wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha waandamana baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kukata pesa zao za kujikimu

    Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha wakiandamana usiku huu kuishinikiza Bodi ya Mikopo Nchini HESLB kurejesha kiwango kilichosalia cha 510,000/= kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Songwe atembeza kichapo kwa wanafunzi waliochoma shule ya sekondari ya Wavulana ya Oswe

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela mapema leo amewachapa viboko wanafunzi watano waliohusika katika tukio la kuchoma moto shule ya sekondari ya Wavulana ya Oswe na kusababisha hasara ya Zaidi ya shilingi milioni 26. Brig.Jen. Mwangela amefikia hatua hiyo mara baada ya kamati...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kati: Wanafunzi wafanyia mitihani chini ya miti

    Hii ni shule ya Sekondari ya Kiparang'anda ya mkoani Pwani, aibu hii imetokana na uhaba wa madawati pamoja na vyumba vya madarasa.
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Msafara wa Pascal Haonga mbunge wa Mbozi wasimamishwa na Wanafunzi, wamshangilia vibaya sana

    Hivi hawa wabunge wa chadema wana mvuto wa namna gani lakini ?
  5. dubu

    JamiiForums Tanzania Dar: Bweni shule ya Ilala Islamic laungua moto, wanafunzi 3 wafariki

    Wanafunzi watatu wamefariki dunia baada ya Moto uliozuka usiku wa kuamkia leo kuunguza bweni la shule ya sekondari ya Ilala Islamic iliyopo eneo la mtaa wa Arusha Ilala. Mpaka sasa chanzo Cha Moto huo hakijajulikana ambapo wanafunzi wote wa shule hiyo wamehamishiwa kwenye shule ya msingi ya...
  6. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania TUNAOMBA MCHANGO WA MAWAZO YAKO: Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati??

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha wanafunzi ni kazi ya nani?

    Wanafunzi wetu nchini ni kundi kubwa la wananchi wenye mahitaji maalumu. Hapa nchini daladala tu ndizo zilizopewa jukumu la kuwasafirisha kwa bei pungufu ya sh. 200. Hii Ni tofauti na biashara nyingine kama ya stationery, uniforms, bodaboda, chips, soda, nk ambao wao huwa wanawauzia wanafunzi...
  8. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha likizo ya COVID 19 Wanafunzi 101 Shinyanga wapata mimba

    "Katika kipindi cha likizo ya COVID 19 Wanafunzi 101 Shinyanga wapata mimba" WANAFUNZI 101 mkoani Shinyanga wamepata ujauzito katika kipindi cha mwezi mmoja, kuanzia Machi hadi Aprili Mwaka huu. Wanafunzi hao wamepata ujauzito huo katika kipindi cha likizo ya kujikinga na maambukizi ya homa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nikiona wanafunzi wa Sekondari na Vyuo wanaenda shule, naona kama wanaenda kupoteza muda na pesa

    Maana sasa ajira hamna (statistically ajira zipo chache mno), wanaenda kusomea nini cha ziada? mm naona elimu ya form 4 inatosha kabisa kuishi kitaa, mtu akishajua hesabu ya kujumlisha, kutoa, kugawanya, kuzidisha, kusoma na kuandika kiswahili na kingereza, bookeeping inatosha vizuri tu, + kama...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Barakoa zipi zivaliwe na wanafunzi mashuleni?

    Nimeona shule wakishona barakoa au kuwaagiza wazazi wazazi kushonea watoto wao barakoa zinazofanana na sare ya shule husika. Hivyo wanashona kitambaa Cha kaptura au Cha shati ya shule. Shida Ni kwamba vitambaa vinavyotumika kwa sare vingi vyao sio pamba baoi Ni polyester. Je, kitambaa Cha...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Ufafanuzi wa uvaaji wa Barakoa kwa Wanafunzi

  12. D

    JamiiForums Tanzania Hoja: Madhara ya RPC Shana kubaki Arusha yalikuwa ni madogo ukilinganisha na alipopelekwa Chuo cha Mafunzo Polisi

