereza huwa hamna viboko? Inamaana ukiwa unajifunza kwa kiingereza unaweza kwenda bila viboko? Nidhamu ya wanafunzi wanaosoma hizi shule ikoje?
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Makongamano ya siku hizi ya wanafunzi ya kisiasa Wala hayavutii yamejaa kujikomba komba

    Zamani makongamano ya pale nkrumah hall udsm yaliyohusu siasa na maendeleo ya taifa yalikuwa yalikuwa na mvuto kwasababu yalikuwa huru na yasiyo na propaganda Kama ilivyo Sasa. Naangalia kongamano la Uhuru tbc kila anaesimama ni magufuli magufuli Magufuli Yani yamejaa unafiki na kujikombakomba...
  18. Keynez

    JamiiForums Tanzania Changamoto isiyoongelewa: Maelfu ya wanafunzi wa Kitanzania kushindwa kwenda kusoma nje kutokana na corona

    Baadhi yetu kwa muda mrefu tumekuwa tunaongelea athari za kufanya mjadala wa athari za corona nchini kuwa ni mwiko. Moja ya athari zake ni familia za kitanzania pamoja na taasisi mbalimbali kushindwa kujipanga (kutokana na kwamba hawana taarifa) kutokana na mabadiliko ya lazima yanayoendelea...
  19. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Igunga, tunashukuru kwa msaada wa Uniform lakini hapana

    Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo? Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....' Gharama za...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Wanafunzi 22 wajeruhiwa na radi Darasani

    Zaidi ya wanafunzi 22 wa Shule ya Msingi De Paul iliyopo katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wamejeruhiwa na radi wakiwa darasani. Mkuu wa Wilaya ya Songea, Pololet Mgema amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba mbali na wanafunzi pia mwalimu wa darasa hilo amejeruhiwa. Kwa mujibu wa...
Back
Top Bottom