OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 419
- 670
Gazeti la Mwananchi liliripoti kuwa shida ya Shule ya Msingi Toangoma ni uchache wa madrasa na wingi wa wanafunzi ambao automatically inakuwa ngumu kwa walimu kudhibiti tabia za wanafunzi.
Since tatizo ni wingi wa wanafunzi kwa upande mmoja ambapo, mwanafunzi sio mkosaji in the first place.
Aidha suala la ngono, ni suala la mazingira na malezi, Watoto hawaachi kuiga wanayoona katika watu wanaowazunguka, kwa utoto wao ni upuuzi kuwapa adhabu ya kufukuzwa shule. Watoto huiga maisha ya nyumbani 100% ndio maana kuna michezo ya kibaba na kimama waki-imitate maisha ya nyumbani hivyo wanapoona matendo ya ngono pia wanaiga. Kosa ni la malezi na mazingira.
Lakini pia kama watoto tunaona wamekosea, Je wameonywa? wameonywa mara ngapi? kwa nini kukurupukia kumfukuza mtu shule na kumnyima haki ya Msingi ya Elimu kwa sababu ya shida ya mtu mwingine?
Hapo bado watoto wanapiga kura ili kuwafukuza watoto wengine zaidi! I stand to say, DC Hauko sahihi katika hili, na ukitaka kujua hauko sahihi jiulize maswali haya.
1. What are you trying to solve kwa kufukuza watoto?
2. What is the outcome ya suluhu hiyo(Ya kufukuza watoto)?
Kama watoto hawa wanaonekana ni watukutu kwa nini wasiende shule za watukukutu?
ZINGATIA maisha ya Tanzania, wazazi hawawezi kupeleka mtoto international school ndio maana wamekomaa na shule za bure, pia hatuwezi kufanya homeschooling.
Ongezeni Madarasa, ongezeni walimu, watoto waonye, wakirudia waende shule za watoto watukutu.
Otherwise mnaenda kinyume na sera za elimu za kuhakikisha kila mtoto anakuwa na walau elimu msingi na mnaathiri uchumi wa nchi in the long run
Nimekereka sana!
Signed
OEDIPUS