    Kutokana na maelezo ya Rais kuwa hakuridhishwa na utendaji wa RPC shana! Jampo lililochangia IGP kufanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa! Kitendo Cha RPC shana kuondolewa ARUSHA na KUPELEKWA chuo cha Mafunzo MOSHI kina hitaji jicho pevu! Niseme wazi kabisa! Kama hakufaa ARUSHA...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujenga hostel ya wanafunzi, nzuri lakini kwa gharama nafuu

    Wakuu, Kuna sehemu vijijini nimeona wanafunzi wa shule ya sekondari (day) wanapata shida sana, tatizo mojawapo nililoliona ni makazi yao ya kupanga kuwa duni. Sasa nikawaza kuwasaidia hawa wanafunzi kwa kujenga hostel simple kwa ajili yao. Plan yangu ni kila mwanafunzi awe na chumba chake --...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali ni wakati wa kutoa mwongozo kuhusiana kuhusu ulipaji wa ada shuleni baada ya tamko la Rais shule kufunguliwa

    Kwa miezi mitatu mpaka mitatu na nusu wanafunzi wamekuwa nyumbani kutokana na janga la Corona. Na sasa masomo yamekuwa resumed tunaamini yataendelea na mwishoni mwa mwezi wa 11 au katikati ya mwezi Dec kutakuwa na likizo mpaka Januari. Shule ni Huduma. Tunalipia huduma ambayo ktk miezi hiyo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

    Ndugu Mzazi/Mlezi; *Kuelekea kufungua Shule(Toka likizo ya Janga la corona), ADA YETU ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:- 1. Ili kuwapa wepesi wazazi katika kufanya Malipo ya Ada kutokana na Janga hili la korona, Uongozi umeamua kupunguza ada kwa kiasi cha Sh. 100,000/= (Shilingi laki moja). Hivyo bas:-...
  16. Bess

    JamiiForums Tanzania Baada ya wazazi na wanafunzi kusikia shule zinafunguliwa

    First image; Dogo ana'finalize usumbufu Second image: Parents celebrating the good news
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Likizo ya Corona kwa wanafunzi: Wasichana 100 wapata ujauzito mkoani Mtwara

    MIKOA minne imetajwa kuwa kinara wa ndoa za utotoni kipindi hiki ambapo wanafunzi wapo majumbani, kutokana cha mlipuko wa ugonjwa wa corona. Serikali ilitangaza kuzifunga shule zote za msingi, sekondari na vyuo Machi 17, mwaka huu kutokana na mlipuko wa janga hilo. Mikoa hiyo ni Ruvuma, Mara...
  18. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Baiskeli Za Wanafunzi Wa Secondary Zimewasili

    Baiskeli za Wanafunzi wa Secondary sasa zimewasili. Kwa wikii hii zimebaki baiskeli 50, na kila baiskeli inauzwa elf 90 tu. Baiskeli zina gear (automatic). Mikoani tunatuma pia. Piga 0713039875 kuwahi oda yako.Tupo Magomeni.
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Daladala zapewa ruhusa ya kusimamisha wanafunzi 4 tu kwa mkoa wa Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Pau Makonda ametoa ruksa wanafunzi wanne kusimama kwenye chombo kimoja cha usafiri. Akihojiwa na kituo cha ITV, RC Makonda amesema: “Nimeelekeza watu wote wa daladala kuhakikisha wanabeba wanafunzi wasiopungua wanne (4). Kama ni level seat kwa maelekezo...
  20. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Elimu kwa njia ya mtandao kwa wanafunzi wa Awali, Msingi na Sekondari. Je, Wizara ya Elimu inaitambua hiyo elimu?

    Niliwahi kuandika jamii forum kuhusu ili swala la kulipa ada na online education hili swala lipo hivi Tanzania kupitia wizara ya elimu haitambui elimu ya kujisomea nyumbani isipokuwa katika ngaz ya degree tuu hizo zingine chini haiwezekani hivyo mwanao akipata hyo elimu n kama tuition tuu mana...
Back
Top Bottom