Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya mifugo 2020/2021 (September intake)

Ivi uko kwenye vyuo vya mifugo mnasomaga nn, mbona wafugaji ni mama zetu nyumbani, nyie mkitoka mnaendaga wapi
 
Maombi walituma Lin mbona wamewahi sana na vipi vile vyuo vya kilimo lini yanatolewa majina waliochagulia?
 
hakuna ajira nyie kasomeni tuuu intake ya mwisho kuajiriwa ilikuwa 2013 nakumbuka nilkuwa madaba campas baada ya hap kilichfuata nivumbi hajawahi kutangazwa ajra mpk sasa ila kasomeni mkue ila kutegemea ajirra serkalini ila halipo
 
Kila MTU mwenye akili timamu anajua hili kuwa CCM hawataki kutoa ajira ila sio wote wana mindset za kuajiriwa kumbuka hizi ndio kozi mzuri sana kwa kujiajiri
 
hakuna ajira nyie kasomeni tuuu intake ya mwisho kuajiriwa ilikuwa 2013 nakumbuka nilkuwa madaba campas baada ya hap kilichfuata nivumbi hajawahi kutangazwa ajra mpk sasa ila kasomeni mkue ila kutegemea ajirra serkalini ila halipo
Sio wote wenye akili za ajira
 
kama unaweza kujiajjjjiri mkuu si ungeajiajiri sasa hv
Hyo ni fani kijana, sasa kuna ubaya gani mtu kupata fani akajiajiri..
Usidhan kufuga ni rahisi kama anavyofuga bibi yako Kule kijijini vinguruwe vitatu tu..!!!
 
hakuna ajira nyie kasomeni tuuu intake ya mwisho kuajiriwa ilikuwa 2013 nakumbuka nilkuwa madaba campas baada ya hap kilichfuata nivumbi hajawahi kutangazwa ajra mpk sasa ila kasomeni mkue ila kutegemea ajirra serkalini ila halipo
nakushangaa ambae hadi leo unalalamika ajira na umesoma mifugo kumbuka ww unasoma mambo mengi na mengi unaweza kujiajiri mtaani miaka 7 unawaza ajira za mifugo je ukipelekwa utalipwa bei gani kijana
 
haya kasome mkuu ukimaliza uje utupe mrejesho
 
Back
Top Bottom