kimbisimbisi
Member
- Sep 30, 2020
- 10
- 4
Mh. Mwenyekiti wa NEC, kuna kura ambazo zitakosekana/zitapungua kwenye ushindi wa kishindo kwa Rais wetu Mpendwa JPM. Kwa kweli ninaumia sana kwa kura yangu kupotea. Naomba mtuwekee utaratibu wa wapiga kura ambao wamehamishwa vituo hivi karibuni na wanafunzi waliokwenda kuanza vyuo na shule kidato cha tano ambao wengi walijiandikisha walipokuwa nyumbani na sasa wamepangiwa shule na vyuo.
Kura hizi ni nyingi na ni muhimu sana kwa ushindi wa kishindo kwa Rais wetu. Mwenyekiti wa NEC, naomba utuwekee utaratibu wa kupiga kura za Rais peke yake ili tusije kuchaguliwa mtu ambaye ataiuza nchi yetu na kubadili katiba ili mashoga wawe huru kujiuza mitaani.
Maendeleo haya chama