Wakuu kwema?
Natumai mko salama katika Janga hili hatari lililotukumba la CORONA.
Kabla ya kwenda kwenye mada, ningependa kwanza kutoa uchanganuzi katika suala la gharama Kama nilivyojifunza. "Cost" pamoja migawanyo mingine imegawanyika pia katika makundi mawili ambayo ni "Fixed Costs" na "...